Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
Zitasaidia kupunguza baadhi ya matatizo katika jamii zetu, zitaondosha magomvi juu ya Mali za wanandoa, zitaondosha wanawake matapeli wa ndoa wenye dhamira za mali na si mapenzi ya kweli, maana mali za kila mmoja zitabainishwa, na mali mpya chumwa zitabainika, pia kwa kuwa ndoa hizi huwa na mikataba maalumu yenye muda maalumu, basi pia hutoa fursa kwa wenye ndoa baada ya mkataba kwisha, waendelee ama wasitishe na kila mmoja ajitafakari upya.