Mtu asifanye maandalizi kwa amani!Lakini kwenye ile ID yako nyingine hua unasema wewe ni single maza
Huyu karusha shutuma kwa mumewe kwa lengo la kupata huruma ya jamii na kuonekana yeye ni msafi. Katika kesi kama hiyo sio busara kuchagua upande wakati haujasikiliza wote wawili. Ni bora kukaa kimya kuliko kutoa mapendekezo kwenye kesi ambayo umesikiliza maelezo ya upande mmojaMtu amechoka anataka kuachana na mume wake, unataka kusikiliza upande wa mume ili waombane msamaha?
Wote hatujui upande mwingine kuna ukweli upi, kwa kuwa ameomba njia ya kupewa talaka, basi hatuna budi kumpatia!Huyu karusha shutuma kwa mumewe kwa lengo la kupata huruma ya jamii na kuonekana yeye ni msafi. Katika kesi kama hiyo sio busara kuchagua upande wakati haujasikiliza wote wawili. Ni bora kukaa kimya kuliko kutoa mapendekezo kwenye kesi ambayo umesikiliza maelezo ya upande mmoja
Sikushauri Kikristo nakushauri kibinadamu. Ondoka kakae mbali na huyo mtu. Usibebe chochote ondoka kama ulivyo. Kama unataka talaka inatolewa mahakamani. Ndoa yenu ilisajiliwa sehemu mbili tofauti. Moja haivunjiki nyingine inavunjika. Kaivunje upande wa pili usiteseke kisa mkataba.Nina myaka 10 kwenye ndoa iliojaa visa, vipigo na kunyan’ganywa umiliki wa mali, Nilipofikia sasa naogopa hadi kununua kijiko kwan ndugu zake wakija ubeba vitu bila kuomba.
Mwaka 2018 vilitangazwa viwanja kigamboni nikamshirikisha mwenzangu kununua akasema ni mbali, nikajipinda nikanunua ila ikawa ugomvi mkubwa sana hadi nimeshindwa kukitaftia hati naogopa…
Mwaka 2022 nikanunua gari nikiwa na malengo ya kufanya tax baadae. Ila akaja na shida nimsaidie kadi ya gari achukulie mkopo bank nikampa kwa maandishi.
Mpaka sasa 2026 sijawai kuiona hio kadi ya gari kila nikiongelea ananiambia nifanye ninalotaka… Nimeshirikisha wazazi na kanisa hakuna matokeo zaidi ya usuluishi kila siku, Natamani kuwa single, nataman kuanza moja ila nazungushwa na usuluishi kila siku.
Well inawezekana hatujui upande wa pili ila anaruhusiwa kuomba kuvunja kwa mkataba wa ndoa. Ndoa ni mkataba unaosimamiwa na serikali. Upande mmoja ukitaka kutoka usiulazimishe kubaki.Huyu karusha shutuma kwa mumewe kwa lengo la kupata huruma ya jamii na kuonekana yeye ni msafi. Katika kesi kama hiyo sio busara kuchagua upande wakati haujasikiliza wote wawili. Ni bora kukaa kimya kuliko kutoa mapendekezo kwenye kesi ambayo umesikiliza maelezo ya upande mmoja
Mshauri/mwelekeze basi hizo sheriaHuna uelewa na sheria ya dini nahisi umekulupuka tu.
Hata kwa namna yoyote kupiga sio suluhisho la chochote. Ukimchoka mtu mrudishe kwao. Unampiga kama nani? Unampiga mtu mzima? Hapana bro siungi mkono uonevu kwa upande wowote. Ukiona umenyoosha mkono ujue umeshindwa majukumu yako kama baba.Huyu karusha shutuma kwa mumewe kwa lengo la kupata huruma ya jamii na kuonekana yeye ni msafi. Katika kesi kama hiyo sio busara kuchagua upande wakati haujasikiliza wote wawili. Ni bora kukaa kimya kuliko kutoa mapendekezo kwenye kesi ambayo umesikiliza maelezo ya upande mmoja
Mambo yalishabadirika kitambo, Roman Catholic siku hizi wanakubali talaka.Nina myaka 10 kwenye ndoa iliojaa visa, vipigo na kunyan’ganywa umiliki wa mali, Nilipofikia sasa naogopa hadi kununua kijiko kwan ndugu zake wakija ubeba vitu bila kuomba.
Mwaka 2018 vilitangazwa viwanja kigamboni nikamshirikisha mwenzangu kununua akasema ni mbali, nikajipinda nikanunua ila ikawa ugomvi mkubwa sana hadi nimeshindwa kukitaftia hati naogopa…
Mwaka 2022 nikanunua gari nikiwa na malengo ya kufanya tax baadae. Ila akaja na shida nimsaidie kadi ya gari achukulie mkopo bank nikampa kwa maandishi.
