Ndoa za kikristo ziruhusu talaka kwa watu walioshindwana kama zilivyo ndoa za Kiislam

Sasa hy kitoka unyumba na 50/50 utofauti ni upi? Hapo lengo n moja.

Au ndo yale yale ya abubakar kuitwa Abu unaona n watu tofauti?
Hhhhh tuoneshe kwenye dini yenu mumefunzwa ivo sio unasema tu m nishakwambia nyinyi mnafuata sheria za bungeni muone mtoa mada anavolalamika sie huyu tu kuna member humu anaitwa mtoto wa nzi nae aliwahi kuleta madai haya haya
 
mwaka mzima tunaangaika na usuluishi, mimi ni mwanamke kikubwa nahitaji hii kuanza upya kabisa. Sina shida na mali maana nilizotafuta zimegeuka ugomvi.
Kwa kweli mali hutafutwa ila raha ya nafsi jipe mwenyewe
 
Hhhhh tuoneshe kwenye dini yenu mumefunzwa ivo sio unasema tu m nishakwambia nyinyi mnafuata sheria za bungeni muone mtoa mada anavolalamika sie huyu tu kuna member humu anaitwa mtoto wa nzi nae aliwahi kuleta madai haya haya
Nikuonyeshe nn?
 
Hapa kuna maelezo mengine hatujaambiwa mi kwa upande wangu siamini kama yamekamilika,mwanamke mwenye uwezo wote huo kwamba kavumilia vipigo muda wote siokweli atakua yeye mwenyewe ndio tatizo.
 
mwaka mzima tunaangaika na usuluishi, mimi ni mwanamke kikubwa nahitaji hii kuanza upya kabisa. Sina shida na mali maana nilizotafuta zimegeuka ugomvi.

Nenda mahakamani makarani wa mahakama watakupa muongozo. Ni rahisi sana kupata talaka. Labda kama hujaamua.
 
Hujaamua kutoka hapo, siku ukiamua utatoka mwenyeweee.
 
Umeishiwa hoja ndugu mm nalala saivi
Nimekuambia tangu mwanzo, hakuna mahali popote pale kwenye Ukristo panasema mkiachana mgawane 50/50 sasa ww unataka Nikuonyeshe nn?
 
Hhhhh tuoneshe kwenye dini yenu mumefunzwa ivo sio unasema tu m nishakwambia nyinyi mnafuata sheria za bungeni muone mtoa mada anavolalamika sie huyu tu kuna member humu anaitwa mtoto wa nzi nae aliwahi kuleta madai haya haya
Talaka rasmi Tanzania hutolewa mahakamani kwa wote Wagalatia na Kobaz.
 
Hahahaaaa sasa mbona mnaenda mahakamani kugawana mali?
Hata Waislamu kugawana mali ni mahakamani, labda wengi wanaochana upande wa Kobaz huwa hawaoni mashiko kudai mali kwa sababu ni ndoa za muda mfupi au hakuna mali za kugawana au wanandoa wanamalizana kwa busara.
 
Back
Top Bottom