Delacruzito
Senior Member
- Aug 5, 2019
- 148
- 164
Kuna survival mmoja amepatikana ni raia wa uingereza
Lakini kwenye ajali kinachohofiwa si kifo tu, hata kilema ni tatizo. Kuna watu wengine wanaona bora wafe kuliko kupata kilema.Tuachane na shitholes; tujikite developed ambako both options (gari na ndege) are available and affordable. 5% probability ni realistic.
Cha ajabu kuna mmoja hakufaKwa kishindo hicho kutegemea angetoka mtu hai ni uwongo.
Hapo ndipo maskini tunapojifariji kumbe kupanda kwetu mabasi ni afadhali maana yenyewe yakipiga buyu angalao mnabaki wawili watatu mnapumua ndege habaki mtu chap mnavuka ng’ambo ya pili kwa aliyewaumba tena mkiwa idadi sawa na mlivyopanda.
Ajali ikiwa inatokea haichukui 50 minutes wala 6 hours just in a blink of an eye tayari unajikuta upo kwenye dead end you got nothing to do. Nachomaanisha ajali haijchagui muda wala sehemu ya kuja. Wakati wowote mahali popote.. unachotakiwa ni kuomba tu Mungu akufikishe salama kwenye safari yako hata kama it takes a months.Lakini kwenye ajali kinachohofiwa si kifo tu, hata kilema ni tatizo. Kuna watu wengine wanaona bora wafe kuliko kupata kilema.
Last weekend I had to travel some 300 miles. I had the option to drive or fly.
I chose to fly. It is safer.
The travel time alone reduces the risk significantly when flying 50 minutes vesus 6 hours.
Wanafunzi wangapi wamekufa?View attachment 3366042
Ndege ya abiria iliyobeba watu 242 wamefariki Dunia leo wote baada ya anali ya ndege iliyotokea india karibu na uwanja wa ndege wa Ahmedabad airport abiria wote wamekufa.
View attachment 3366043
wafanyakazi wa uokoaji bado wanaendelea kufuatilia Mabaki mbalimbali ya ndege aina ya Air India iliyokuwa na abiria 242 na wafanyakazi kuanguka muda mfupi tu baada ya kupaa kutoka uwanja wa ndege wa mji wa Ahmedabad nchini india hadi kwenye jengo moja ambalo wanafunzi wa medical walikua wametulia wakila chakula cha mchana.
Angalia video yake 👇👇
View attachment 3366053
Polisi nchini india wanasema wamepata miili ya watu 204 kati ya 242 iliyokuwepo kwenye ndege ambapo abiria walikua 230 na 12 walikua ni wafanyakazi na pilots. Walikufa wahindi ni 169, 53 waingereza na mtu mmoja ni Canadian Pamoja na watu wa Portuguese 7.
Ndiyo.Ajali ikiwa inatokea haichukui 50 minutes wala 6 hours just in a blink of an eye tayari unajikuta upo kwenye dead end you got nothing to do. Nachomaanisha ajali haijchagui muda wala sehemu ya kuja. Wakati wowote mahali popote.. unachotakiwa ni kuomba tu Mungu akufikishe salama kwenye safari yako hata kama it takes a months.
Ukiwa kwenye shock ghafla unapata kiu kikali sana. Umenichekesha though 😅😅😅Ilishawahi kututokea na Cathay Pacific wakati tunatoka Singapore kwenda South.. Kipande cha Madascar... Ilichukua dakika 15 hivi.. Waliokuwa wamelala waliamshwa.. Kwenye screen ile flight path ilikuwa inaonesha jinsi dege lilivyokuwa linayumba.. Sitakaa nisahau ule usiku.. Kumbe mdomo unaweza kukauka mate mpaka hata karatasi isilowe
Tuombeane uzima ndg yangu. Mie ninasafari hapo keshokutwa na dreamliner ya QatarNina safari na Turkish Airline mwezi ujao, hapa nilipo yaani ni msongo wa mawazo kichwani
Ameen ndugu yangu tutafika salama,Tuombeane uzima ndg yangu. Mie ninasafari hapo keshokutwa na dreamliner ya Qatar View attachment 3366241
Haya mambo yasikie kwa wengine aisee . yasikukute halafu unusurikeMonsoon za ukweli ziko hapo kutoka India kwenda China. Msimu huo ni hatari sana - June - August!
Utakataka wake ni upi?.Inapofika siku ya mtu kufa lazima afe haijalishi atakua kwenye kitu gani.Boeing ni takataka
[emoji23]Kwa wote waliofariki kwenye ajali ndugu zao watapewa Fidia ya 300m kila mmoja kama kuna baba, mama na mtoto basi bingo
Ila katika wote kuna mmoja hakufa na alikuwemo kwenye ajali sasa tutegemee mke akimwambia si ungekufa tu
Nasubiria hii documentary kwa hamu sanaWaweza kuwa sawa kwani hizi ndege za Boeing za Dreamliner hazina shida sana na rekodi yake ni nzuri.
Imeruka kwa miaka 14 na ilikuwa baada ya India kuzisubiri sana hizo ndege baada ya waziri mkuu Modi kuziagiza 2010.
Taarifa za awali ni kwamba hakuna mkono wa mtu na yaonekana wazi kuwa ni tatizo la kiufundi.
Kama ni hivyo basi hii ya Dream Liner yaani 787-9 hii itakuwa ni ya kwanza kuanguka.
Kumbuka hii Dreamliner ni tofauti na ile Dreamliner ya 787 Max ambayo ilianguka Ethiopia na Indonesia.
Tatizo liloiangusha hii Dreamliner ya 787-Max lilikuwa ni software.
Kwa hii ya saa 787-9 Dreamliner ni wazi kutakuwa na tatizo kubwa la kiufundi.
Yaani Air Crush Investigation teams kutoka Boeing, GE (general electrical kwa injini) Air India wenyewe na wadau wengine wengi tu tayari wapo kazini.
Mkuu usiwe na wasiwasi, dreamliner hazina shida nadhani hii ni ya kwanza kupata ajali kubwa hivi, Boeing 737-max ndio za kuziogopaTuombeane uzima ndg yangu. Mie ninasafari hapo keshokutwa na dreamliner ya Qatar View attachment 3366241
Ametoka hai.Kwa kishindo hicho kutegemea angetoka mtu hai ni uwongo.