Ndege ya abiria iliyokuwa na watu 242 yaanguka huko Ahmedabad, India muda mfupi baada ya kupaa. 241 wathibitika kufariki dunia

Ndege ya abiria iliyokuwa na watu 242 yaanguka huko Ahmedabad, India muda mfupi baada ya kupaa. 241 wathibitika kufariki dunia

Ilaaaa Huyu aliye rekod na hiyo simu yake mbona is like alikua ana expect itokee 😂.
Maana unaona kabisa kila inapokata Nautrical miles jamaa anai zoom tuu ili asikose kinachoenda ku happen !!
Au ndio masuala ya AI?.
Ma
Sialiona uelekeo wa ndege unaenda ndivyo sivyoo ndo maana akapiga picha. Ndege ikianza kuruka inaruka kwenda juu hiyoo ilikuwa inaenda horizontal ata mimi ninge record maana ni maajabu.


R.I.P kwa wote waliopoteza maisha.
 
Sialiona uelekeo wa ndege unaenda ndivyo sivyoo ndo maana. Ndege ikianxa kuruka inaruka kwenda juu hiyoo ilikuwa inaenda horizontal ata mimi ninge record maana ni maajabu.


R.I.P kwa wote waliopoteza maisha.
Watu wamekaa kusubiri tukio wapige hela
 
Kwa wote waliofariki kwenye ajali ndugu zao watapewa Fidia ya 300m kila mmoja kama kuna baba, mama na mtoto basi bingo

Ila katika wote kuna mmoja hakufa na alikuwemo kwenye ajali sasa tutegemee mke akimwambia si ungekufa tu
 
Breaking News: Abiria mmoja tu ndo kapatikana akiwa hai.
1749740137943.png

Viswash Kumar Ranesh abiria pekee alienusurika kifo baada ya ajali ya ndege ya Air India.

Ni raia wa UK.

Habari zasema yupo hoi lakini aweza kuzungumza.

Soma zaidi hapa: AHMEDABAD:

As relatives of those aboard the Air India flight desperately look for their loved ones at the Civil Hospital, Asarwa in Ahmedabad, on a bed in the general ward lies 40-year-old Vishwash Kumar Ramesh, who said he survived the deadly crash.

“Thirty seconds after take-off, there was a loud noise and then the plane crashed. It all happened so quickly,” Vishwash, who received “impact injuries” on his chest, eyes and feet, told HT.

1749740278393.png

Tiketi ya ndege ta Viswash.

Picha zote na Hindustan Times.
 
Breaking News: Abiria mmoja tu ndo kapatikana akiwa hai.
View attachment 3365964

Viswash Kumar Ranesh abiria pekee alienusurika kifo baada ya ajali ya ndege ya Air India.

Ni raia wa UK.

Habari zasema yupo hoi lakini aweza kuzungumza.

Soma zaidi hapa: AHMEDABAD:

As relatives of those aboard the Air India flight desperately look for their loved ones at the Civil Hospital, Asarwa in Ahmedabad, on a bed in the general ward lies 40-year-old Vishwash Kumar Ramesh, who said he survived the deadly crash.

“Thirty seconds after take-off, there was a loud noise and then the plane crashed. It all happened so quickly,” Vishwash, who received “impact injuries” on his chest, eyes and feet, told HT.

View attachment 3365967
Tiketi ya ndege ta Viswash.

Picha zote na Hindustan Times.

Jamaa aanze kucheza mega lottery ana bahati kama yote.
 
Zetu zimepigwa stop na EU na hazijawahi kupata ajali.
 
View attachment 3366042

Ndege ya abiria iliyobeba watu 242 wamefariki Dunia leo wote baada ya anali ya ndege iliyotokea india karibu na uwanja wa ndege wa Ahmedabad airport abiria wote wamekufa.

View attachment 3366043

wafanyakazi wa uokoaji bado wanaendelea kufuatilia Mabaki mbalimbali ya ndege aina ya Air India iliyokuwa na abiria 242 na wafanyakazi kuanguka muda mfupi tu baada ya kupaa kutoka uwanja wa ndege wa mji wa Ahmedabad nchini india hadi kwenye jengo moja ambalo wanafunzi wa medical walikua wametulia wakila chakula cha mchana.

Angalia video yake 👇👇

View attachment 3366053


Polisi nchini india wanasema wamepata miili ya watu 204 kati ya 242 iliyokuwepo kwenye ndege ambapo abiria walikua 230 na 12 walikua ni wafanyakazi na pilots. Walikufa wahindi ni 169, 53 waingereza na mtu mmoja ni Canadian Pamoja na watu wa Portuguese 7.
 
Kwa kishindo hicho kutegemea angetoka mtu hai ni uwongo.

Hapo ndipo maskini tunapojifariji kumbe kupanda kwetu mabasi ni afadhali maana yenyewe yakipiga buyu angalao mnabaki wawili watatu mnapumua ndege habaki mtu chap mnavuka ng’ambo ya pili kwa aliyewaumba tena mkiwa idadi sawa na mlivyopanda.
 
Back
Top Bottom