Mjusi,Huna uelewa na sheria ya dini nahisi umekulupuka tu.
Ndio,Ya
Yaani ndoa haieleweki nishindwe kupiga chini kisa eti mkristo
Watu wakishashindwana hata ukisikia upande mwingine haisaidii yeye asepe tu!Tunahitaji kujua stori ya upande wa 2 japo kidogo kabla hatujakupa ushauri!
Kuna yule bro mtoa talaka bora wa jf anaitwa nani tena nmesahau ID yakePole sana! Ngoja wajuzi wa talaka waje!
Yupi tena lol🤣Kuna yule bro mtoa talaka bora wa jf anaitwa nani tena nmesahau ID yake
Simkumbuki jina tena jamaa mmoja tuzo ya talaka bora ipo kwake 😂😂😂Yupi tena lol🤣
Sijui ni nani😂😂 ukute anaandika tu huko nje anaililia ohoo😅Simkumbuki jina tena jamaa mmoja tuzo ya talaka bora ipo kwake 😂😂😂
Mtoa mada aende mahakamaniAisee! Ndoa ni swala binafsi ikianza kukutandika kila kitu unaweka kando kwanza!😂
Aende mahakama ya mwanzo!Mtoa mada aende mahakamani
We ni mwanaume au mwanamke?kama mwanaume ni zuzu haswaNina myaka 10 kwenye ndoa iliojaa visa, vipigo na kunyan’ganywa umiliki wa mali, Nilipofikia sasa naogopa hadi kununua kijiko kwan ndugu zake wakija ubeba vitu bila kuomba.
Mwaka 2018 vilitangazwa viwanja kigamboni nikamshirikisha mwenzangu kununua akasema ni mbali, nikajipinda nikanunua ila ikawa ugomvi mkubwa sana hadi nimeshindwa kukitaftia hati naogopa…
Mwaka 2022 nikanunua gari nikiwa na malengo ya kufanya tax baadae. Ila akaja na shida nimsaidie kadi ya gari achukulie mkopo bank nikampa kwa maandishi.
Mpaka sasa 2026 sijawai kuiona hio kadi ya gari kila nikiongelea ananiambia nifanye ninalotaka… Nimeshirikisha wazazi na kanisa hakuna matokeo zaidi ya usuluishi kila siku, Natamani kuwa single, nataman kuanza moja ila nazungushwa na usuluishi kila siku.
Aliyelala usimshitue, akiamka utalala wewe!Mjusi,
Mpe uelewa ndugu yetu