nchimbi

Emmanuel John Nchimbi (born 24 December 1971) is a Tanzanian CCM politician and was a Member of Parliament for Songea Town constituency from 2010 to 2015. Currently, he is Chama Cha Mapinduzi General Secretary. He was the Minister of Home Affairs.

View More On Wikipedia.org
  1. Emanuel nchimbi likitokea lolote anaweza kuwa rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania.je tumempima anaweza kufaa kuwa rais wa nchi?

    Kwa mujibu wa katiba yetu ,rais aliyepo madarakani ikitokea kapata dharula ya ugonjwa ambao hawezi Tena kuhudumu kama rais wa nchi ama kupatwa na umauti basi makamu ndiye atarithi nafasi yake ,swali ni je huyu nchimbi anaweza kuvaa viatu vya rais ? Tunaweza kujikuta kwa mara ya kwanza tunapata...
  2. Dkt. Nchimbi azungumza na makamu wa rais wa Nigeria

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akiwa kwenye picha ya pamoja na Mhe. Kashim Shettima Mustapha, Makamu wa Rais wa Nigeria, walipokutana Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Hosea Kutako, Windhoek, nchini Namibia, mara baada ya mazishi ya Rais wa Kwanza wa...
  3. Dkt. Nchimbi akutana na Emmerson Dambudzo Mnangagwa

    Rais wa Jamhuri ya Zimbabwe, Mhe. Emmerson Dambudzo Mnangagwa akizungumza jambo na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi walipokutana Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Hosea Kutako, Windhoek, nchini Namibia, mara baada ya mazishi ya Rais wa Kwanza wa Namibia...
  4. Dkt. Nchimbi azungumza na Thabo Mbeki

    Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Afrika ya Kusini, Mzee Thabo Mbeki akiwa kwenye picha ya pamoja na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi walipokutana Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Hosea Kutako, Windhoek, nchini Namibia, mara baada ya mazishi ya Rais wa Kwanza...
  5. Rais Ramaphosa azungumza na Dkt. Nchimbi

    Rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kusini, Mhe. Cyril Ramaphosa, akizungumza jambo na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, walipokutana Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Hosea Kutako, Windhoek, nchini Namibia, baada ya mazishi ya Rais wa Kwanza wa Namibia na Baba...
  6. Balozi Dkt. Emmanueli Nchimbi ashiriki mazishi ya Dkt. Sam Nujoma

    Picha mbalimbali zikimuonesha Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akishiriki shughuli ya mazishi ya kitaifa ya aliyekuwa Rais wa Kwanza wa Jamhuri ya Namibia, Baba wa Taifa hilo na kiongozi wa mapambano ya kupata uhuru wa nchi hiyo, Dkt. Sam Shafiishuna...
  7. L

    Balozi Dkt. Emmanueli Nchimbi Aongoza Ujumbe wa CCM katika mazishi ya Baba wa Taifa la Namibia

    Ndugu zangu Watanzania, CCM inaendelea kuonyesha ni kwanini ni chama kiongozi Barani Afrika, inaendelea kuonyesha ni kwanini imeendelea kuwa chama cha mfano na cha kuigwa Barani Afrika, inaendelea kuonyesha ni kwanini inapendwa na kukubalika ndani na nje ya mipaka ya Tanzania, inaendelea...
  8. Pre GE2025 Dkt. Nchimbi: Hakuna mgombea ubunge kupita bila kupingwa

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi ameonya vikali Wanachama wanaotafuta uteuzi wa udiwani na uwakilishi ambapo Balozi Nchimbi alisema baadhi ya Wanachama wanaotaka nafasi za uongozi wanaanza kupitisha fomu ili watangazwe kuwa Wagombea pekee ambapo amesema...
  9. Pre GE2025 Balozi Nchimbi: CCM kuendelea kuimarisha ushirikiano wa ndani na nje

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesisitiza dhamira yake ya kuendeleza na kuimarisha ushirikiano wa ndani na kimataifa chini ya uongozi wa Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan. CCM ambacho ni chama tawala nchini kimeeleza kuwa kitasimamia Serikali...
  10. Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akizungumza na Balozi wa Algeria nchini Tanzania, Ahmed Djellal,

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akizungumza na Balozi wa Algeria nchini Tanzania, Mhe. Ahmed Djellal, ambaye alifika ofisini kwa Balozi Nchimbi, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, jijini Dar Es Salaam, kwa ajili ya kuaga, Jumatano tarehe 12...
  11. Pre GE2025 Wajumbe Mkutano Mkuu CCM wapitisha Rais Samia, Dkt. Mwinyi kugombea Urais 2025

    Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma, Adam Kimbisa amewasilisha hoja kwa mkutano mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa Mwenyeiti wa chama hicho, Rais Samia Suluhu Hassan awe mgombea urais wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Pia, Kimbisa amesema Makamu Mwenyekiti Zanzibar wa CCM, Dk...
  12. U

