Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) imewataka wasafiri wa ndege ndani na nje ya nchi kutositisha safari zao kutokana na hofu ya tangazo la Umoja wa Ulaya (EU) kuhusu kuzuia baadhi ya mashirika ya ndege kutumia anga lake, ikisisitiza kuwa hatua hiyo haijahusisha ndege zilizosajiliwa nje ya...
Ndege ya Air India AI171, aina ya Boeing 787-8 Dreamliner, iliyokuwa safarini kutoka Ahmedabad, India kuelekea London Gatwick, Uingereza, imepata ajali mbaya ikiwa na watu 242 imeanguka muda mchache baada ya kupaa kwenye uwanja wa Ahmedabad, mji uliopo Magharibi mwa India.
Hadi sasa haijafamika...
Brussels – Umoja wa Ulaya (EU) umepiga marufuku ndege zilizosajiliwa Tanzania na nchi ya Suriname kutokana na upungufu wa usimamizi katika usafiri wa anga kwa mujibu wa taarifa ya EU iliyotolewa Juni 3, 2025.
Hatua hiyo imefuatia Tume ya Ulaya kusasisha orodha ya usalama wa usafiri wa anga ya...
Kitendo cha serikali ya Magufuli kununua ndege za biashara halafu kwa kipindi kifupi biashara ikatoa majibu kuwa ni biashara kichaa lakini serikali yake ikaendelea kuagiza ndege zingine. Alipoingia Samia nilitarajia aidha angeuza ndege zote za biashara au angesitisha mpango wa kuongeza ndege...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.