Tatizo siyo ndege ni ya nani swala waliloliongelea ni periodic maintenance inafanyika inavyotakiwa?!
Ndege za Tanzania hazijatengenezwa Tanzania au kampuni ya kitanzania.
Sisi huwa tunapuuzia zile periodic maintenance tukiambiwa tufanye kila mwezi tunataka tufanye mara moja kwa mwaka, ili ku save pesa.
Ukianza ku deviate kutoka kwenye mkataba wa manufacturer unaanza kuhatarisha maisha ya abiria wako.
Hawazuii nchi bali ndege kwa kukiuka masharti ya mtengenezaji hasa kwenye matengenezo na uangalizi wa mara kwa mara.