NDOA SIO GEREZA. WANAOSEMA NDOA NI GEREZA NA NDOANO NI WAPOTOSHAJI WAKUBWA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Mapenzi na ndoa msingi wake Mkuu ni UPENDO na MFANANO.
Unapotafuta mwenza wako wa maisha huwezi uruka Wala kuupuuza MSINGI huo.
Mtu ambaye hufanani naye hawezi kuwa Mkeo au Mumeo...
Ndoa nyingi sana za kisasa mwanamke ndie anafanya maamuzi ya kufanya kitu bila kuomba ruhusa kwa mume wake . Ila mwanaume bado anafanya majukumu.
Mwanamke anaweza akaamua kwenda popote anapotaka bila kumuomba mumewe ruhusa zaidi ya kumpa taarifa tu.
Ila mwanaune huyo huyo ambaye haombwi...
Kuna umalaya au udangaji unaendelea kwenye ndoa. Yani ule muda unaomba tendo la ndoa, ndio mke anakukumbushia kitu ambacho ameomba au anakwambia nimechoka, au kama wataka umpe hela.
Ni jambo gumu sana kulifikiria lakin hakuna jinsi ndio uhalisia, inafika wakati unajua kabisa kua umeoa mtu...
Matarajio ya straika Mnijeria Victor Boniphace kufunga ndoa na mchumba wake mrembo wa Norway Rikke Ermine yamezikwa rasmi baada ya kutokea mtafaruku wa kimakubaliano.Mrembo Rikke Ermine akiweka sharti moja wafunge ndoa ila kwa masharti ya kwamba endapo wakiachana wagawane mali kwa 50-50 kitu...
Baadhi najua wanafahamu kisonono ninini... Huu ni ugonjwa wa zinaa unaoathiri sehemu za siri.. Ni dugu moja na kaswende na gono.. Ni magonjwa ya aibu na baadhi hujitibia kwa siri.. UTI ni gono lililochangamka😂
Kifaduro ni ugonjwa wa kifua.. Sio ugonjwav wa aibu na hauna kificho.. Kwakuwa hata...
Research ndogo niliyo Fanya, wanaume wengi karibia 99.9% walio ingia kwenye ndoa, wanatamani kutoka , ila kwasababu ya kuwa na watoto inakua kipengele sana kuchomoka kwenye huo mtego.
Kinacho wafanya wasitamani tena ndoa ni Majukumu ya kulea watoto ,mke na familia ya mwanamke, kipato Cha wengi...
Kisa cha Ally Kamwe na Baba yake kinawasanua wabishi wote, sisi tumekaa pale tunawaangalia na haubadirishi msimamo, kuoa ni ushetani na kuoa ni gereza huwezi kwa ujinga wako na upofu ukabeba shida za mwanamke unachanganya na za kwako.
Wakati mwanamke anakuja na shida zake ili kujikwamua na...
Tendo La Ndoa:
Tendo la ndoa ni sehemu muhimu ya maisha ya mwanamke, siyo tu kwa ajili ya mahusiano, bali pia kwa afya ya mwili, hisia, na akili.
Mwanamke anaweza kufurahia tendo la ndoa ikiwa kuna maelewano, hisia za upendo, na afya njema ya kimwili na kiakili.
Kufanya tendo la ndoa kuna...
"Je, kuna sababu yoyote ya mtu kupendelea kuwa na kahaba kuliko kuoa ama kuwa na mahusiano rasmi? Niliona wengi wakijadiliana kuhusu hili na ningependa kujua mawazo yenu."
Mdau wa 1:
"Kwa upande wangu, naona watu wanapenda kuwa na kahaba kwa sababu inawapa uhuru zaidi wa kutokuwa na wajibu...
#Kataa Ndoa sio slogan ya kimasiharamasihara usiikurupukie kama hujaielewa inahusu nini, kuna wanachama wanajiunga na chama hiki bila kujua vigezo na masharti ya chama hiki.
Wapo wanaodhani ni chama kinachokataza kuwa na mwanamke kabisa.
Wapo wanaodhani chama hiki ni uasi wa sheria za kidini...
Ikitokea kawekwa ndani miaka mitano na kuendelea, vipi unamsibiri au ndiyo fursa yako ya kuachana bila lawama. Kwa wanandoa, mwenza wako kufungwa ni sababu tosha kwa mujibu wa sheria ya kuomba talaka.
Tuambie, unasubiri au ndiyo kwaheri ya kuonana.
Mwanamke umempokonya toka mikononi mwa mwanamke au wanaume wengi kwa chambo ya pesa na vitu then unamwoa.
Tulia tu ndugu hiyo ndoa hamtoboi.
Mwanamke umemkuta bar kaja kunywa pombe au soda ndugu kaja bar kufanya umalaya ila kwasasa ya akili yako finyu ukamwona anakunywa juice ukasema huyu ndio...
Nimekuja kugundua team kataa ndoa wote hawana hela🤣🤣🤣🤣🤣
Nirusheni tu mawe nijenge ghorofa me sijali.....
Nomadix
Intelligent businessman
Bolotoba
holoholo and 100 others
Ndoa ziheshimiwe na ndio maana halisi ya ndoa.
Viungo viwili vya uzazi vinapokutana kitendo ni kimoja ila majina ya kile kitendo yanatofautiana kutokana na mukhtadha!
Ukiwa umeoana , mume na mke basi "wanafanya tendo la ndoa'.
Ukiwa una mke na mwezio ana mume ila mkakutanisha vioungo vyenu basi...
Habari humu ndani natumaini mkoa poa kabisa ila kwa upande wangu siko sawa yaani Sina amani Sina Raha daaah ☹️!
Ebana nisiwachoshe sana IPO hivi wiki 3 KABLA nilikuwa natoka kwa mteja kuset dish nikiwa narudi nilikutana na Binti fulani karibu na kapela s/m
Sikikawia nikamvutia kando nikatema...
Je ni sahihi mkristo kufunga ndoa mwezi huu wa ramadhani?
Maana miongoni mwa watu waliomchangia pesa ya harusi ni waislamu na waislamu muda huu wapo kipindi cha mfungo na hata baadhi ya wakristo nao wanawasindikiza waislamu katika ibada hii ya mfungo wa mwezi mtukufu wa ramadhani.
Hivyo kufunga...
MHADHARA (92)✍️
Ndoa nyingi za watanzania zimegeuka kuwa makampuni ya biashara. Siku hizi wasomi ni wengi lakini hawana ajira wala mitaji ya kuanzisha biashara, hivyo wamegeukia kutafuta mitaji kupitia ndoa. Hata ambao hawakubahatika kupata elimu pia wameshafahamu kuwa ndoa ni njia nyingine ya...
Wakati unashawishika na watu waliovuta bangi zao, waliojikatia tamaa ya kuishi, wasiotaka ndoa kwa kuwa wao si wanaume wala si wanawake... hawajielewi, waliotingishika akili baada ya kutendwa kwenye mapenzi; waliolelewa nje ya famili na wakachukia familia; kaa chini utafakari. Hapa si quote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.