nchi

  1. Poppy Hatonn

    Nchi 10 za Afrika zenye idadi kubwa ya watu wanaoishi na vvu

    Hizi ni nchi 10 za Afrika zenye idadi kubwa ya watu wanaoishi na VVU; 1. Afrika Kusini: 7,700,000 2. Msumbiji: 2,400,000 3. Nigeria: 1,700,000 4. Uganda: 1,500,000 5. Kenya: 1,400,000 6. Zambia: 1,300,000 7. Zimbabwe: 1,300,000 8. Malawi: 980,000 9. Ethiopia: 610,000 10. DRC: 520,000
  2. Juice world

    Mungu saidia wapigania haki m23 waikamate kinshasa

    Mungu wape nguvu Hawa wapambanaji wa haki za wananchi waweze kuikamata kinshasa na kuweza kuleta Maendeleo Kwa wacongoman bila ubaguzi wowote sababu Hawa ndio wapigania haki wa kweli japo wanapigana dhidi ya magaidi ya FARDC waliozoea kunyonya raia wameenda kumsaidia gaidi mwenzao tshekedi ila...
  3. Kanyawela

    Nchi maskini na kulialia

    Sasa hivi nchi nyingi maskini hasa za kiafrika ziko katika kulia na kulalamikia hatua ya Marekani kuondoa ruzuku na misaada mbalimbali inayogharamiwa na tax payers wa Marekani. Ninajiuliza hivi kwa nini tunakaa kulialia badala ya kutafuta njia ya kuweza kujiendesha na kujisaidia bila kutegemea...
  4. matunduizi

    Nilichojifunza, Nchi hata ikiwa saizi ya Hekari moja, kama Ikiungwa mkono na Mabeberu huwezi kuishinda hadi mabeberu hao waamue

    Mabeberu US na wenzake hakuna taifa ambalo litafanya mipango au miakakati isijue. Wataiuzia taarifa hizo. Mabeberu wana silaha ambazo wakiipa nchi ndogo saizi ya hekari moja, Silaha moja tu ikitumiwa lazima uipigie magoti nchi hiyo ndogo. Wanaweza kuipa nchi ndogo taarifa za kiintelijensia...
  5. Logikos

    Suluhisho la Kudumu la Mgogoro wa Maziwa Makuu (Rwanda, Congo et al) ni kutenga na kupata nchi ya hao waliopo hapo sasa (North Kivu)

    Kwanza kabisa mimi sio Mtaalamu na baada ya kuangalia kwa haraka matakwa ya pande tofauti nimeona ni vigumu sana kwa upande mmoja kukubaliana na matakwa ya upande mwingine kutokana na usalama wao na kutokuaminiana; Hivyo Suluhisho pekee ni hapo katikati kuwepo na nchi ya hao waliomo. Kwa...
  6. Lycaon pictus

    Nchi kubwa kama DR Congo na Msumbiji hazipaswi kuwa na makao makuu ya nchi pembezoni

    Nchi kuwa kubwa, na dhaifu halafu kuwa na makao makuu pembezoni ni hatari sana kwa usalama wake. Kwa nchi zetu hizi kadri unavyozidi kuwa mbali na Capital City ndivyo unavyozidi kusahaulika. Na watu waliosahaulika ni rahisi kuasi. Hawa wameweka mji mkuu Kinshasa. Kilomita zaidi ya 2500 kufika...
  7. Mindyou

    Uhuru Kenyatta: Nimeona watu wanalia lia baada ya Trump kusitisha misaada. Mnalia nini na hela sio zenu?

    Rais mstaafu wa Kenya Uhuru Kenyatta ameonya viongozi wa Afrika dhidi ya kutegemea sana misaada ya kigeni kufuatia uamuzi wa Rais wa Marekani, Donald Trump, wa kusitisha msaada wa shirikisho duniani kote. Akizungumza wakati wa Mkutano wa Usalama wa Afya wa Kanda ya Afrika Mashariki 2025...
  8. bryan2

    Tumechelewa ila hatujachelewa sana kama Nchi

    Wakubwa shikamooni rika langu habarini za mchana. Labda nianze kwa kisa hiki ili nipate kueleweka kisa chenyewe ni hiki hapa. Nlipata kusimuliwa na mtu wangu wa karibu sana juu ya raia wa nchi flani aliyekuja kwenye kikao Moshi ila mwisho wa siku komputa mpakato yake (laptop) ikaishiwa...
  9. Minjingu Jingu

    Majeshi ya Nchi 30 yenye nguvu Barani Africa

    Sijajua vimetumika vigezo gani. Lakini nadhani TZ ilipaswa iwe ya kwanza au angalau kwenye 3 bora.
  10. Yoda

    Kwa nini Msumbiji iliwakabidhi Rwanda majukumu ya kusaidia ulinzi badala ya nchi majirani zake wa SADC?