Mpaka sasa 2026 sijawai kuiona hio kadi ya gari kila nikiongelea ananiambia nifanye ninalotaka… Nimeshirikisha wazazi na kanisa hakuna matokeo zaidi ya usuluishi kila siku, Natamani kuwa single, nataman kuanza moja ila nazungushwa na usuluishi kila siku.
Kwa hiyo kwenye Sala kiondolewe kifungu cha "tuwasamehe waliyo tukosea"!Nina myaka 10 kwenye ndoa iliojaa visa, vipigo na kunyan’ganywa umiliki wa mali, Nilipofikia sasa naogopa hadi kununua kijiko kwan ndugu zake wakija ubeba vitu bila kuomba.
Mwaka 2018 vilitangazwa viwanja kigamboni nikamshirikisha mwenzangu kununua akasema ni mbali, nikajipinda nikanunua ila ikawa ugomvi mkubwa sana hadi nimeshindwa kukitaftia hati naogopa…
Mwaka 2022 nikanunua gari nikiwa na malengo ya kufanya tax baadae. Ila akaja na shida nimsaidie kadi ya gari achukulie mkopo bank nikampa kwa maandishi.
Mpaka sasa 2026 sijawai kuiona hio kadi ya gari kila nikiongelea ananiambia nifanye ninalotaka… Nimeshirikisha wazazi na kanisa hakuna matokeo zaidi ya usuluishi kila siku, Natamani kuwa single, nataman kuanza moja ila nazungushwa na usuluishi kila siku.
Siku hizi wanaruhusu talaka.Katoliki ndio hawaruhusu talaka kabisa ila kuna makanisa mengine yanaruhusu kutokana na uzinzi/uasherati au mwenza mmoja kumtelekeza mwenzake japo utaratibu ni mrefu na mgumu kidogo.
Shida sio kesi mimi sitafuti huruma hapa, nimeelezea tuna mwaka tunazungushwa na usuluishi bila barua ya kuamriwa ili tuendelee na upande mwingine. My dear yan unahis mm natafta huruma ili iweje ikiwa hata sasa nataman kuwa separate…. What i need ni kuanza upya maisha bila kikwazo wala kutembelea njia ya mtu.Huyu karusha shutuma kwa mumewe kwa lengo la kupata huruma ya jamii na kuonekana yeye ni msafi. Katika kesi kama hiyo sio busara kuchagua upande wakati haujasikiliza wote wawili. Ni bora kukaa kimya kuliko kutoa mapendekezo kwenye kesi ambayo umesikiliza maelezo ya upande mmoja
Noo sihitaji recommendation mm nahitaj utaratibu wa kufikia separation nianze upya maisha kwa amani. Kanisa halitupi muongozo zaid ya mwaka sasa tunapigwa tarehe za usuluishiMlete na mumeo nae aelezee ya upande wake. Tukiwasikiliza wote wawili tutakua kwenye nafasi nzuri zaidi ya kutoa recommendation
Kukosekana maelezo ya upande mmoja bado inatubana kutoa mapendekezo, kumbuka talaka ni mchakato ambao unahusisha mgao wa mali, mzazi atakaebaki na watoto, child support n.kWote hatujui upande mwingine kuna ukweli upi, kwa kuwa ameomba njia ya kupewa talaka, basi hatuna budi kumpatia!
Nashukuru sana jmn, ni kama hiki ndicho nilichosubiri kwa muda mrefu. Asante sana kwa kunielewa na kunipa mwongozo mzuri. Comment yako imegusa kila sehemu yenye hofu na kujibu woga wangu wa kupiga hatua. Asante sana sana sana nimepata kitu.Pole sana kwa kipindi kigumu unachopitia. Maelezo yako yanaonyesha kuwa upo kwenye ndoa yenye mnyanyasaji wa kisaikolojia, kimwili, na kiuchumi (economic abuse). Ni hali inayoumiza sana unapojituma kutafuta maendeleo halafu badala ya kuungwa mkono, unakutana na vizuizi na vitisho.
Kwa kuwa umeshasubiri kwa miaka 10 na umejaribu njia za usuluhishi wa kifamilia na kikanisa bila mafanikio ya kudumu, ni muhimu sasa kuangalia hatua za kisheria na usalama wako:
1. Kuhusu Hati ya Kiwanja (Kigamboni)
Hofu yako ya kutafuta hati ni halali kutokana na mazingira ya ugomvi, lakini kisheria, kiwanja ulichonunua kwa fedha zako mwenyewe ni mali yako.
* Ikiwa unahofia usalama wako ukienda kutafuta hati peke yako, unaweza kumpa mwanasheria (Power of Attorney) akufanyie mchakato huo bila wewe kuhusika moja kwa moja.
