Kipekee kabisa natumia fursa hii tena kuutazama uteuzi wa Paul Makonda kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM kama dhamira njema ya Rais SS Hassan kuisogeza CCM karibu na wananchi hasa katika kusimamia watendaji wa serikali ili CCM kupitia Serikali yake iweze kutimiza ahadi zake na malengo kwa...
Aisee hali ni tete ndani ya kile chama kilichotamba kwa miaka mingi kuwa ni chama chenye umoja, mshikamano, chenye kuheshimu utu na watu.
Sasa ni mambo ya kuviziana tu. Imefika mahali mwanachama huyu anataka mwanachama mwenzake afe.
Hii si jambo la kuhendekeza hata kidogo. Chuki na uhasama...
Tangu mwaka 1977 CCM iko madarakani na wakati wote huo mpaka sasa ufisadi na mafisadi ndiyo mtindo wa kuendesha nchi kutoka CCM.
Kama kuna mtu anaweza kutuambia kwa uhakika ni wakati gani kulikuwa hakuna Ufisadi na mafisadi ndani ya CCM, atuambie tujue!!
Kama mtu mzito kama Dr Anthony Diallo ambaye alikuwa Mwenyekiti wa CCM mkoa, Mbunge na waziri mwandamizi mstaafu na mmiliki wa vyombo vya habari chini ya Sahara media ambavyo ni kama ilikuwa ni mali ya CCM anaweza sema ukweli na chama kikamla kichwa wewe mwingine ni nani upone baada ya kusema...
Salaam,
Hilo ni swali kwa wana CCM na chawa wa Rais Samia. Je, mmejipanga au mnawahadaa CHADEMA, Wahafidhina ndani ya CCM hawashindwi wanakuacha ujimwambafy kwa muda tu.
Tunawacheki tu na hayo maigizo yenu ya kulambishana asali.
Rais Samia amesema kwakuwa CCM ndiyo waliyoweka serikali basi wakosolewe.
Asema anaamini akikosolewa anaoneshwa changamoto ilipo na akiifanyia kazi changamoto ile watu wakamuamini ataendelea kubaki.
Na kutokana na hilo haviiti vyama vingine kama vyama vya upanzani bali vyama vya kumuonesha...
Ngoja leo niwape za ndani ndaniii kabisa.
Kuna mwanasiasa mmoja ambaye kwa miaka ya hivi karibuni amejipenyeza katika mambo ya mpira ili kutafuta ushawishi wa kisiasa.
Wote tunajua kuwa toka Mwendazake aondoke, kumekuwa na mtifuano wa chini chini ndani ya chama kati ya wale waliokuwa wamewekwa...
Hakika kuna za chini ya kapeti kuwa wajumbe wengi wanakasirishwa na utendaji na tabia za hawa vijana wa Samia wanaowania nafasi zile 15 za kapu ndani ya Halmashauri Kuu na wameahidi kuwafundisha adabu ya utumishi ni kuheshimu walio chini.
Kuna habari pia kuwa Mama Mwenyekiti anawataka hao...
Sasa ni rasmi ndani ya CCM kuna makundi 2 makubwa, lililo madarakani (Team ⁉️⁉️) na lile lililoondolewa madarakani (Team JPM✔️).
🩸Bashiru akiwa katibu mkuu CCM aliweza kugundua jinsi baadhi ya wanachama wahuni walivyokua wanajinufaisha binafsi na mali za chama.
🩸Ufanisi na uzalendo uliotukuka...
UMATI UCHAGUZI WA CCM NI SALAMU ZA TSUNAMI 2024-2025.
Shaka asema idadi hiyo kubwa inatokana na uongozi bora wa Rais Samia,
Asisitiza uchaguzi wa mwaka huu umevunja rekodi kwa kuwa haijawahi kutokea
====
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema mwitikio mkubwa wa wanachama kujitokeza katika...
Kuna tetesi kila mahali kuwa ndani ya Chama cha Mapinduzi makundi kwa makundi wanajipanga kuweka upinzani hapo baadaye 2025 uchaguzi ujao.
Ofcourse! Watasema ni haki yao ya kikatiba na demokrasia ndani ya chama chao, jambo la kushangaza ni kwanini sasa? Mbona wakati wa JPM wote waliufyata...
KINANA ATAJA SABABU CCM KUKAA MADARAKANI MUDA MREFU AKIZUNGUMZA NA WANA CCM KATAVI
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Abdulrhman Kinana ametaja sababu tatu za kwanini Chama hicho kimekaa madarakani kwa muda mrefu na moja ya sababu ni uwepo wa demokrasia ya uhuru watu kujieleza na...
Rais SSH amekuwa rais wa viwango tangu aingie madarakani 2021, Bahati mbaya ameangukia kwenye kundi lenye uroho wa Madaraka na Wapiga dili wa tangu kale.
Bahati mbaya SSH amekuwa akiamini ndio kundi lenye kumshauri vizuri,kumbe ni kundi lenye Maslahi binafsi haliamini Kama Samia anaweza...
VIJANA NA UCHAGUZI NDANI YA CCM NA UVCCM 2022
Na Victoria Charles Mwanziva (Katibu idara ya uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa)
Chama cha Mapinduzi CCM kinaheshimika na kufahamika kwa mfumo wake mzuri wa demokrasia iliyoshamiri ndani yake, kwa miaka mingi tangu kuanzishwa kwake baada ya...
Awali ya yote niipongeze serikali na viongozi wake kww kazi wanaifanya japo kama Taifa tunaona kuna mabadiliko makubwa ya kimfumo yanatakiwa kufanyiwa kazi ili Taifa hili liweze kwenda mbele tukiwa na umoja wa kitaifa.
Ccm chini ya viongozi wakuu wa Taifa hili wametoka kwenye misingi baba wa...
Chama hiki Ni Alama ya demokrasia duniani. Fikiria CUF, Prof Lipumba (PhD) ni Mwenyekiti tokea 1999 (2022-1999=miaka 23 yumo tu). Mboe nae daah, mtihani kweli kweli! Demokrasia kwa vyama vya upinzani inabaki kwenye makaratasi tu.
Wapinzani walikuwa na haki ya kumchukia Magufuli kutokana na mambo aliyowatenda.
Lakini cha kushangaza upinzani mkubwa sana umeibuka kutoka katika kikundi kidogo ndani ya chama chake mimi nawaita wanufaika wa chama.
Kukaibuka wakina KIGOGO 2014 hadi alipofariki uwanaharakati wao ukaisha...
Hawa ndiyo wanasadikiwa kuwa ni wana CCM waliotaka kuachana na utamaduni wao wa 'miaka 10' aachiwe mwanaCCM aliyepo Ikulu aendelee 2025.
Vigogo wazito kama Spika Job Ndugai, waziri mzalendo namba 2 Prof. Palamagamba Kabudi, mchapa kazi asiyechoka William Lukuvi, mawaziri na wabunge kadhaa wenye...
Hii ni sababu kuwa kuna dalili kuwa hata kifo cha hayati JPM kina utata mkubwa.
Mpaka sasa kuna kundi la wanaCcm linalojiona kuwa lipo kwa ajili ya kupinga ufisadi na ukwapuaji wa mali ya umma. Huku kuna kundi ambalo lilifurahia kifo cha Hayati JPM likijinasibu kuwa lina mpango wa kupiga madili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.