NDOA YANGU
😭💔
Sehemu ya ( 01)
(Selemani Sele)
Niliwahi kuambiwa kwamba katika maisha kuna mtihani ambao unazawadiwa cheti halafu kisha mtihani unafuata,na mtihani wenyewe huo si mwingine bali ni ndoa,siku ya kuzawadiwa cheti huwa ni siku ya furaha na yenye kuhudhuliwa na watu wengi,lakini baada...