* Hati ikishatoka, huna haja ya kuiweka nyumbani. Unaweza kuihifadhi bank (Safe Deposit Box) au kwa mwanasheria wako.
2. Kuhusu Kadi ya Gari na Mkopo
Kutoa kadi ya gari kwa maandishi ilikuwa hatua nzuri ya kisheria uliyochukua. Ikiwa mkopo umeshalipwa na anagoma kurudisha kadi, au ikiwa anatumia kadi hiyo kukuweka mateka:
* Unaweza kutoa taarifa Polisi (RB) kuhusu kadi hiyo kupotea au kushikiliwa kinyume cha sheria.
* Pia, unaweza kwenda Mamlaka ya Mapato (TRA) kutoa taarifa kuwa kadi imepotea au inashikiliwa ili kuzuia gari hilo lisiuzwe bila ridhaa yako.
3. Usuluishi wa "Kila Siku" (Viongozi wa Dini na Wazazi)
Wakati mwingine mifumo ya kidini na kifamilia hulenga "kulinda ndoa" hata kama mmoja wa wanandoa anazidi kuumia. Ikiwa usuluhishi haujaleta mabadiliko kwa miaka 10, ni ishara kuwa mwenzako hana nia ya kubadilika.
* Ni haki yako kisheria kuomba Talaka au Kutengana (Judicial Separation) kupitia Mahakama ikiwa kuna ukatili wa tabia (Cruelty).
* Mahakama inaweza kutoa amri ya kukulinda wewe na mali zako wakati mchakato unaendelea.
4. Usalama Wako Kwanza
Vipigo ni hatari kwa maisha yako. Usisubiri mpaka madhara yawe makubwa zaidi.
* Wasiliana na Mashirika ya Kutetea Haki za Wanawake: Mashirika kama TAWLA (Chama cha Wanasheria Wanawake) au WLAC yanaweza kukupa msaada wa kisheria na ushauri wa bure wa jinsi ya kupata mali zako na usalama wako.
Hatua ya Kwanza Unayoweza Kuchukua Leo:
Tafuta mwanasheria au nenda kwenye dawati la jinsia la polisi lililo karibu nawe. Eleza hali ya vitisho na kudhulumiwa mali. Huu siyo "uchochezi" bali ni kudai haki yako ya kuishi kwa amani na kumiliki kile ulichokifanyia kazi.
Unatamani kuanza moja? Inawezekana, na unaonekana ni mwanamke mpambanaji (umeshanunua kiwanja na gari ukiwa ndani ya mazingira magumu). Nguvu hiyo uliyotumia kutafuta mali, ukiitumia sasa kujikomboa, utafika mbali sana.
Kanisa halitambui talaka.Nina myaka 10 kwenye ndoa iliojaa visa, vipigo na kunyan’ganywa umiliki wa mali, Nilipofikia sasa naogopa hadi kununua kijiko kwan ndugu zake wakija ubeba vitu bila kuomba.
Mwaka 2018 vilitangazwa viwanja kigamboni nikamshirikisha mwenzangu kununua akasema ni mbali, nikajipinda nikanunua ila ikawa ugomvi mkubwa sana hadi nimeshindwa kukitaftia hati naogopa…
Mwaka 2022 nikanunua gari nikiwa na malengo ya kufanya tax baadae. Ila akaja na shida nimsaidie kadi ya gari achukulie mkopo bank nikampa kwa maandishi.
Mpaka sasa 2026 sijawai kuiona hio kadi ya gari kila nikiongelea ananiambia nifanye ninalotaka… Nimeshirikisha wazazi na kanisa hakuna matokeo zaidi ya usuluishi kila siku, Natamani kuwa single, nataman kuanza moja ila nazungushwa na usuluishi kila siku.
Unaamini vipi kapigwa? Kakuonyesha majereha?. Ondeeni fikra potofu ya kuamini mwanamke ni malaika, kwamba akitoa tu shutuma basi ni za kweli.Na
Hata kwa namna yoyote kupiga sio suluhisho la chochote. Ukimchoka mtu mrudishe kwao. Unampiga kama nani? Unampiga mtu mzima? Hapana bro siungi mkono uonevu kwa upande wowote. Ukiona umenyoosha mkono ujue umeshindwa majukumu yako kama baba.
I grew up seeing my father doing that shit. He never provided any food in the house. Now I don't love him, I provide for him as an obligation not out of love. I never saw any while growing up. I saw my mother being kicked to near death experience, sometimes sleeping without food, searching for food with my mother and other siblings. She never left because she was told you can't leave your children's. Not anymore, sometimes your well-being is better than what the society think.