nchi

  1. MamaSamia2025

    "Maria mkingiwa dhambi ya asili msimamizi wa nchi yetu" Ina maana gani kwenye hii barua ya TEC?

    Kuna hii barua ya TEC kuwataka wakatoliki kumuombea kiongozi wao mkuu Papa Francis... Wamenichanganya na maandishi yanayosema "Maria mkingiwa dhambi ya asili msimamizi wa nchi yetu". Kwa kuwa imetajwa nchi yetu ndo nimetaka kujua zaidi Maria ahusike kuilinda.
  2. K

    Mwenye nguvu amkaa! mwenye weledi changamka wewe!

    Mwenye nguvu amkaa! mwenye weledi changamka wewe!... shida nini? . Tunataka nchi isonge mbele, tunataka tufanane na mataifa makubwa ya Ulaya , tuwe na miundombinu ya kisasa kama viwanja bora vya ndege, barabara nyingi za kupunguza msonganano, Vituo bora vya afya na nambo mengi ya kileo...
  3. Ileje

    Kichekesho: Eti Tanzania iko tayari kuzifundisha nchi za Afrika vijana wajiajiri!

    Haya ni matusi kwa vijana wa Tanzania! Rais Samia ameonyesha dharau kwa vijana! Je ni vijana wangapi wamenufaika katika mpango fake wa BBT kiasi Rais ajisifu na kutaka azifundishe nchi zingine za Kiafrika? Huyu Mzanzibari hatufai kabisa na hastahili kuendelea kuwa madarakani!
  4. Ojuolegbha

    Kutana na 𝐌𝐓𝐀𝐋𝐈𝐈 𝐖𝐀 𝐍𝐃𝐀𝐍𝐈 Bw. Masanja Mkandamizaji akizunguka nchi nzima kukuonesha namna ambavyo 𝐓𝐚𝐧𝐳𝐚𝐧𝐢𝐚 yetu inapendeza.

    Kutana na 𝐌𝐓𝐀𝐋𝐈𝐈 𝐖𝐀 𝐍𝐃𝐀𝐍𝐈 Bw. Masanja Mkandamizaji akizunguka nchi nzima kukuonesha namna ambavyo 𝐓𝐚𝐧𝐳𝐚𝐧𝐢𝐚 yetu inapendeza. Masanja anakuonesha miundombinu ya barabara, madaraja, vituo vikubwa vya mabasi na daladala, masoko nk. Vijana sasa wameendelea kuziona fursa, neno moja lao kwa mama Rais...
  5. Kiranja Mkuu

    Nchi inapigwa sana hii, maghorofa ya Jeshi Mwenge, yanapangishwa kwa raia

    Haya magholofa ya jeshi yaliyoko Mwenge Kijijini, Dar es Salaam, yamekuwa yakipangishwa kwa raia. Wajanja wachache wamekuwa wakijinufaisha na majengo hayo ambayo yamefanyiwa ukarabati mkubwa na jeshi. Gharama ya kupanga nyumba hizo ni kuanzia laki tano na kuendelea, namna utakavyojiingiza...
  6. Yoda

    Serikali itenge siku maalum ya kitaifa kuadhimisha katiba ya nchi.

    Katiba ndio kitu kinachoweka muongozo wa nchi na jinsi ya watu kuhusiana katika taifa, kwa umuhimu huo serikali itenge siku maalumu(public holiday) ya kuadhimisha na kusheherekea katiba ya nchi yetu(constitutional day) kukuza uzalendo na utaifa wa taifa. Ni muhumu siku hiyo ikawa katikati ya...
  7. Ojuolegbha

    Kuna raha sana kumuimbia kiongozi wa nchi yako hasa akiwa amekufanyia mambo makubwa

    Kuna raha sana kumuimbia kiongozi wa nchi yako hasa akiwa amekufanyia mambo makubwa. Watoto hawa wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Tanga wana haki ya kumuimbia Rais wetu Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuhakikisha na wao watoto wa kike wa Tanga wanajengewa shule ya bweni ya wasichana ili...
  8. M

    Naomba kujuzwa namna ya kulipia bidhaa nje ya nchi na maana ya ZIP code

    Kama mada ilivyo. Natamani kuanza kununua bidhaa kutoka nje ya nchi kupitia hii mitandao ya uuzaji kama Alibaba, AliExpress etc japo kwa sasa nataka nianze na AliExpress. Sasa kuna kipengele cha kulipia bidhaa hapo ndio nakwama maana Kuna mahali naambiwa niweke card. Pia Kuna mahali wanataka...
  9. chiembe

    Kama CHADEMA wanasema Lissu kavunja katiba ya chama chake, anapata wapi mamlaka ya kujadili katiba ya nchi

