Zitasaidia kupunguza baadhi ya matatizo katika jamii zetu, zitaondosha magomvi juu ya Mali za wanandoa, zitaondosha wanawake matapeli wa ndoa wenye dhamira za mali na si mapenzi ya kweli, maana mali za kila mmoja zitabainishwa, na mali mpya chumwa zitabainika, pia kwa kuwa ndoa hizi huwa na...
Mimi nimekuwa nikijiuliza maswali muda mrefu sana, kwanini Wazungu tu ndio hilo swala la ndoa za mkataba ndio wamelipa kipaumbele sana kuliko sisi Waafrika?
Na hilo suala mimi nimekuwa nikilisikia juu juu tu, na sijawahi kuelewa sana maana yake na wao wazungu wameweza vipi hadi kufikia hapo?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.