Ndoa za kikristo ziruhusu talaka kwa watu walioshindwana kama zilivyo ndoa za Kiislam

Talaka rasmi Tanzania hutolewa mahakamani kwa wote Wagalatia na Kobaz.
Sio kweli huku Zenji tuna mahkama ya kadhi ambayo inashughulikia masuala ya waislamu kma ndoa,mirathi na mambo mengine na ndo huku sasa muislamu untkiwa ukachukue talaka ya kadhi ili kuepusha misuguano endapo m.ke akitaka kuolewa na mtu mwengine
 
Mimi nazungumzia Tanganyika ambayo hakuna mahakama ya kadhi.
 
Hata Waislamu kugawana mali ni mahakamani, labda wengi wanaochana upande wa Kobaz huwa hawaoni mashiko kudai mali kwa sababu ni ndoa za muda mfupi au hakuna mali wenyewe za kugawana au wanamalizana kwa busara.
Ndugu usinene ulokua huna uhakika nalo Uislamu umetufundisha kila kitu hauhitaji mahkama hizi za kidunia kuendesha mambo yake
 
Wanaenda bakwata na sio mahakamani lbda unambie wale waislamu jina ata nitakuelewa
Hakuna Waislamu jina, huko BAKWATA ni kama kikao cha familia au jamii fulani tu kusuluhisha migogoro ila mahakama ya Tanzania Iko juu ya BAKWATA kwa hiyo mkishindwana kumalizana BAKWATA mtu akapeleka suala mahakamani linasikilizwa kama shauri lingine lolote. Pia hii hata kwa Wagalitia ipo, mnaweza kuamua kumalizana kwa wachungaji bila kufika mahakamani, kuna madhehebu yanaruhusu talaka.
 
Pole Sana kipenzi huku ukristoni vikikushinda kabisa unaivunja kienyeji Tu,ukifuata protocol kwa hizo sababu ulizotoa utasubiri Sana!
Katoliki ndio hawaruhusu talaka kabisa ila kuna makanisa mengine yanaruhusu kutokana na uzinzi/uasherati au mwenza mmoja kumtelekeza mwenzake japo utaratibu ni mrefu na mgumu kidogo.
 
Hakuna Waislamu jina, huko BAKWATA ni kama kikao cha familia au jamii fulani tu kusuluhisha migogoro ila mahakama ya Tanzania Iko juu ya BAKWATA kwa hiyo mkishindwana kumalizana BAKWATA mtu akapeleka suala mahakamani linasikilizwa kama shauri lingine lolote. Pia hii hata kwa Wagalitia ipo, mnaweza kuamua kumalizana kwa wachungaji bila kufika mahakamani, kuna madhehebu yanaruhusu talaka.
Hao waislamu jina wapo na wamejaa wengi tu mtu muislamu ila haswali hafanyi lolote jema katika aloamrishwa na mola wake ila ukienda kwenye zinaa yupo,kamari yupo n.k huyu sisi tunamuita muislamu jina tu ila Akifa sisi tunamzika
 
Msajili mkuu wa ndoa ni serikali, huku ukristuni pia zinaruhusiwa kwa mbaaali saaana kuvunjika ila si kwa wazi. Wanachofanya watumishi wa Mungu baada ya kuonekana ndoa haitatengemaa tena huwaonesha wanandoa mlango wa kutokea, huambiwa waende mahakamani ndoa ikatenguliwe/ikabatilishwe huko.Kanisa kama kanisa halina sera ya talaka, talaka ni huko kwa msajili mkuu wa ndoa
 
Mara nyingi wanaokomaa kuishi kwenye ndoa zenye migogoro, unyanyasaji na mateso ni wanawake wenye imani za kidini na wasiokuwa na kipato wanaotegemea waume zao kwa mahitaji mengi. Wanawake wenye kipato hawana uvumilivu kwenye ndoa zenye manyanyaso, hujitenga na waume zao na kwenda kuishi kwingine na ndio hukimbilia kwenye mabaraza ya usuluhishi na hata huko mahakamani kuomba ndoa ivunjwe ili wawe huru kuolewa na mtu mwingine. Wanaume hawana mambo mengi, mwanamke akizingua anaachwa kimyakimya hata akiwa mjengoni na watoto wake jamaa anajitenga na kwenda kuoa kimyakimya mwanamke mwingine. Kanisa halitoi talaka ila humuelekeza mwanandoa anayetaka kumuacha mwenzake aende ustawi wa jamii au mahakamani wakaachanishwe huko
 
