Ndoa za kikristo ziruhusu talaka kwa watu walioshindwana kama zilivyo ndoa za Kiislam

Ndoa za kikristo ziruhusu talaka kwa watu walioshindwana kama zilivyo ndoa za Kiislam

Mtumish unutaka uvunje ndoa kisa mkeo amepinga wazo la kununua kiwanja kigambon? Yaan kanisa livunje ndoa ambayo ni agano kisa wewe mwenyewe kwa kupenda kwako ulimpa mkeo kadi ya gari na sasa hataki kukupatia hiyo kadi?

Au unasababu nyingine zaid ya hizo?
 
Hawa wahuni walio andika hekaya zao uchwara za Biblia eti "Alicho unganisha Mungu, Mwanadamu asitenganishe" Haya maneno uchwara ndio yameleta migogoro mingi na mauaji mengi kwa wanandoa.

Aisee! Usisubiri mpaka uuliwe hapo ndani kwa kigezo cha ndoa ya kikristo.

Kwanza huyo Kristo hajawahi kuwepo na hayupo. Matapeli ndio yalimtunga na kutunga vifungu uchwara vya Biblia vya kupumbaza wajinga!

Toka huko haraka, Nenda mahakamani kadai talaka. UHAI WAKO UNA THAMANI SANA KULIKO HIYO NDOA YA MANYANYASO.

Linda uhai wao kwanza. Hata aje Askofu, Papa, Mchungaji, Mzee wa kanisa kujifanya kukupa ushauri, watimulie mbaliiii!!

Wote hao ni matapeli tu. Hawana mchango wowote kwenye maisha yako.
 
Mafundisho baada ya kuachana una maana gani?
Kwenye Uislamu tunafunzwa ukishaona kua kwa hatua mlofikia na mkeo basi muachane kwa wema na umpe kitoka nyumba akaanze maisha mapya sasa nyinyi wenzetu mnafuata mila za 50/50 ambazo zimetungwa ple bungeni hili linatilia shaka mafundisho ya dini yenu kua hayajakufundisheni jinsi ya kuishi baada ya kuachana
 
We mjinga hebu kimbia kwenye ilo shimo la dhiki na mauti..!!

Ondoka beba vitu vyako muhimu, nenda mahakamani huyo muhaini apewe summons haraka aje akupe talaka ukapumzike..!!

Na yale maandishi ya makabidhiano ya kadi ya gari usisahau yatatumika mbele kwenye ushahidi na mgawanyo wa mali..!!

Kanisani wakikwambia muyaongee mrudiane waambie wasome mithali 26:11

Hebu mwenye biblia atusomee hiko kifungu..!!
 
Kwenye Uislamu tunafunzwa ukishaona kua kwa hatua mlofikia na mkeo basi muachane kwa wema na umpe kitoka nyumba akaanze maisha mapya sasa nyinyi wenzetu mnafuata mila za 50/50 ambazo zimetungwa ple bungeni hili linatilia shaka mafundisho ya dini yenu kua hayajakufundisheni jinsi ya kuishi baada ya kuachana
Sasa hy kitoka unyumba na 50/50 utofauti ni upi? Hapo lengo n moja.

Au ndo yale yale ya abubakar kuitwa Abu unaona n watu tofauti?
 
Kwenye Uislamu tunafunzwa ukishaona kua kwa hatua mlofikia na mkeo basi muachane kwa wema na umpe kitoka nyumba akaanze maisha mapya sasa nyinyi wenzetu mnafuata mila za 50/50 ambazo zimetungwa ple bungeni hili linatilia shaka mafundisho ya dini yenu kua hayajakufundisheni jinsi ya kuishi baada ya kuachana
mwaka mzima tunaangaika na usuluishi, mimi ni mwanamke kikubwa nahitaji hii kuanza upya kabisa. Sina shida na mali maana nilizotafuta zimegeuka ugomvi.
 
Back
Top Bottom