Miongoni mwa watu ambao watakuambia mimi sifuatili siasa, ni bsadhi ya hawa wenzetu wanaofanya kazi karika mashirika ya kimataifa na kulipwa hela nyingi kiasi kwamba waona siasa kwao haina maana.
Mimi naomba na nchi za Ulaya nazo zisitishe misaada kama Marekani ili wote tuongee lugha moja juu...
"IT IS NOT A PEACEKEEPING MISSION, IT IS AN OFFENSIVE MISSION".
Wabunge wa Afrika Kusini walipokuwa wakiongea na waziri wa ulinzi na mkuu wa jeshi la South Afrika, wameonekana kutofurahia kitendo cha badhi ya watu kuamuwa wenyewe kupeleka wanajeshi nchini DRC, kwa kisingizio cha kulinda amani...
Mapenzi haya ya Samia kwa Jenista ni sawa na uwehu, huyu waziri wa Afya wa sasa Jenista Mahagama ni kilaza kiasi kwamba hata kusoma hotuba aliyoandikiwa hawezi kusoma. Km anampenda sana kwanini asimpatie kazi itakayomfanya asionekana mbele ya hadhara? Nia ya Samia ni kuiaibisha nchi yetu?
Miaka...
Sio upinzani wala tawala, vijana bado. Kijana kama Yericko na huyu Assenga wanakatisha tamaa mno. Dunia inaenda mbele ila wao bado akili ziko enzi za mawe. Video ya 3 ni vijana wapuuzi wa UVCCM wakicheza kwenye maji machafu.
https://www.instagram.com/reel/DFc4a3wSWhI/?igsh=OHVibDR6bDViYmU3...
Kwa sababu Dar es Salaam bado ni mji muhimu sana katika utawala wa nchi kutokana na uwepo wa miondombinu ya kutosha na kuwa mji mkubwa wa kibiashara na pia kwa sababu kwa upande mwingine Dodoma ni mji muhimu sana kwa sababu Baba wa Taifa Mwl. Nyerere alishaamua na kuelekeza uwe ndio mji mkuu wa...
Ukifuatilia hata Law Bar Associations ya Rwanda tu utagundua huwezi wakuta wanaenda kulia lia kwa Kagame mara wapewe Gari mara Kagame awwpunguziwe Kodi, nenda Law Bar ya Uganda huwezi kuta huu ujinga wa kwenda kuomba msaada kwa Mseveni.
Njoo sasa kwa Law bar association ya Kenya, ile ndio...
Watu wachache wanataka wachukue mali yote ya nchi.
Wanataka wachukue kila kitu: dhahabu,almasi.
In fact,almasi hatuisikii kabisa.
Inanikumbusha zamani nilipokuwa shule ya msingi boarding school.
Nikaenda nyumbani weekend nikarudi na keki.
Nimekaa dormitory nakula keki na rafiki yangu yupo...
👉🏾Nchi zinazoendelea zimekuwa zikitegemea misaada ya wahisani ili kugharamia maendeleo katika sekta mbalimbali, lakini misaada hii mara nyingi inakuja na mzigo wa madeni. Madeni haya yanaweza kudhoofisha uchumi na kuzuia maendeleo ya kudumu, huku mataifa haya yakikosa uhuru wa kiuchumi.
source...
Utangulizi
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimekuwa na historia ndefu na yenye umuhimu katika siasa za Tanzania. Hata hivyo, kwa miaka ya hivi karibuni, kumekuwepo na malalamiko mengi kuhusu ufanisi wa CCM katika kusimamia katiba yake yenyewe.
Hali hii inatupa swali muhimu: kama chama hakiwezi...
Elon Musk ameanza kutekeleza mpango wa kuliua Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani (USAID). Amesema anaamini USAID ni "shirika la kihalifu" ambalo linapaswa "kufa."
Kupitia mtandao wa X Musk alisema “USAID ni shirika la uhalifu. Ni wakati wa kufa”
Hii ni baada ya taarifa iliyosema...
Huu ni ujinga. Ni upumbavu wa hali ya juu.
Hawa ni waandamanaji wanaopinga sera za Rais wa sasa wa Marekani za kukabiliana na suala na uhamiaji haramu.
Wengi wa hawa waandamanaji ni Walatino.
Hapa ni katika moja ya viunga vya mji wa Atlanta, GA.
Wanaadamana kupigania istihaki [privilege] ya...
Serekali kupitia afisi ya waziri mkuu imetoa Tangazo la vijana miaka 18- 35 kujiunga vyuo vya ufundi katika mikoa na wilaya zilizo karibu na wao huku Serekali ikigharimia mafunzo hayo 100%..
Nawashauri chadema na wao waombe pesa za wazungu wawasomeshe vijana ili iwe kivutio kwao.
Vyenginevyo...
Video hiyo hapo chini, inaonyesha msafara wa magari ya kivita yenye urefu wa kilometa 6, ukiangalia huoni mwisho. Ni jeshi la nchi gani hili?!
https://www.instagram.com/reel/DFiC5DAtOZF/?igsh=MXR2cXIzNDI0NDR2eQ==
Huyu jamaa uongozi wake umejengwa kwa misingi ya Genocide.
Bila Genocide hana cha kusimamia.
Kwa rwanda amejibrand kama ni mtu aliyezuia Genocide. Kwa nchi ambazo zina makabila mengi huwezi kutoboa kuwaongoza watu miaka 30 kila leo uwakumbushe mauaji ya kimbari!! Watu awawezi kukuelewa lazima...
Makundi ya Kigaidi huwezi kuyamaliza kama hujadhoofisha nguvu ya mfadhili wao
Wengi tumeona vita vya Israel na makundi yaliyokuwa yakiisumbua nchi hiyo
IDF hakuwa akipiga wanamgambo tu wa makundi ya kigaidi, bali aliwapiga na wafadhili wao wakuu na kuwadhoofisha kabisa, pale alipopiga mitambo...
Mtakuja Kunishukuru sana !!.
Kama Kuna video ambayo Sheikh Yahya anatabiri kuanzia Ujio wa Hayati Dkt JPM, Kisha Rais Dkt Samia, na kwamba Baadae Upinzani unachukua Nchi.
Tumieni Kila kitu mlichonacho kuhakikisha Huo unakua Wimbo Mtaani kuanzia Mijini mpaka Vijijin.
Kwa wanaoona Mbali kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.