Hili genge lenye roho mbaya dhidi ya Serikali ya sasa kila mtu mwenye akili timamu analijua. Wamejawa na uchu wa madaraka, rushwa na upendeleo.
Ni ndumi la kuwili, wana ndimi mbili ni watu wa hatari sana. Wengine wamejificha wamekaa kimya kumbe wanawaunga mko waliojitoa mhanga kujitokeza...
Chasaka ni mtu ambaye hana asili ya mahala fulani,sio wa pale. Polepole naye hana asili ya CCM, aliokotwa tu huko mababarani na kujikuta CCM akiwa na cheo. Asijifanye anaijua CCM saaana kuliko wenye mizizi ndani ya CCM. Polepole ni Chasaka grade number one+++
Kwa muda mrefu nimekuwa ni adui wa kauli na utendaji usiofata misingi wa Nape Nnauye. Kauli zake Mara nyingi zinaonesha ni mtu anayejisikia, mtu ambaye anaamini kwamba bila yeye CCM haiwezi kusonga mbele,kwa kifupi anajiona ni mungu mtu ndani ya CCM.
Nape anachotakiwa kujua ni kwamba chini yake...
Kwa wana CCM wasio na “baba walezi” kataeni matabaka kwenye Chama chetu maana ndio msingi wa Usawa wa Binadamu ambayo ni Imani ya Kwanza ya Chama chetu na wanachama.
Matabaka ni mbinu moja ya wahuni kukidhoofisha Chama chetu kwa maslahi yao, tuikatae tabia hiyo #kataawahuni.
Kati ya viongozi wote wa CCM ni yupi anaweza akatuhumiwa kisiasa akakamatwa na kuwekwa ndani kisha akavumilia kukaa huko akisubiri haki itendeke bila kutuma watu Kwa viongozi waandamizi wakamwombee msamaha?
Yupi mwenye uchungu na Wananchi kiasi kwamba anaweza kuweka Taifa mbele na kuachana na...
Huu sio utabiri ila ndio suluhu ya mwisho ya yanayoendelea huko jikoni.
Inasemekana Hayati Magufuli alikuwa tayari amekubali kuuanza upya mchakato wa kuunda katiba ya Wananchi na hili alipata ushauri wa Kina kutoka kwa Mshauri na Mlezi wake Hayati Benjamini, moja ya mependekezo makubwa ya...
Tayari mpaka sasa kuna WanaCCM wanaojinasibu kupinga ufisadi na uonevu, na hawa wameshalianzisha na pia kuna kundi ambalo linajinasibu limeshika hatamu na sasa ndio wakati wao wa kujitanua kwa kila namna na tayari kuna harafu kuwa wameanza kupiga madili
Kwa ujumla kuna dalili kubwa kuwa Ccm...
Huu ndio ukweli ulio wazi ingawa CCM wenyewe hawawezi kukiri hadharani. Kuna hatari ya kundi la Mwendazake kutaka kumuhujuma Mama na mnyukano huu unalenga uchaguzi wa 2025.
Hata hivyo, kundi la Mwendazake wajue tu kwa katiba hii mbovu, hakuna wataloweza na ninachowashauri waungane na wapinzani...
"WATANZANIA HAWA WANATAKA MABADILIKO, WASIPOYAPATA CCM WATAYATAFUTA NJE YA CCM" JK. NYERERE....."LAZIMA CCM TUWAPE WATANZANIA MABADILIKO WAYATAKAYO ILI TUENDELEE KUONGOZA" Nnauye (mtoto wa kuli).
NIMEKUTA KWENYE WALL YA NAPE YA FB, ANAYAAMINI HAYA?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.