Ndege ya abiria iliyokuwa na watu 242 yaanguka huko Ahmedabad, India muda mfupi baada ya kupaa. 241 wathibitika kufariki dunia

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Ndege ya Air India AI171, aina ya Boeing 787-8 Dreamliner, iliyokuwa safarini kutoka Ahmedabad, India kuelekea London Gatwick, Uingereza, imepata ajali mbaya ikiwa na watu 242 imeanguka muda mchache baada ya kupaa kwenye uwanja wa Ahmedabad, mji uliopo Magharibi mwa India.

Hadi sasa haijafamika idadi kamili ya watu waliopoteza maisha.

Political leaders across the spectrum reacted with shock and sorrow on Thursday after an Air India flight to London crashed shortly after take-off from Ahmedabad. The Boeing 787 Dreamliner, operating as flight AI-171, had 242 people on board, including 230 passengers and 12 crew members.

Union Civil Aviation Minister Ram Mohan Naidu said he was “shocked and devastated” by the incident. “I’m personally monitoring the situation. All agencies have been directed to respond swiftly,” he posted on social media. Rescue teams and fire engines were sent to the site immediately after the crash.

West Bengal Chief Minister Mamata Banerjee called the crash “tragic” and said she was praying for survivors. “We anxiously wait for details,” she said in a statement.

Gujarat Chief Minister Bhupendra Patel said he was deeply saddened by the accident and confirmed that rescue operations were underway. “I have directed officials to immediately begin rescue and relief operations, and to ensure that injured passengers receive urgent medical treatment on a war footing,” he said. Patel also mentioned that arrangements were being made for a green corridor to transport the injured and that Union Home Minister Amit Shah had assured full support from the Centre, including NDRF deployment.

Other leaders also joined in expressing concern and solidarity.

Samajwadi Party president Akhilesh Yadav urged the government to release a prompt clarification on the crash. “There must be an immediate explanation to remove doubts surrounding the Ahmedabad plane crash. Prayers for all passengers and crew. The highest level of rescue, relief, and treatment must be provided,” he said in a post on X.

Maharashtra Chief Minister Devendra Fadnavis said he was “pained and shocked” to hear of the incident. “Praying for everyone’s safety,” he added.

Union Minister Jyotiraditya Scindia said, “Extremely shocked and saddened by the news of the flight crash in Ahmedabad. My thoughts and prayers are with all those on board and their families.”

RJD leader Tejashwi Yadav also expressed grief. “Saddened and shocked to hear about Air India plane crash in Ahmedabad with 242 passengers on board. Praying to God that passengers and crew remain safe!” he posted.

Assam Chief Minister Himanta Biswa Sarma had earlier said, “Deeply concerned by reports of an Air India flight crash in Ahmedabad. Praying for the safety and well-being of all passengers and crew members.”

The plane, commanded by Captain Sumeet Sabharwal with First Officer Clive Kundar, crashed just minutes after takeoff from runway 23 at the Sardar Vallabhbhai Patel International Airport. It gave a distress call to ATC, but lost contact soon after.

Officials said a detailed probe has been ordered, and more information will be released after preliminary findings are available.

As of Thursday evening, rescue operations were still ongoing. No official word yet on the number of casualties.

Source: Air India London flight crashes after take-off from Ahmedabad, leaders react

----
Ndege ya abiria iliyobeba watu 242 wamefariki Dunia leo wote baada ya anali ya ndege iliyotokea india karibu na uwanja wa ndege wa Ahmedabad airport abiria wote wamekufa.

wafanyakazi wa uokoaji bado wanaendelea kufuatilia Mabaki mbalimbali ya ndege aina ya Air India iliyokuwa na abiria 242 na wafanyakazi kuanguka muda mfupi tu baada ya kupaa kutoka uwanja wa ndege wa mji wa Ahmedabad nchini india hadi kwenye jengo moja ambalo wanafunzi wa medical walikua wametulia wakila chakula cha mchana.

Polisi nchini india wanasema wamepata miili ya watu 204 kati ya 242 iliyokuwepo kwenye ndege ambapo abiria walikua 230 na 12 walikua ni wafanyakazi na pilots. Walikufa wahindi ni 169, 53 waingereza na mtu mmoja ni Canadian Pamoja na watu wa Portuguese 7.
 
Ndege ya Air India AI171, aina ya Boeing 787-8 Dreamliner, iliyokuwa safarini kutoka Ahmedabad, India kuelekea London Gatwick, Uingereza, imepata ajali mbaya mnamo tarehe 12 Juni 2025.
Dakika chache baada ya kuondoka uwanja wa ndege wa Ahmedabad, rubani alitoa wito wa dharura (“Mayday”) kutokana na matatizo ya kiufundi yaliyosababisha kupoteza udhibiti wa ndege. Licha ya juhudi za kudhibiti hali hiyo, ndege hiyo ilianguka katika eneo la Meghani Nagar, karibu sana na uwanja wa ndege huo.
IMG_1599.jpeg

Ndege hiyo ilikuwa imebeba jumla ya watu 242, wakiwemo abiria na wafanyakazi wa ndege. Moto mkubwa ulizuka mara baada ya kuanguka na vikosi vya zimamoto, polisi, na huduma za dharura ziliwasili haraka katika eneo la tukio kwa ajili ya shughuli za uokoaji.

