ndevu

Mthembeni Ndevu (born 15 September 1992), better known by his stage name Emtee, is a South African rapper. He is best known for his debut hit single, "Roll Up". Emtee was signed to Ambitiouz Entertainment, a South African independent record label. His debut album Avery was certified platinum by RISA on 1 July 2016.Avery included his breakthrough hit "Roll Up" and the follow-up hit single "Pearl Thusi". Emtee released his third album Manando in September 2015, the title referring to his late brother. His third album DIY 2 was released in 2018 and marked his final release with Ambitiouz Entertainment, following his departure from the label in August 2019. He then launched his own label in September the same year.

View More On Wikipedia.org
  1. Dawa/njia gani inatibu vipele vya ndevu vinavyosababishwa na kunyoa?

    Habarini wanajamvi! Naombeni msaada wa njia ama dawa inayoponya vipele vinavyotokana na kunyoa ndevu. Nimejaribu kubadili njia mbadala za kunyoa, kama vile mashine, magic, wembe nk, lakini hakuna iliyoniletea nafuu. Tafadhali nishaurini!
  2. Wassira: Wapinzani chezeeni ndevu na msithubutu kuchezea Dola ( CCM)

    "....CCM ni tunaongoza Dola na tutaendelea kuiongoza. Hata Wajukuu huwa wanachezea ndevu za Babu yao jambo ambalo halina tatizo. Na hata hawa Wapinzani kuchezea ndevu za sisi Babu yao haina tatizo. Ila, ishieni kuchezea ndevu pekee na siyo Dola."
  3. KERO Eneo la Tegeta - Kwa ndevu uchafu unarundikwa eneo la barabara kama dampo, wasimamizi wako wapi?

    Katika eneo la Tegeta kwa Ndevu wahusika wanaosimamia suala la kuzoa taka wanatakiwa kuwajibika kwa uzembe ambao wamekuwa wakiruhusu utokee kwa kubariki Wafanyabiashara wa soko lisilo rasmi lililopo pembezoni mwa Kituo cha Daladala kurundika uchafu kwenye eneo la barabara huku uchafu huo wakati...
  4. Inasikitisha na kustua sana. Marehemu Kambayao wa TRA alikuwa pia Mwanachuo CBE Dodoma

    Pamoja na kauli zote tunazozizungumza. Tufahamu kuwa wanaoumia sana ni wanafamilia wa marehemu. Ushahidi huu hapa ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡ Lakini sakata hili limeendelea kutuchanganya sana Watanzania. Tunajiuliza Kambayao alifuata nini Tegeta wakati alipaswa kuwa chuoni Dodoma CBE? Maswali yanazidi kuchanganya umma...
  5. Jeshi la Polisi linawashikilia watu 4 kwa tuhuma za mauji ya Mtumishi wa TRA Amani Simbayao kutoka tukio la Tegeta

    Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne Muliro anazungumza na Vyombo vya Habari. Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaaam linawashikilia wanaotuhumiwa wanne, Deogratius Paul Massawe (40), Bakari Idd Bakari (30), wote ni kuli wa Tegeta kwa Ndevu, Omary Issa...
  6. M

    Marry Chatanda wa UWT: Asema wakorofi wachezee ndevu na si kuchezea Dola

    Kiongozi wa UWT asema watu wanaoikosoa Serikali wachezee ndevu na si kuchezea Dola. Nini maana ya kauli hii kwa wale wajuvi ya kiswahili? Je, ni kama Jino kwa Jino au Ngangari na Ngunguri?
  7. Nahitaji mafuta/dawa ya kukuzia ndevu

    Nahitaji mafuta/dawa ya kukuzia ndevu Kama Kuna anayeuza tuwasiliane
  8. S

    Kuna mtu ameshawahi kupona vipele vya ndevu?

    Habari zenu wajuvi, naombeni msaada kama kuna mtu (watu) amesha wahikupona vipele vya ndevu vile vinavyo otaga maeneo ya shingo anisaidie yeye alitumia dawa gani kuvimaliza. Kwasababu vimenitesa kwa muda mrefu yaani kuna muda nakosa amani kwanza vinawasha balaa wakati wa usiku, nimesha tumia...
  9. Tatizo La Kuota Ndevu Kwa Wanawake Na Jinsi Ya Kutibu

    Je umeshawahi kukutana na mwanamke mwenye ndevu nyingi? Bila shaka, jibu ni NDIYO. Hilo ni tatizo la kiafya ambalo hujulikana kwa kitaalamu kama Hirsutism. Leo tujifunze kuhusu sababu za tatizo hilo na jinsi ya kutibu. Hirsutism ni hali ambapo wanawake wanakua na ukuaji wa nywele wenye...
  10. Wito, Kuna Mashindano ya Kombe la diwani huku Tegeta kwa ndevu mshindi anaondoka na bajaji mpya, Tunawaalika Simba sc waandike barua mwisho tar 1

