Urithi wa ndoa za Kikristo una mapungufu, wazazi hawapewi chochote

round kick

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2025
Posts
933
Reaction score
3,051
Kwanini Ukristo haujali wazazi kwenye urithi ?

Inauma kuona kwamba mwanaume anaweza kufariki akiwaacha wazazi wake. yeye ndie alikuwa akiwatunza wazazi wake waliozeeka. Lakini kifo kinapobisha hodi, kinachoacha siyo tu huzuni, bali pia pengo kubwa la haki.

Kwenye mgawanyo wa urithi, wazazi wake hawaambulii chochote. ZERO. Ni kama hawakuwahi kumlea, kumpa elimu, au kumsindikiza katika safari ya maisha.

Mali zote zinarithiwa na mke na watoto lakini kiuhalisia mali zote zinakuwa ni za mke kwasababu watoto bado ni wadogo hawajitambui, Mke huyo ataolewa tena na mwanaume mwingine, mali alizorithi zitakuwa ni za ndugu zake na mme wake mpya.

Wazazi wanaambulia SIFURI / ZERO, labda iwe ni kwa huruma tu au kuna usia uliachwa.
 
Kwahiyo unakaa kabisa kusubiri kurithi mali za mtoto wako??,. Sio mwanao na wajukuu ndio warithi zako??
Kwamba mke ambae umemkuta akiwa na ma ex wake ana thamani kuzidi wazazi wako ?

Mke ambae anaweza kuolewa na mwanaume mwengine baada ya mme wake kufa ana thamani kuzidi wazazi ?
 
Kwanini ukristo haujali wazazi kwenye urithi ?

Mara nyingi wa kwanza kufariki huwa ni mwanaume, cha ajabu mali zinakuwa ni za mke na watoto tu, kama hakuna watoto mali zote zinakuwa za mke.

Wazazi wanaambulia SIFURI / ZERO, labda iwe ni kwa huruma tu au kuna usia uliachwa.
wakati wenzako tunawaza kupitia ubongo ulio kichwani wewe mwenzetu tuambie ukweli ubongo wako unaonekana haupo kichwani sema vizuri ubongo wako uko wapi..?
 
Kwamba mke ambae umemkuta akiwa na ma ex wake ana thamani kuzidi wazazi wako ?

Mke ambae anaweza kuolewa na mwanaume mwengine baada ya mme wake kufa ana thamani kuzidi wazazi ?
Hii sio hoja, Hata mama yako inawezekana pia baba yako alimkuta akiwa na ma ex wake, au akaolewa na wanaume wengine baba yako akifa,
 
Kwanini Ukristo haujali wazazi kwenye urithi ?

Inaweza kutokea Mwanaume kafariki akiwa na miaka 40, yeye ndie alikuwa anatunza wazazi wake waliozeeka, cha ajabu kwenye urith mali zinakuwa ni za mke ambae anaweza kuolewa na mwanaume mwengine.

Wazazi wanaambulia SIFURI / ZERO, labda iwe ni kwa huruma tu au kuna usia uliachwa.
Mzazi anatakiwa aishi kwa mali alizozichuma mwenyewe asitegemee za mtoto. Kama mzazi kazeeka akiwa masikini of course nitazingatia maslahi yake.
 
Kwanini Ukristo haujali wazazi kwenye urithi ?

Inaweza kutokea Mwanaume kafariki akiwa na miaka 40, yeye ndie alikuwa anatunza wazazi wake waliozeeka, cha ajabu kwenye urith mali zinakuwa ni za mke ambae anaweza kuolewa na mwanaume mwengine.

Wazazi wanaambulia SIFURI / ZERO, labda iwe ni kwa huruma tu au kuna usia uliachwa.

Ukristo hauna sheria yake kwenye urithi.

Bali unafata sheria ya serikali na sheria za kimila za wanandoa

Kwenye sheria ya serikali wazazi wanaingia kwenye urithi
 
Kwanini Ukristo haujali wazazi kwenye urithi ?

Inaweza kutokea Mwanaume kafariki akiwa na miaka 40, yeye ndie alikuwa anatunza wazazi wake waliozeeka, cha ajabu kwenye urith mali zinakuwa ni za mke ambae anaweza kuolewa na mwanaume mwengine.

Wazazi wanaambulia SIFURI / ZERO, labda iwe ni kwa huruma tu au kuna usia uliachwa.
Wakristo hawana sheria ya urithi wa mali, Wakristo urithi ugawanywa kwa mujibu wa mila na sheria za Serikali, Wakristo wanaojitambua hawajasurrender taratibu zao kwa dini yao, dini ni sehemu ya kuabudu tu lakini mila na tamaduni zao zinaendelea kama kawaida zikilindwa na sheria ya Jamhuri.
 
Kwanini Ukristo haujali wazazi kwenye urithi ?

Inauma kuona kwamba mwanaume anaweza kufariki akiwaacha wazazi wake. yeye ndie alikuwa akiwatunza wazazi wake waliozeeka. Lakini kifo kinapobisha hodi, kinachoacha siyo tu huzuni, bali pia pengo kubwa la haki.

Kwenye mgawanyo wa urithi, wazazi wake hawaambulii chochote. ZERO. Ni kama hawakuwahi kumlea, kumpa elimu, au kumsindikiza katika safari ya maisha.

Mali zote zinarithiwa na mke na watoto lakini kiuhalisia mali zote zinakuwa ni za mke kwasababu watoto bado ni wadogo hawajitambui, Mke huyo ataolewa tena na mwanaume mwingine, mali alizorithi zitakuwa ni za ndugu zake na mme wake mpya.

Wazazi wanaambulia SIFURI / ZERO, labda iwe ni kwa huruma tu au kuna usia uliachwa.
Jitengenezee sheria yako sasa hivi hujachelewa. Andika wosia kabla hujafa kwamba mali zako zote au baadhi ambazo wewe utaamua warithi wazazi wako kama imetokea umefariki. Wosia wako utaheshimiwa na watu wote. Ingawa mahakama inayojitambua huangalia kwanza watoto.
 
Kwanini Ukristo haujali wazazi kwenye urithi ?

Inauma kuona kwamba mwanaume anaweza kufariki akiwaacha wazazi wake. yeye ndie alikuwa akiwatunza wazazi wake waliozeeka. Lakini kifo kinapobisha hodi, kinachoacha siyo tu huzuni, bali pia pengo kubwa la haki.

Kwenye mgawanyo wa urithi, wazazi wake hawaambulii chochote. ZERO. Ni kama hawakuwahi kumlea, kumpa elimu, au kumsindikiza katika safari ya maisha.

Mali zote zinarithiwa na mke na watoto lakini kiuhalisia mali zote zinakuwa ni za mke kwasababu watoto bado ni wadogo hawajitambui, Mke huyo ataolewa tena na mwanaume mwingine, mali alizorithi zitakuwa ni za ndugu zake na mme wake mpya.

Wazazi wanaambulia SIFURI / ZERO, labda iwe ni kwa huruma tu au kuna usia uliachwa.
Kuna urithi wa kikristo?? Mimi najua hivi vitu vipo chini ya sheria ya nchi sio dini
 
Back
Top Bottom