    Kutokana na uasi uliochanganyikana na ugaidi kushamiri katika jimbo la Cabo Delgado mwaka 2021 serikali ya Msumbiji baada ya kuzidiwa sana waliingia makubaliano na nchi Rwanda kupeleka majeshi yake katika jimbo hilo kurudisha hali ya utusalama na utulivu. Baada ya kuona ufanisi mkubwa wa kikosi...
  11. W

    Kwanini Wasomali Wana maendeleo ugenini lakini kwao Kuna Hali mbaya zaidi ya Burundi

    Mfano ukiangalia Nairobi wameukamata uchumi kwa kiasi kikubwa sana ukija TZ wapo wachache ila wamejitahidi kwenye maendeleo, hupendelea biashara za malori. Shida inakuja huko kwao kuna hali mbaya, Burundi kuna nafuu, vita vya wao kwa wao haviishi Huduma za kijamii zipo chini sana umasikini...
  12. PathwayzZote

    JE NI KWELI CHINA ni nchi inayoendelea???

    Guys me sielewi kabisa hii statement Wale wajuzi wa mambo ya uchumi mjeni hapa kwenye comment Wekeni nondo hizo na sisi ambao hatujui tuzijue Tusije tukawa tunalishwa matango pori. Kwa china nayoona ile sehem kama Shanghai Beijing 🔥 lakini kuna watu wanasema ni DEVELOPING duh ni atare Ok...
  13. Carlos The Jackal

    Luhaga Mpina ataka Katiba mpya inayolinda Rasilimali za Nchi

    Adai wizi wa Rasilimali , Ufisadi na Uozo unaoendelea na matokeo ya Katiba yetu kua na matobotobo. Machawa wa Samia watamshambulia, wanasahau kua Tume ya Jaji Warioba, ilipendekeza KATIBA MPYA. Anakua Mwanasiasa wa kwanza kutoka CCM kuungana na mwenye Akili LISSU juu ya KATIBA MPYA.
  14. K

    Kusitisha kwa USAID tuamke na kutumia rasilimali za nchi vizuri

    Wakati Trump amesitisha kugharamia shughuli nyingi ambazo zilikuwa zinafanywa na USAID ni wakati wa kujiuliza kwa umakini kitu gani ni muhimu. Hii pesa ilikuwa inasaidia kutoa dawa wa wagojwa wa ukimwi na elimu huko kusini na kusaidia lishe kwa zile kaya ambazo watoto wana dalili za mtapia mlo...
  15. Rorscharch

    Jinsi Ufaransa inavyomiliki Viongozi wa Nchi za Afrika

    UFISADI WA ELF AQUITAINE: NJAMA ZA KIFEDHA KATI YA UFRANSA NA AFRIKA Mwaka ni Julai 1994. Mdhibiti wa masoko ya fedha wa Ufaransa ametuma ripoti yenye utata kwa Ofisi ya Mwendesha Mashtaka wa Umma wa Paris. Ripoti hiyo ilihusu uwekezaji wa kutiliwa shaka uliofanywa na moja ya kampuni kubwa za...
  16. M

    Bei ya gesi ya kupikia kupungua bei ili kuchochea Matumizi ya Nishati Safi

    Serikali imejikita kuhakikisha inapunguza bei ya mitungi ya gesi ya kupikia na kutoa ruzuku ya asilimia 20 ya mitungi hiyo Ikiwa ni sehemu ya kutekeleza Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia kwa mwaka 2024-2034. Naibu Waziri wa Nishati Judith Salvio Kapinga amesema hayo...
  17. Jack Daniel

    Tanzania nchi yangu, nakupenda kwa moyo wangu wote

    Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa kisa kinene ,yapo mengi hatuyajui yapo mengi tunahaso tuyajue Elimu haina mwisho,Tuendelee kijifunza tupo kwenye nchi ya Dunia ya tatu ipo nyuma Kwa mambo mengi tu yaani, Siasa,uchumi,na maendeleo ya mtu mmoja mmoja ,ni nchi ambayo mtu akimikiki Jiko la...
  18. Beira Boy

    UNABII: mwaka huu nchi itapigwa tetemeko kubwa la ardhi , pamoja na ulimwengu kwa ujumla

    Amani iwe kwenu watu wa MUNGU Serikali ijiandae kwa janga kubwa ambalo liko mbele yetu ndani ya mwaka huu Kuna tetemeko kubwa sana la ardhi litaipiga inchi yetu litaipiga Dunia EARTHQUAKES EARTH POWER EE BWANA YESU KRISTO tusaidie AMINA SAYUNI BOY
  19. W

    Marekani kasimamisha michango mashirika ya afya kwanini nchi nyingi zinalaumu, kwanini nchi nyingi zinazonufaika na misaada zinakwepa michango ?

    Marekani inachangia kila mwaka dola milioni 500 (shilingi Trilioni 1.2) kwenye shirika la afya duniani. mataifa mengine yana watu wengi zaidi mfano China, ina watu zaidi ya bilioni 1 inachangia Dola milioni 20 (shilingi bilioni 50) . Marekani baada ya kuona pesa zao zinafujwa, Trump kaamua...
  20. Mshana Jr

    USAID yatangaza kusitisha misaada nje ya nchi

    Shirika la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa (USAID) limetangaza kusitisha utoaji wa fedha mpya na usambazaji wa fedha chini ya makubaliano ya malengo ya maendeleo (DOAGs) hadi uhakiki wa programu za msaada wa nje zinazofadhiliwa na USAID utakapokamilika. Wakati mchakato wa kuhakikisha msaada...
Back
Top Bottom