    Pre GE2025 Sitamani kumuona Nchimbi akiwa Rais

    Wakuu, heshima kwenu! Moja kwa moja kwenye mada. Mtajwa hapo juu ni mchapakazi, tatizo lake kubwa simuoni kama mzalendo wa kweli. Tayari alishajihusisha na makundi, makundi ambayo yanalaumiwa kwa kukosa uzalendo. Karata ya CCM 2015 ilikuwa nzuri, pengine kuliko zote baada ya ya Nyerere...
  13. Hatari ya CCM Kuchagua Nchimbi Mapema kugombea Umakamu wa Rais

    Utangulizi Katika kipindi hiki cha kisiasa, ni muhimu sana kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa makini na maamuzi yake, hasa katika kumchagua Nchimbi kuwa Makamu wa Rais kuelekea mwaka 2030. Hatari hii inaonekana wazi kwa sababu inawezekana kwamba tunajenga msingi wa Rais wa mwaka 2030 hadi...
  14. CCM na PP kuimarisha uhusiano wa Tanzania na Ethiopia - Balozi Dkt. Nchimbi

    KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amesema urafiki kati ya CCM na Prosperity Party, chama tawala cha Ethiopia, ni hatua muhimu katika kuboresha na kuimarisha uhusiano wa nchi hizo mbili, pamoja na watu wake. Balozi Nchimbi amesema kuwa ushirikiano mzuri...
  15. R

    Usajili wa Msingwa CCM umesaidia sana ujio wa Lissu CHADEMA, hongereni Ndugu Makala, Nchimbi

    Kidumuuu chama!!! Nichukue fursa hii kuwapongeza makada wote ndani ya chama Cha kijani waliofanya usajili mahiri wa kuhakikisha wanamsajili ndugu Msigwa na kusaidia kumpa nguvu na umaarufu ndugu Lissu. Ushindi wa TUNDU Lissu una mchango mkubwa Toka Kwa kada huyu mwenye mapenzi ya dhati...
  16. Unadhani kwanini CCM kumteua Dkt.Emmanuel Nchimbi kama mgombea mwenza wa Urais na Stephen Wasira kama M/kiti CCM taifa, upinzani nchini umekata tamaa?

    My friends, ladies and gentlemen, Kuuna hali ya wazi kabisa ya kukata taamaa na kupoteza matumani na uelekeo kwa upinzani nchini, hasa baada ya chama tawala CCM kumteua Stephen Wasira kama Makamu mwenyekiti wa CCM Taifa bara, Dr.Hussein Mwinyi kama Makamu mwenyekiti wa CCM na mgombea uraisi...
  17. Uteuzi wa Dkt. Emanuel Nchimbi kama mgombea mwenza urais wa CCM uchaguzi mkuu wa OCT.2025, ni wa kisayansi katika siasa za kisasa.

    Kwanza umefanyika kimkakati, lakini pia umefanyika kwa muda muafaka kama surprise, lakini kwa kuzingatia sheria na katiba ya CCM, bila kuathiri kwa namna yoyote ile sheria na katiba ya nchi kuhusiana na masuala ya uteuzi wa wagombea uongozi na uchaguzi wenyewe. Azimio la kumuidhinisha Dr...
  18. CCM ya Samia. Wasira, Nchimbi, Makala imepoa kuliko CCM zote

    Kama hawa ndio mboni ya CCM hadi August 2025 watabaki walamba bendela kwenye CHAMA. Kama chama kinataka kuendelea kuongoza kifanye u-turn mapema sana. Kilete watu wenye mchakamchaka na wanao jua kubadili hari ya hewa. Sasa hivi CCM imepoa sana. Hata wana CCM wenyewe wakongwe hawaelewi...
  19. Nakumbusha tu kwamba DR. Emmanuel Nchimbi ndiyo agenda ya taifa kwa mwaka 2030-2040

    Ningependa kusisitiza jambo hilo kwa wadau wote wa JF na kama familia, kwamba agenda ya Taifa letu kwa mwaka 2030-2040 itakua ni Dr. Emmanuel Nchimbi. Ni muhimu kujipanga vyema nyuma ya huyu muungwana mzalendo. Nilishaeleza haya miaka iliyopita, naeleza tena mwaka huu, ili asijekutokea mtu...
  20. Emmanuel Nchimbi kugombea uraisi October 2025

    Amini usiamini 2025 Dkt.Emmanuel Nchimbi ataipeperusha bendera ya CCM uchaguzi wa uraisi 2025. Najua wengi hawajaelewa ila kwa sisi wataalamu wa masuala ya siasa za kikanda na kimataifa tunajua jinsi CCM walivojipanga kuhakikisha 2025 wanashinda kwa kishindo kizito mno. Kama kawaida najua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…