Anana_
JF-Expert Member
- Dec 3, 2024
- 210
- 633
Nina myaka 10 kwenye ndoa iliojaa visa, vipigo na kunyan’ganywa umiliki wa mali, Nilipofikia sasa naogopa hadi kununua kijiko kwan ndugu zake wakija ubeba vitu bila kuomba.
Mwaka 2018 vilitangazwa viwanja kigamboni nikamshirikisha mwenzangu kununua akasema ni mbali, nikajipinda nikanunua ila ikawa ugomvi mkubwa sana hadi nimeshindwa kukitaftia hati naogopa…
Mwaka 2022 nikanunua gari nikiwa na malengo ya kufanya taxi baadae. Ila akaja na shida nimsaidie kadi ya gari achukulie mkopo bank nikampa kwa maandishi.
Mpaka sasa 2026 sijawai kuiona hio kadi ya gari kila nikiongelea ananiambia nifanye ninalotaka… Nimeshirikisha wazazi na kanisa hakuna matokeo zaidi ya usuluishi kila siku, Natamani kuwa single, nataman kuanza moja ila nazungushwa na usuluishi kila siku.