nchimbi

Emmanuel John Nchimbi (born 24 December 1971) is a Tanzanian CCM politician and was a Member of Parliament for Songea Town constituency from 2010 to 2015. Currently, he is Chama Cha Mapinduzi General Secretary. He was the Minister of Home Affairs.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Pre GE2025 Je, jeshi la Polisi litatekeleza maelekezo ya Dkt. Nchimbi ya kuwaachia viongozi wa CHADEMA? Haiwezekani akawa yeye pia ana mamlaka ya kusema kamata?

    Kama Karibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi anaweza akaelekeza waliokamatwa waachiwe na Vyombo vikatii, upo uwezekano huyu ndiye aliyeagiza wakamatwe. Tukumbuke Juzi alimtaka Lissu ajiunge CCM then Lissu akamjibu shit, yawezekana kabisa mzee Nchimbi alichukia akaamua kutoa maelekezo kuonyesha...
  2. Stephano Mgendanyi

    Dkt. Nchimbi Awaagiza Mwigulu & Bashungwa Ulipaji Fidia Bukoba Mjini

    DKT. NCHIMBI AWAAGIZA MWIGULU NA BASHUNGWA ULIPAJI FIDIA BUKOBA MJINI. Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel Nchimbi amemuelekeza Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba kuiwezesha Wizara ya Ujenzi kiasi cha Shilingi Bilioni 1.8 kwa ajili ya malipo ya fidia kwa wananchi...
  3. Ojuolegbha

    Ziara ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt Emmanuel John Nchimbi na Wajumbe wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mkoani Geita .

    Ziara ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt Emmanuel John Nchimbi na Wajumbe wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mkoani Geita . #ChamaImaranaSSH #KaziIendelee
  4. Stephano Mgendanyi

    Bashungwa Kusimamia Maelekezo ya Dkt. Nchimbi, Barabara Inayounganisha Kagera - Kigoma Kukamilika Oktoba, 2024

    BASHUNGWA KUSIMAMIA MAELEKEZO YA DKT. NCHIMBI, BARABARA INAYOUNGANISHA KAGERA - KIGOMA KUKAMILIKA OKTOBA, 2024 Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuhakikishia Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel Nchimbi kuwa Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi itahakikisha inasimamia...
  5. J

    Pre GE2025 Nilijua tu Mch. Msigwa ataiingiza chaka CCM, sasa CHADEMA na kadi za kienyeji za karatasi wapi na wapi? Nchimbi uwe makini

    Nimeshangaa sana kuona KADI za Makaratasi za CHADEMA kwani ninavyojua CCM, CHADEMA na ACT Wazalendo walishaacha na hizo KADI za Kienyeji. Pia soma: Kadi za kieletroniki za uanachama kuipa CHADEMA Tsh. Bilioni 13 kwa mwaka Peter ni mwanaharakati kutoka Matamba Makete aliyepata Ujanja Bondeni...
  6. Stephano Mgendanyi

    Dkt. Nchimbi Amuagiza Bashungwa, Ujenzi wa Barabara ya Kyerwa - Karagwe Kuanza

    DKT. NCHIMBI AMUAGIZA BASHUNGWA, UJENZI WA BARABARA YA KYERWA - KARAGWE KUANZA Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Emmanuel Nchimbi amemuelekeza Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa kuhakikisha utekelezaji wa ujenzi wa barabara ya Kyerwa - Omurushaka Karagwe (km 62.5) kwa kiwango cha...
  7. Roving Journalist

    DKT. Nchimbi amuagiza Bashungwa, ujenzi wa Barabara ya Kyerwa – Karagwe uanze

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Emmanuel Nchimbi amemuelekeza Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa kuhakikisha utekelezaji wa ujenzi wa barabara ya Kyerwa - Omurushaka Karagwe (km 62.5) kwa kiwango cha lami unaanza mara moja ili kuondoa adha wanazozipata wananchi wa Wilaya ya...
  8. Ojuolegbha

    Pre GE2025 Mkutano mkubwa wa hadhara wa Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Nchimbi

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel Nchimbi leo alasiri anatarajiwa kuzungumza na wananchi wa Lindi kwenye mkutano mkubwa wa hadhara utakaofanyika Uwanja wa Mpilipili, Mjini Lindi. Balozi Nchimbi na msafara wake, atapokelewa rasmi katika Ofisi za CCM za Mkoa huo, ambapo...
  9. iamwangdamin

    Nchimbi na Mtwara kuchele

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi, amepokelewa na maelfu ya Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Wananchi wa Mtwara mjini, wakati alipowasili akitokea Masasi, kuzungumza nao kupitia mkutano wa hadhara, katika Uwanja vya Sabasaba. Katika ziara hiyo ya...
  10. iamwangdamin

    Balozi Nchimbi azuru kwenye kaburi la Hayati Benjamin Mkapa Lupaso

    Katibu Mkuu wa CCM Taifa Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi akiongozana na Wajumbe wa Sekretarieti amezuru katika kaburi la hayati Benjamin Mkapa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tatu . "Naomba nikiri kuwa Mimi ni mwanafunzi wa hayati na nimekuwa Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Taifa katika kipindi Chake...
  11. L

    Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi Katibu Mkuu wa CCM Kuongoza Secretarieti Katika Ziara Nzito ya Mikoa Ya Kusini

    Ndugu zangu Watanzania, Wakati vyama kama CHADEMA viking'ang'aniana na kila mtu akijitangaza kuwa ndiye mgombea Urais,wakati CHADEMA ikiendelea kupukutika na kukimbiwa na wanachama wote wenye akili Timamu na wanaojitambua,wakati vyama kama CHADEMA vikiwa vimepotea kabisa mitaani kutokana na...
  12. USSR

    Barua ya wazi kwa katibu mkuu CCM balozi Nchimbi

    BARUA YA WANABIHARAMULO KWA BALOZI NCHIMBI KATIBU MKUU WA CCM TAIFA UTANGULIZI Mh balozi tumesikia kuwa unakuja kufanya ziara hapa Biharamulo tunakukaribisha wilayani kwetu Biharamulo ,kuja kwako ni neema ya kutatua matatizo makubwa ya kiungozi/kiutawala ya chama chetu hapa wilayani...
  13. L

    Tazama katika picha Wachina Wakimsikiliza Kwa Umakini Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi Katibu Mkuu wa CCM

    Ndugu zangu Watanzania, CCM ni chama kiongozi, ni chama kilichobeba Matumaini ya watanzania, ni chama kilichobeba hatima ya Taifa letu, ni bima ya watanzania na chama kilicho na heshima na kuheshimika ndani ya bara la Afrika na Duniani Kwote. Embu angalia katika picha hii chini hapa yenye...
  14. Cute Wife

    Nchimbi ataka wabadhirifu na wezi waombewe ili roho hizo za kuhujumu nchi ziwatoke!

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi, amewataka Watanzania kuwaombea wanaofanya ubadhirifu na wezi ili roho hizo za kuhujumu nchi ziwatoke. Amesema haiwezekani Rais Samia anahangaika kutafuta fedha ndani na...
  15. Suley2019

    Pre GE2025 Nchimbi akemea vyama vya upinzani kuhamasisha mauaji

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Nchimbi akikemea na kuonya vikali viongozi wa vyama vya upinzani ambavyo baada ya kukosa hoja, agenda, kuishiwa ushawishi na uwezo wa kiuongozi, vimeanza kutumia majukwaa ya mikutano ya hadhara kuhamasisha mauaji wakati nchi yetu inapoelekea...
  16. L

    Fred Lowassa ampongeza Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi kuwa alimtendea haki Baba yake 2015. Amuomba akasimamie kanuni zisikanyagwe tena

    Ndugu zangu Watanzania, Kama mnavyofahamu kuwa msafara wa katibu mkuu wa CCM na sekretarieti yake Mheshimiwa Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi ametua na kuingia katika Jiji la Arusha lililo chini ya Mwamba Mwenyewe Paul Christian Makonda kijana jasiri kusini mwa jangwa la sahara akitokea Mkoani...
  17. L

    Pre GE2025 Katibu Mkuu CCM, Balozi Dkt. Emmanueli Nchimbi amehitimisha ziara ya siku mbili mkoani Singida kwa kusambaratisha hoja zote za Lissu za kibaguzi

    Ndugu zangu Watanzania, Baada ya hapo jana katibu Mkuu wa CCM Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi pamoja na secretarieti Kupokelewa Kifalme na kwa kishindo kikuu Mkoani Singida. Hii leo tena Amehitimisha ziara yake ya siku mbili mkoani hapo kwa kishindo kikubwa sana kilichotikisa Mikoa ya kanda ya...
  18. L

    Katibu Mkuu Wa CCM Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi kufanya ziara Mikoa ya kanda ya Kaskazini 29/05/2024

    Ndugu zangu Watanzania, Napenda kuwapeni taarifa ya kuwa kuanzia Kesho Katibu Mkuu wa CCM Balozi Daktari Emmanueli Nchimbi ataanza na kufanya ziara nzito sana katika mikoa mitano ya kanda ya kaskazini,kati na Pwani. Ambapo mikoa hiyo ni mkoa wa singida ambao ndio utakuwa wa kwanza kwa siku ya...
  19. Cute Wife

    Nchimbi: Mtu anayetafuta madaraka kwa kufarakanisha wenzake hafai kuwa kiongozi kwenye chama chetu

    Katibu Mkuu wa chama tawala nchini Tanzania CCM, Dkt. Emmanuel Nchimbi amewataka wanachama wa CCM kudumisha umoja na kuepuka mifarakano inayoweza kukisambaratisha chama hicho. Nchimbi ametoa kauli hiyo wakati wa ziara yake mkoani Songwe na kuongeza kwamba “mtu anayetafuta madaraka kwa misingi ya...
  20. JF Member

    Ujumbe kwa Dkt. Nchimbi - Cheo chako Hukitendei haki

    Chama umepewa, kusimamia serikali na Ilani ya chama. Ila kuna sehemu unakwama. Jambo utakaloliweza ni kukutuliza chama/kupunguza kasi ya vuguvugu chamani. Ila huku kitaa unapwaya. Wanao kuja kwenye mikutano yako ni viongozi wa CCM wa wanafunzi wanaolipwa posho. Mwananchi wa kawaida hawaoni...
Back
Top Bottom