Kama kweli Nchimbi amewekwa kizuizini kuna uwezekano yote haya yanafanyika kinyume na matakwa yake

thegreat1510

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2021
Posts
1,523
Reaction score
4,040
Inasemekana mawasiliano na Nchimbi hakuna hadi sasa

Ikiwa wamechukua simu yake maana yake huenda wamegushi barua ya kujiuzulu, wakatumia account zake za mitandao ya kijamii pia kutuma.

Nafasi ya makamu wa Rais ni kubwa sana mtu kujiuzulu kwa barua tu,

Ngoja tusubiri kauli yake mwenyewe.
 
IMG-20260827-WA0003.jpg
 
The government works on paper.
 
Shida wanakiwa madarakani huwa wanaona hayawezi kuwapata haya
 
Back
Top Bottom