    Huyu mtu anatusumbua na nyimbo za katiba kuchwa kutwa. Sasa ana tuhuma ya kuvunja katiba ya chama chake kwa kupandikiza wajumbe feki wa Kamati Kuu. Hebu atuache watanzania, tumechoka na utapeli wa kisiasa.
  10. Pdidy

    South Africa wapeleka wanajeshi zaidi 700-800 na VIFAA Vizito vya kivita kupambana na M23

    BAADA ya WANAJESHI WAO kuuwawa na M23 South Africa imetuma WANAJESHI zaidi ya 700 na VIFAA vizitooo Imeomba nchi za SADC na EAC kushirkiana kuuondoa MAGAIDI WA M23 wakiachwa wataenea Africa nzima USHAURI tu wapendwa Hawa n majangili magaidiiii Pale mnapoweza kupambana nao pambaneni nao...
  11. L

    Ziara Ya Rais Samia Mkoani Tanga Itakuwa Ya Hisia Kali Sana na Nchi Itasimama. Kwa sababu ndio Mkoa aliotangazia Kifo cha Hayati Magufuli

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge anatarajiwa kufanya...
  12. Mhafidhina07

    Kutofanikiwa kwa mfumo wa ubepari katika nchi zetu za afrika,tumeshindwa kufata mfumo au mfumo unatutema?

    Market Economy/Free market economy Globalization Individualism Tunakosea wapi?
  13. Pdidy

    Penzi likiisha badilisheni kitanda mashuka ikiwezekana nenda HATA Nje ya nchi Katoe stress

    Wassalahm allheikhum Wote kwa wnaoendelea na mateso ya mapenzi na bado mmenganganna chumba KIMOJA Nawape tu hints penzi ukiona limeisha badilisha style ya kitanda kama mLIKUWA mnalala kwa urefu nendeni mkalale kwa upana Ikiwezekana lalen opp side mpaka kieleweki Aka mzungu WA NNE Usiforcee...
  14. Pdidy

    Penzi likiisha badilisheni kitanda mashuka ikiwezekana nenda HATA Nje ya nchi Katoe stress

    Wassalahm allheikhum Wote kwa wnaoendelea na mateso ya mapenzi na bado mmenganganna chumba KIMOJA Nawape tu hints penzi ukiona limeisha badilisha style ya kitanda kama mLIKUWA mnalala kwa urefu nendeni mkalale kwa upana Ikiwezekana lalen opp side mpaka kieleweki Aka mzungu WA NNE Usiforcee...
  15. K

    Tusikubali kuwa nchi ya wapuuzi!

    Tanzania ikisaidiwa na kizazi kipya imekuwa nchi kama vile ya wapuuzi yaani tuna puuza mambo muhimu 1. Wanajeshi wameuliwa huko Congo kama nchi tuna puuza puuza tu hakuna majonzi ya kitaifa 2. Majengo yame dondoka kariakoo mpaka sasa tume puuza tu hakuna mwamko wa kujali na wasiwasi 3. Uchaguzi...
  16. Kazanazo

    Kama mtanzania napataje fursa ya kwenda kufundisha nchi kama Shelisheli, Kanada, Norway au Kenya?

    Wakuu mimi ni mwalimu natamani nikafundishe kati ya Nchi tajwa hapo juu tafadhali mwenye miongozo anipatie hapa jukwaani mimi na wanajukwaa wenye shida kama yangu tutashukuru sana Ahsanteni
  17. Stuxnet

    The Citizen: Sekta ya utalii yaongoza mapato ya nchi 2023/24; kongole kwa Royal Tour

    Kweli Rais Samia kafungua nchi, angalia takwimu hapa kwa mujibu wa The Citizen kama zilivyoletwa kutoka ripoti za BOT:- Kwenu muliobeza Royal Tour, ruksa kutoa povu. Ila nchi inasonga mbele
  18. F

    Tshisekedi atakimbia nchi

    Dalili zote ni kwamba,huyu jamaa atakimbia nchi maana hana jeshi,ha hata sijui anafanya nini hivi sasa
  19. Meneja Wa Makampuni

    Scholarship kwa Waafrika wote angalia nchi yako

    Scholarships now open!! — Curtin University warmly welcomes students from eligible African countries to apply for the Australia Awards Africa Scholarships for our Master's degrees commencing in 2026. Curtin has a developed a holistic platform for engaging with the African continent and...
  20. S

    Tumefika mahali kama nchi tunaadhimisha siku ya kondom duniani?

    Habari wadau! Leo maeneo ya Dodoma kwenye round about ya kuingia uwanja wa ndege wa Dodoma, kuna tangazo limewekwa chini kwenye hiyo roundabout likiisomeka: Siku ya kondom duniani(kama sio duniani basi ni siku ya kondom kimataifa). Swali: ni kondom hii mipira ya kufanyia mapenzi au hiyo kondom...
Back
Top Bottom