peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 18,223
- 31,465
India kwa ajali kubwa kubwa inakuaga kawaida tu
Wale wanaotapika wakipanda Shabiby sijui wanakuwa na hali gani wakipanda ndege tena long distance! Unakuta mtu kwenye NGASERE eti anaomba kifuko cha kutapikia!Hapana kwa kweli huu usafiri ni wa ajabu kweli kwanza masikio yanavuta mara ujihisi miguu juu kichwa kipo chini kwa kweli haiwezi kudondoka mkapona.
Kiujumla usafiri wa ndege ni salama kuliko usafiri wa basi/gari.Kwa kishindo hicho kutegemea angetoka mtu hai ni uwongo.
Hapo ndipo maskini tunapojifariji kumbe kupanda kwetu mabasi ni afadhali maana yenyewe yakipiga buyu angalao mnabaki wawili watatu mnapumua ndege habaki mtu chap mnavuka ng’ambo ya pili kwa aliyewaumba tena mkiwa idadi sawa na mlivyopanda.
Usafiri wa Ndege ni wakisen**e sana, alafu sijui kwa nini unakuwa wa ghalama wakati usafiri wenyewe ni risk!!!View attachment 3366042
Ndege ya abiria iliyobeba watu 242 wamefariki Dunia leo wote baada ya anali ya ndege iliyotokea india karibu na uwanja wa ndege wa Ahmedabad airport abiria wote wamekufa.
View attachment 3366043
wafanyakazi wa uokoaji bado wanaendelea kufuatilia Mabaki mbalimbali ya ndege aina ya Air India iliyokuwa na abiria 242 na wafanyakazi kuanguka muda mfupi tu baada ya kupaa kutoka uwanja wa ndege wa mji wa Ahmedabad nchini india hadi kwenye jengo moja ambalo wanafunzi wa medical walikua wametulia wakila chakula cha mchana.
Angalia video yake 👇👇
View attachment 3366053
Polisi nchini india wanasema wamepata miili ya watu 204 kati ya 242 iliyokuwepo kwenye ndege ambapo abiria walikua 230 na 12 walikua ni wafanyakazi na pilots. Walikufa wahindi ni 169, 53 waingereza na mtu mmoja ni Canadian Pamoja na watu wa Portuguese 7.
Dah; hivi kipi bora; ajali hutokea kwa nadra ila ikitokea probability ya kufa ni 100% au ajali hutokea mara kwa mara na ikitokea uwezekano wa kufa ni 5%. I think the latter is better!Kiujumla usafiri wa ndege ni salama kuliko usafiri wa basi/gari.
Ndiyo inawezekana ajali ya ndege ikitikea uwezekano wa watu wote kufa ni mkubwa sana, lakini uwezekano wa ajali ya ndege kutokea ni mdogo sana ukilinganisha na uwezekano wa ajali ya gari.
Acha uongooo na yule raia wa Uingereza aliyepona jee humuonii,think and search before you write your contentView attachment 3366042
Ndege ya abiria iliyobeba watu 242 wamefariki Dunia leo wote baada ya anali ya ndege iliyotokea india karibu na uwanja wa ndege wa Ahmedabad airport abiria wote wamekufa.
View attachment 3366043
wafanyakazi wa uokoaji bado wanaendelea kufuatilia Mabaki mbalimbali ya ndege aina ya Air India iliyokuwa na abiria 242 na wafanyakazi kuanguka muda mfupi tu baada ya kupaa kutoka uwanja wa ndege wa mji wa Ahmedabad nchini india hadi kwenye jengo moja ambalo wanafunzi wa medical walikua wametulia wakila chakula cha mchana.
Angalia video yake 👇👇
View attachment 3366053
Polisi nchini india wanasema wamepata miili ya watu 204 kati ya 242 iliyokuwepo kwenye ndege ambapo abiria walikua 230 na 12 walikua ni wafanyakazi na pilots. Walikufa wahindi ni 169, 53 waingereza na mtu mmoja ni Canadian Pamoja na watu wa Portuguese 7.
Yes, sababu ni kuwa angani hakuna traffic/mipishano mingi na vyombo vyengine kama ilivyo kwenye usafiri wa barabaraKiujumla usafiri wa ndege ni salama kuliko usafiri wa basi/gari.
Ndiyo inawezekana ajali ya ndege ikitikea uwezekano wa watu wote kufa ni mkubwa sana, lakini uwezekano wa ajali ya ndege kutokea ni mdogo sana ukilinganisha na uwezekano wa ajali ya gari.
Kaka utenda Ungerezani kwa basi? Ok, kwa meli basi; uko tayari kukaa baharini for weeks? There is no option ndio maana.Usafiri wa Ndege ni wakisen**e sana, alafu sijui kwa nini unakuwa wa ghalama wakati usafiri wenyewe ni risk!!!