    Huku Tegeta kuna wakali wa kusakata kabumbu kama Msekelo fc, Kindovu fc, WauzaNyama FC, Nafaka sc, Sokoni B SC n.k ambao wote ni mafundi wa kutandaza soka safi. Hivyo tumeona tuwaalike wenzetu Simba sc waje tushiriki katika michuano hii ili kukiza soka letu kwa pamoja na kuongeza idadi ya...
  11. Kushika sana dini kunaweza kukupeleka kubaya. Rafiki yangu aliacha kazi ya Ualimu baada ya Mkuu wa Shule kumtaka anyoe ndevu

    Ni jirani yetu huko nyumbani kwetu, pia kuna kaurafiki kwa mbali baina yetu. Likizo sometimes tulikuwa tunajisomea pamoja kwakuwa tulikuwa darasa moja. Jamaa akawa teacher wa Serikali baadaye. Sasa nasikia walimu wana miiko mingi kutokana na mazingira yao ya kazi, sometimes wanakuwa walezi...
  12. Mitume hawakuvaa kanzu au kufuga ndevu kwa sababu ya Uislamu

    Back in history, many years ago... Kulikuwa hakuna teknolojia, hivyo wengi walikuwa hawanyoi ndevu... Muislamu kusema kufuga ndevu ni culture ya uislamu, sio kweli... Maana nimekuta Sheikh anasema, watu wote kwenye biblia ni waislamu, mpaka yesu... Na ndio maana hata kwenye Movie za Yesu...
  13. Ali Kamwe: Shabiki wa Yanga paka Bleach kichwani na kwenye Ndevu "PACOME DAY"

    Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Yanga Ali Kamwe, amewataka mashabiki wa Klabu ya Yanga kujipaka Bleach kwenye mechi ya Jumamosi. Ali Kamwe amesema, "Mtoko wa Jumamosi ni PACOME DAY ๐Š๐ข๐ญ๐š๐š๐ฅ๐š๐ฆ๐ฎ ๐™๐š๐ข๐๐ข .. Mwanayanga piga Breach kichwani. Piga Breach kwenye ndevu.. chora rangi shavuni...
  14. Kwani kuotea ndevu nyumbani ndio kigezo cha kufukuzwa? Naambiwa nikajitegemee wanataka (wazazi) nife kwa njaa!

    ...
  15. Leo nimeona mwanajeshi mwenye ndevu Tanzania

    Mnasemaga wanajeshi wa Tanzanaia hawaruhusiwi kufuga ndevu? Waitโ€ฆ Leo katika maadhimisho ya miaka 60 ya mapinduzi matukufu ya Zanzibar nimemuona mwanajeshi ana ndevu. Kitaalam imekaaje
  16. Haji Manara hajui kufuga ndevu ni Sunna na amrisho la Mtume (S.AW)? Afananisha wanaofuga ndevu na mabeberu ya kihutu

    Haji Manara mi mwalimu wa madrassa na pia ameenda Umra, leo katika mitandao yake ya kijamii, amefananisha kufuga ndevu kwamba ni kufanana na beberu la kihutu. Hii ni sawa ndugu zangu waislamu? Binafsi naona haya ni makufuru ya hali ya juu na kuutukana uislam. Kufuga ndevu ni moja ya maamrisho...
  17. Dharura! Kuna mlipuko mkubwa wa wadada kuota sharubu ma ndevu

    Kumetokea mlipuko wa ghafla sana wa wanawake kuota sharubu kwenye mashavu na ndevu jijini Dar. Hali hii tuliizoea kwa wamama waliosogea umri, hasa 50โ€™s na kuendela. Ila sasa inatokea kwa wadada wadogo tu. Wizara ya afya, mmeanza kuchanganyia wadada homoni za testerone kwenye vidonge vya uzazi...
  18. Aliyewaambia Jeshi la Polisi askari kunyoa ndevu ni ishara ya utii ni nani?

    Ukihitaji salamu subiri kwanza nizeeke,tofauti na hapo utaambulia chuya tu! Ukiwaona askari polisi wanaolipwa mishahara huwezi kuwatofautisha na wafungwa wa pale kwetu Gereza la Luanda Mbeya,au kule Moshi kwa Shangazi yangu Gereza la Karanga,Au kule Kwa watani zangu Mwanza Gereza la Butimba au...
  19. W

    Naomba msaada wa matumizi ya ndevu na kidevu kitandani; wanalalamika ninawachoma!

    Wanawake wangu wanadai zinawachoma. Hakuna utofauti wa malalamiko hayo iwe nimezinyoa au nimeziachia. Kila sehemu ninayoaagusa na kidevu changu basi hutoa malalamiko hayo. Naomba msaada! Sina utaalamu wa kuzitumia au ndo inavyokuwa? Naona wenzangu wanaachia ndevu nyiiingi hadi wengine...
  20. Nifanyaje ili weusi usijitokeze baada ya kunyoa ndevu?

    Nimekuwa nanyoa ndevu mara kwa mara kwakuwa kibarua changu hakiruhusu kuwa na ndevu. Sasa nimeanza kutokewa na weusi. Nini nifanye ili nisiwe na weusi baada ya kunyoa ndevu? Naombeni mbinu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