ndoa za kikristo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ndoa za kikristo ziruhusu talaka kwa watu walioshindwana kama zilivyo ndoa za Kiislam

    Nina myaka 10 kwenye ndoa iliojaa visa, vipigo na kunyan’ganywa umiliki wa mali, Nilipofikia sasa naogopa hadi kununua kijiko kwan ndugu zake wakija ubeba vitu bila kuomba. Mwaka 2018 vilitangazwa viwanja kigamboni nikamshirikisha mwenzangu kununua akasema ni mbali, nikajipinda nikanunua ila...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Kwa utafiti niliofanya kwa ndoa za kikristo, ndoa zenye wanawake wa makanisa ya kilokole huongoza kwa matatizo na kuvunjika

    Makanisa ya kilokole mengi, wachungaji wake hujiita manabii na mitume ambao mara nyingi huonekana na waumini kama watu walioteuliwa moja kwa moja na Mungu, matatizo mengi ya waumini huonekana kama ya kipepo au ya kichawi hata yale ya kawaida, Ibad huenda sambamba na muziki mkubwa na kucheza kama...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Urithi wa ndoa za Kikristo una mapungufu, wazazi hawapewi chochote

    Kwanini Ukristo haujali wazazi kwenye urithi ? Inauma kuona kwamba mwanaume anaweza kufariki akiwaacha wazazi wake. yeye ndie alikuwa akiwatunza wazazi wake waliozeeka. Lakini kifo kinapobisha hodi, kinachoacha siyo tu huzuni, bali pia pengo kubwa la haki. Kwenye mgawanyo wa urithi, wazazi...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa jicho la 3 ndoa za Kikristo ni mzigo kwa waume

    Ule msemo wa kosea kujenga sio kuoa huwa unakumbukwa sana kwenye ndoa yenye changamoto na changamoto hiyo ukute ni ya mwanamke utajuta na kuomba poo. Ukishafunga ndoa ni mkataba, mkataba huo unatenganishwa na kifo na uzinzi tu. Mambo mengine yoote nihayawezi kuvunja ndoa. Ukiwa mume mkeo...
  5. JamiiForums Tanzania Ndoa za Kikristo chali (Zimekufa) Je, Kanisa limekosa msaada?

    Ukweli mchungu, wengi wanaishi na maumivu mioyoni mwao.... chanzo ni malezi...malezi si kumpeleka mtoto shule nzuri tu na kumpatia mahitaji muhimu bali kumfundisha mtoto KUMCHA MUNGU,,, Tizameni upande wa pili kwa watoto wa mama mdogo(watoto wa Hajiri/Hagar)...wao bize na madrasa,,,,unafikiri...
  6. JamiiForums Tanzania Ukweli ni huu, hakuna usawa kwenye ndoa za kikristo wala ki-islam. Kama huwezi masharti nenda bomani tu

    Niande tu kwa kusema mkataba na maagano ni vitu ambavyo ni muhimu sana kuangalia katika maisha kabla hujaingia Kwa kiswahili sanifu agano ni tokeo la kukubaliana au kuwekeana ahadi au mapatano Mapatano ni maafiiano, makubaliano ,agano na ahadi Mapatano au maagano huzaa mkataba Mkataba ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…