Emmanuel John Nchimbi (born 24 December 1971) is a Tanzanian CCM politician and was a Member of Parliament for Songea Town constituency from 2010 to 2015. Currently, he is Chama Cha Mapinduzi General Secretary. He was the Minister of Home Affairs.
Kuna vyeo vya kisiasa ukishavifikia huwezi tena kusonga mbele,inakuwa ndio climax ya mafanikio yako.
Tanzania haijawahi kuto Rais ambaye amewahi kuwa PM au VP,imeonekana kama ndio kautaratibu wakubwa wamejiwekea.
Pia soma - CCM yamchagua Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza katika...
Mwaka 1983 Mzee wangu alihamia Tabata,kipindi hicho kikiwa ni kitongoji duni kabisa,maji shida,barabara mbovu ,kumepoa.
Taratibu mpaka mwanzoni mwa miaka ya 2000 Tabata inaanza kuchangamka,tunapata jirani ambaye ni Mzee John Alphonso Nchimbi,nyumba yake inaangaliana na nyumba yetu.
Wazee hawa...
Hii Sasa ni hatari, kuanzia Mke wa Nyerere, Mke wa Sokoine, Mke wa mpaka latest kwa Mpango, Kasimu Majaliwa, na Sasa Emanuel Nchimbi wataendelea kula pension ya Umma. Gari latest la Kijapani ama Surf la maana, walinzi wa maisha wa Familia za viongozi Hawa, Dobi, mtunza bustani na Mahouse maid...
Barua ya Wazi kwa Katibu Mkuu wa CCM, Emmanuel Nchimbi, Kuhusu Kutekwa Kwangu Nikiwa Ndani ya Gari la Mwenyekiti wa UVCCM, Bariadi
Ndugu Katibu Mkuu, Amani iwe nawe!
Ni imani yangu kuwa barua hii itakufikia ukiwa mwenye afya njema, ukiendelea na majukumu ya kulitumikia taifa letu ambalo leo...
Anaadika Mo Mlimwengu.
Kizuri chajiuza na kibaya chajitembeza na usione vyaelea ujue vyaundwa. Huwa ni nadra sana kupata viongozi washupavu kariba ya Dr Nchimbi. CCM inajivunia uwepo wake kwenye chama kama injini . Ni miongoni mwa watu ambao walipikwa wakapikika na wakaokwa tangu UVCCM na leo...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amewasili mkoani Tabora kwa ajili ya ziara ya siku mbili, ambapo baada ya kutua Uwanja wa Ndege wa Tabora, na kupokelewa na wenyeji wake, waliiongozwa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tabora Ndugu Said Juma Nkumba, Balozi...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Emmanuel John Nchimbi, amehitimisha kampeni za uchaguzi wa Serikali za Mitaa za CCM mkoani Dar es Salaam kwa kutoa wito kwa Watanzania kujitokeza kwa wingi kupiga kura siku ya Jumatano, tarehe 27 Novemba 2024, kuchagua viongozi, hususan...
TUNA MTAJI WA IMANI YA WATANZANIA: NCHIMBI
Azindua kampeni Mwanza akitamba na takwimu za kura za uhakika
Awasihi wanaCCM kila mmoja kutafuta kura 10 kwa ajili ya ushindi wa kishindo
Ahamasisha kampeni za nyumba kwa nyumba na mtu kwa mtu, isiachwe kura hata moja, wakiwemo wapinzani
Awataka...
MTANZANIA, THOMAS NKOLA maarufu Mkulima amehoji sababu za Chama cha Mapinduzi kumruhusu Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (MNEC) anayetuhumiwa kwenye kashfa mbalimbali za ufisadi kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa kampeni za uchaguzi wa Serikali za Mitaa mkoani Shinyanga.
Mjumbe huyo wa...
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Dkt.Emanuel John Nchimbi atazindua Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mtaa kwa Wagombea wa CCM Mkoani Mwanza tarehe 20 Novemba ,2024 .
Salaam za Katibu Mkuu wa CCM Dr Nchimbi:
1. Shukrani Kwa Wananchi kwani Wao ndio walikuwa wa kwanza kufika na kuanza Uokoaji
2. Shukrani Kwa Vyombo vyote vya uokozi vinavyoendelea na kazi ya uokozi
3. Shukrani Kwa Waziri Lukuvi Kwa kusimamia zoezi muda wote Bila kuchoka
4. Shukrani Kwa RC...
Nimeshangazwa na chama cha ACT-WAZALENDO siku ya kesho wanaenda kuzindua ilani ya chama chao kwajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa kwa uchaguzi upi? Kwa wagombea wepi?
Katika jukwaa ili kuna mtu aliwahi kusema siasa ambazo wanafanya ACT-WAZALENDO ni siasa ambazo wanajiona kama wapo ndani ya...
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi amekutana na Mheshimiwa Youssoufa Mohamed Ali, Waziri wa Ulinzi ambaye ni Katibu Mkuu wa Chama Tawala Comoro cha CRC ambaye pia ni Katibu wa Rais wa Umoja wa Visiwa vya Comoro na kuzungumzia kuimarisha uhusiano baina ya vyama...
"Acheni kupanga safu, viongozi bora ndio wapitishwe, ni kosa kubwa la kimaadili kiongozi kumkamia mwanachama kwamba atahakikisha anakatwa, kila mwanachama ndani ya chama chetu ana haki sawa na mwingine" .
Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi akizungumza na viongozi na wanachama wa CCM Wilaya ya Kahama...
Katibu Mkuu wa Chama cha mapinduzi Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi akizungumza na Wananchi wa Tinde Shinyanga amemuagiza Waziri wa Tamisemi kuhakikisha kabla ya Uchaguzi Mkuu 2025 ahakikishe Moja ya maeneo yenye uhitaji wa Kituo cha Afya kiwe kimejengwa ili kurahisisha huduma kwa jamii.
"Kuna...
Ndugu zangu Watanzania,
Katibu Mkuu wa CCM Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi ataongoza Wajumbe wa Secretarieti kufanya ziara nzito sana ya ukaguzi wa utekelezaji wa ilani ya CCM,kusikiliza na kutatua papo kwa papo kero za wananchi pamoja na kuhamasisha watu kuiunga mkono CCM katika uchaguzi wa...
Katibu Mkuu wa CCM Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi leo tarehe 01 Octoba, 2024 ameshiriki mazishi ya Mama wa Aboubakary Liongo ambaye yeye ni Afisa Msaidizi Idara ya Itikadi,Mafunzo na Uenezi wa CCM aliyefariki jana na kuzikwa Leo kwenye Makaburi ya kisutu.
Katibu Mkuu ameongozana na Katibu wa NEC...
Chama kimetulia, chama kina kubalika, chama kinaaminika, chama kimeimarika mno.
Ruvuma na Songea wamedhihirisha kwamba wewe Dr Emmanuel Nchimbi katibu mkuu CCM Taifa, ni agenda ya Taifa na karata muhimu ya chama, wanainchi na serikali baada ya Dr. Samia Suluhu Hassan kuhitimisha majukumu yake...
Wengi sasa wameanza kumwangalia kwa jicho flani huyu msomi na jamaa mwenye utulivu flani. Wanasema anafaa kuwa Rais wa kupitia CCM yaani yeye ni bora kuliko manyang'au wengine.
Hata uongeaji wake ni mtulivu na anahesabu maneno. Wakubwa wake wanatiririsha tu maji taka. Yeye anachuja. Nadhani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.