Umemaliza
 
Kutoka kwenye ndoa huwa ngumu kama watu wameishi pamoja kwa muda mrefu na wana mali ambazo wamezitafuta pamoja, kwa mtu mfano kama Manara ambaye wakati anaoa kila mtu huwa anaona wanawake wake wanavyoingia bila kitu haiwezi kuwa shida kutoka kwenye ndoa zake kwa sababu hata hao wanawake ni vigumu kumsumbua kudai mali wanapoachika.
 
Katoliki ndio hawaruhusu talaka kabisa ila kuna makanisa mengine yanaruhusu kutokana na uzinzi/uasherati au mwenza mmoja kumtelekeza mwenzake japo utaratibu ni mrefu na mgumu kidogo.
Katoliki kiboko meno talaka hawalitaki kulisikia ni mwendo wa vikao vya usuluhishi hata ikienda miaka kumi hawajali.
 
Nina myaka 10 kwenye ndoa iliojaa visa, vipigo na kunyan’ganywa umiliki wa mali, Nilipofikia sasa naogopa hadi kununua kijiko kwan ndugu zake wakija ubeba vitu bila kuomba.

Mwaka 2018 vilitangazwa viwanja kigamboni nikamshirikisha mwenzangu kununua akasema ni mbali, nikajipinda nikanunua ila ikawa ugomvi mkubwa sana hadi nimeshindwa kukitaftia hati naogopa…

Mwaka 2022 nikanunua gari nikiwa na malengo ya kufanya tax baadae. Ila akaja na shida nimsaidie kadi ya gari achukulie mkopo bank nikampa kwa maandishi.

Mpaka sasa 2026 sijawai kuiona hio kadi ya gari kila nikiongelea ananiambia nifanye ninalotaka… Nimeshirikisha wazazi na kanisa hakuna matokeo zaidi ya usuluishi kila siku, Natamani kuwa single, nataman kuanza moja ila nazungushwa na usuluishi kila siku.
Mlete na mumeo nae aelezee ya upande wake. Tukiwasikiliza wote wawili tutakua kwenye nafasi nzuri zaidi ya kutoa recommendation
 
Nina myaka 10 kwenye ndoa iliojaa visa, vipigo na kunyan’ganywa umiliki wa mali, Nilipofikia sasa naogopa hadi kununua kijiko kwan ndugu zake wakija ubeba vitu bila kuomba.

Mwaka 2018 vilitangazwa viwanja kigamboni nikamshirikisha mwenzangu kununua akasema ni mbali, nikajipinda nikanunua ila ikawa ugomvi mkubwa sana hadi nimeshindwa kukitaftia hati naogopa…

Mwaka 2022 nikanunua gari nikiwa na malengo ya kufanya tax baadae. Ila akaja na shida nimsaidie kadi ya gari achukulie mkopo bank nikampa kwa maandishi.

Mpaka sasa 2026 sijawai kuiona hio kadi ya gari kila nikiongelea ananiambia nifanye ninalotaka… Nimeshirikisha wazazi na kanisa hakuna matokeo zaidi ya usuluishi kila siku, Natamani kuwa single, nataman kuanza moja ila nazungushwa na usuluishi kila siku.
Kama usuluhishi wa wazazi na kanisani umeshindikana, nenda baraza la usuluhishi la Kata, huko watawaita na watawasikiliza, wakishindwa kuwasuluhisha watakupa barua ya kwenda mahakamani, huko nako kuna nenda rudi za hapa na pale kikubwa uvumilivu , mwisho wa siku utapata haki unayoitaka
 
Back
Top Bottom