Huo mdege fuel capacity yake ni lita 126,356 sawa na semi trailers 3 za lita elfu 42 kila moja.Ndivyo usafiri wa juu ulivyo, ukisikia imedondoka jua watapukutika kama kuku vile.
Ilishawahi kututokea na Cathay Pacific wakati tunatoka Singapore kwenda South.. Kipande cha Madascar... Ilichukua dakika 15 hivi.. Waliokuwa wamelala waliamshwa.. Kwenye screen ile flight path ilikuwa inaonesha jinsi dege lilivyokuwa linayumba.. Sitakaa nisahau ule usiku.. Kumbe mdomo unaweza kukauka mate mpaka hata karatasi isiloweNa ya tatu ni turbulence! Usiombe mkutane na pepo za monsoon; usiku; radi za hatari zinalipuka! Utaomba isimame ushuke.
Mbona km Kuna jamaa kapona?? Nimeona huko dunianiView attachment 3366042
Ndege ya abiria iliyobeba watu 242 wamefariki Dunia leo wote baada ya anali ya ndege iliyotokea india karibu na uwanja wa ndege wa Ahmedabad airport abiria wote wamekufa.
View attachment 3366043
wafanyakazi wa uokoaji bado wanaendelea kufuatilia Mabaki mbalimbali ya ndege aina ya Air India iliyokuwa na abiria 242 na wafanyakazi kuanguka muda mfupi tu baada ya kupaa kutoka uwanja wa ndege wa mji wa Ahmedabad nchini india hadi kwenye jengo moja ambalo wanafunzi wa medical walikua wametulia wakila chakula cha mchana.
Angalia video yake 👇👇
View attachment 3366053
Polisi nchini india wanasema wamepata miili ya watu 204 kati ya 242 iliyokuwepo kwenye ndege ambapo abiria walikua 230 na 12 walikua ni wafanyakazi na pilots. Walikufa wahindi ni 169, 53 waingereza na mtu mmoja ni Canadian Pamoja na watu wa Portuguese 7.
Kwanza kabisa hiyo 5% probability ya kufa kwenye ajali ya gari si realistic, kouhalisia ni kubwa zaidi.Dah; hivi kipi bora; ajali hutokea kwa nadra ila ikitokea probability ya kufa ni 100% au ajali hutokea mara kwa mara na ikitokea uwezekano wa kufa ni 5%. I think the latter is better!
Kuna muingereza mmoja kapona na anaendelea vema. Katoa hata shuhuda ya ajari.View attachment 3366042
Ndege ya abiria iliyobeba watu 242 wamefariki Dunia leo wote baada ya anali ya ndege iliyotokea india karibu na uwanja wa ndege wa Ahmedabad airport abiria wote wamekufa.
View attachment 3366043
wafanyakazi wa uokoaji bado wanaendelea kufuatilia Mabaki mbalimbali ya ndege aina ya Air India iliyokuwa na abiria 242 na wafanyakazi kuanguka muda mfupi tu baada ya kupaa kutoka uwanja wa ndege wa mji wa Ahmedabad nchini india hadi kwenye jengo moja ambalo wanafunzi wa medical walikua wametulia wakila chakula cha mchana.
Angalia video yake 👇👇
View attachment 3366053
Polisi nchini india wanasema wamepata miili ya watu 204 kati ya 242 iliyokuwepo kwenye ndege ambapo abiria walikua 230 na 12 walikua ni wafanyakazi na pilots. Walikufa wahindi ni 169, 53 waingereza na mtu mmoja ni Canadian Pamoja na watu wa Portuguese 7.
Monsoon za ukweli ziko hapo kutoka India kwenda China. Msimu huo ni hatari sana - June - August!Ilishawahi kututokea na Cathay Pacific wakati tunatoka Singapore kwenda South.. Kipande cha Madascar... Ilichukua dakika 15 hivi.. Waliokuwa wamelala waliamshwa.. Kwenye screen ile flight path ilikuwa inaonesha jinsi dege lilivyokuwa linayumba.. Sitakaa nisahau ule usiku.. Kumbe mdomo unaweza kukauka mate mpaka hata karatasi isilowe
Tuachane na shitholes; tujikite developed ambako both options (gari na ndege) are available and affordable. 5% probability ni realistic.Kwanza kabisa hiyo 5% probability ya kufa kwenye ajali ya gari si realistic, kouhalisia ni kubwa zaidi.
Ila pia, kama ajali ya ndege kutokea mara chache sana hapo usha addrwss risk kwa sehemu kubwa sana.
Sio kweli wapo waliopona.View attachment 3366042