nchimbiafukuzwa uanachama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. thegreat1510

    JamiiForums Tanzania Kama kweli Nchimbi amewekwa kizuizini kuna uwezekano yote haya yanafanyika kinyume na matakwa yake

    Inasemekana mawasiliano na Nchimbi hakuna hadi sasa Ikiwa wamechukua simu yake maana yake huenda wamegushi barua ya kujiuzulu, wakatumia account zake za mitandao ya kijamii pia kutuma. Nafasi ya makamu wa Rais ni kubwa sana mtu kujiuzulu kwa barua tu, Ngoja tusubiri kauli yake mwenyewe.
Back
Top Bottom