Mpaka sasa, mamlaka bado hazijatoa taarifa rasmi kuhusu idadi ya waliofariki dunia au kujeruhiwa, lakini ripoti za awali zinadai huenda idadi ya vifo ikazidi watu 50. Uchunguzi wa chanzo cha ajali umeanza chini ya usimamizi wa DGCA (Directorate General of Civil Aviation) ya India, kwa kushirikiana na shirika la ndege la Air India.

Tukio hili limewaacha wengi katika huzuni na mshangao, hasa ikizingatiwa kwamba ndege ya Dreamliner ni mojawapo ya ndege za kisasa na salama zaidi. Familia za abiria na wananchi kwa ujumla wanahimizwa kusubiri taarifa rasmi kutoka kwa mamlaka husika.

Kwa sasa, shughuli za uokoaji na uchunguzi zinaendelea, na taarifa zaidi zitakuwa zikitolewa kadri hali inavyobainika.

IMG_1598.jpeg
 
Ilaaaa Huyu aliye rekod na hiyo simu yake mbona is like alikua ana expect itokee 😂.
Maana unaona kabisa kila inapokata Nautrical miles jamaa anai zoom tuu ili asikose kinachoenda ku happen !!
Au ndio masuala ya AI?.
Ma
Itakua tayari ilitoke eneo ambalo hawajazoea kuona ndege ikishuka kwa ukaribu zaidi maeneo hayo.yani kama uko mbezi mara ndege vuuu kama vile upo jet Lumo au vingunguti
 
Ilaaaa Huyu aliye rekod na hiyo simu yake mbona is like alikua ana expect itokee 😂.
Maana unaona kabisa kila inapokata Nautrical miles jamaa anai zoom tuu ili asikose kinachoenda ku happen !!
Au ndio masuala ya AI?.
Ma
Hao wanaitwa Plane spotters
Kila mahali wapo
Ukija hata Heathrow Airport kwa nje wamejipanga na camera zao kusubiri ajali kila siku
Hawa ndio wachawi sasa
Kila leo wapo huwa nawashangaa yaani wanakaa siku nzima
 
Ndege ya Air India AI171, aina ya Boeing 787-8 Dreamliner, iliyokuwa safarini kutoka Ahmedabad, India kuelekea London Gatwick, Uingereza, imepata ajali mbaya ikiwa na watu 242 imeanguka muda mchache baada ya kupaa kwenye uwanja wa Ahmedabad, mji uliopo Magharibi mwa India.

Hadi sasa haijafamika idadi kamili ya watu waliopoteza maisha.

Political leaders across the spectrum reacted with shock and sorrow on Thursday after an Air India flight to London crashed shortly after take-off from Ahmedabad. The Boeing 787 Dreamliner, operating as flight AI-171, had 242 people on board, including 230 passengers and 12 crew members.

Union Civil Aviation Minister Ram Mohan Naidu said he was “shocked and devastated” by the incident. “I’m personally monitoring the situation. All agencies have been directed to respond swiftly,” he posted on social media. Rescue teams and fire engines were sent to the site immediately after the crash.

West Bengal Chief Minister Mamata Banerjee called the crash “tragic” and said she was praying for survivors. “We anxiously wait for details,” she said in a statement.

Gujarat Chief Minister Bhupendra Patel said he was deeply saddened by the accident and confirmed that rescue operations were underway. “I have directed officials to immediately begin rescue and relief operations, and to ensure that injured passengers receive urgent medical treatment on a war footing,” he said. Patel also mentioned that arrangements were being made for a green corridor to transport the injured and that Union Home Minister Amit Shah had assured full support from the Centre, including NDRF deployment.

Other leaders also joined in expressing concern and solidarity.

Samajwadi Party president Akhilesh Yadav urged the government to release a prompt clarification on the crash. “There must be an immediate explanation to remove doubts surrounding the Ahmedabad plane crash. Prayers for all passengers and crew. The highest level of rescue, relief, and treatment must be provided,” he said in a post on X.

Maharashtra Chief Minister Devendra Fadnavis said he was “pained and shocked” to hear of the incident. “Praying for everyone’s safety,” he added.

Union Minister Jyotiraditya Scindia said, “Extremely shocked and saddened by the news of the flight crash in Ahmedabad. My thoughts and prayers are with all those on board and their families.”

RJD leader Tejashwi Yadav also expressed grief. “Saddened and shocked to hear about Air India plane crash in Ahmedabad with 242 passengers on board. Praying to God that passengers and crew remain safe!” he posted.

Assam Chief Minister Himanta Biswa Sarma had earlier said, “Deeply concerned by reports of an Air India flight crash in Ahmedabad. Praying for the safety and well-being of all passengers and crew members.”

The plane, commanded by Captain Sumeet Sabharwal with First Officer Clive Kundar, crashed just minutes after takeoff from runway 23 at the Sardar Vallabhbhai Patel International Airport. It gave a distress call to ATC, but lost contact soon after.

Officials said a detailed probe has been ordered, and more information will be released after preliminary findings are available.

As of Thursday evening, rescue operations were still ongoing. No official word yet on the number of casualties.

Source: Air India London flight crashes after take-off from Ahmedabad, leaders react
Tuliooleana na Waingereza matumbo moto
 
Back
Top Bottom