Kufuatia kifo cha kusikitisha cha Juma Said Mfaume, mkazi wa Mbagala Mlandizi, familia yake/mke anaweza kufungua kesi ya fidia dhidi ya wafanyakazi wa Kampuni ya OYA Microcredit. Juma, ambaye alikuwa mume wa Khadija, alifariki baada ya kupigwa na watu wanaodaiwa kuwa wafanyakazi wa kampuni hiyo...
Kila mwanaume ana vigezo maalum au sifa anazozitazamia kwa mwanamke ambaye angependa kuwa naye kwenye ndoa, na mara nyingi tabia hizi zinakuwa ni msingi muhimu kabla ya kuingia kwenye mahusiano. Msanii wa muziki wa Hip Hop, Rashidi Abdallah, maarufu kama Chidi Benz, amefunguka kuhusu aina ya...
Kuna wanaume wajinga wajinga hivi wenye akili za kitoto kila uchwao hubweka... "usioe mwanamke asiye bikira." Kiuhalisia hao jamaa hawajui maana ya ndoa ni nini. Wapo walioa mabikira kwa kudhani kuwa ndoa zitadumu kumbe sivyo hivyo. Waliachana na hao mabikira zao.
Wapo wanaojua nini maana ya...
Habari zenu wana jukwaa anahitajika mwanamke ambaye yupo tayari kwa ndoa ambaye yupo serious anitumie ujumbe PM (DM) awe muislam umri 25+ awe tayari kwa ndoa.
Wakuu,
Kwa kuanza, mimi ni kijana wa makamu, umri 35+, mfupi, kibonge, mweusi tiiiiiiii!
Nimeajiriwa kwenye NGO moja ya wazungu, alhamdulilah familia inaenda chooni. Nimebahatika kuwa na watoto wa3 kila mmoja na mama yake na nashukuru wanangu wanaishi vizuri lakini sikubahatika kuoa wazazi...
Gerald Hando live hajaweka makeup msibani kwa Dida,niseme amezeeka ghafla.
Naamini ni uchungu wa kufiwa na mke ,upweke unamzeesha.
Ukifiwa na mke usikae zaidi ya miezo sita bila kuoa,sonona itakumaliza
Watoto wote wana haki sawa, maamuzi ya wazazi hayana uzito wa kuwabagua, Mali zipigwe pasu kwa pasu kwa watoto wote bila kujali ni wa ndani ya ndoa au nje.
Nimeshangazwa kusikia kinachoendelea huko Arusha kwamba mke wa marehemu bilionea YTemu anajitetea kwamba walifunga ndoa ya kikristo ya mke...
Salaam wakuu...
Pamoja na pongezi zilizotolewa kwa serikali juu ya uamuzi wa kuwasaidia wanandoa waliopo mbali kuishi pamoja, Nina ushauri kutokana na baadhi ya waajiri kutokuwa waaminifu kwa waliopo chini Yao.
Ili mtumishi ajue taarifa zake zimefika wizarani ni vema kwenye mfumo wa ESS kukawa...
Ndoa inapaswa kuheshimiwa na watu wote.
Inasiktiisha na kuhuzunisha mwanaume kulea watoto wasio wake na pia Inasiktiisha mwanamke/ mwanaume kuletewa magonjwa yasiyotibika kwasababu mwenza wake hakuwa mwaminifu.
Kama unajijua huwezi kujizuia , usioe wala kuolewa, we danga tu.
Nimemaliza.
Sera ya kukataa ndoa isibakie kwenu tu ila pia mkatae na ndoa za wengine ili msiziingilie.
Tofauti na hapo mnakuwa tu kama kikundi cha vijana matapeli mjini.
Maana kutokana na historia ya matukio kitakachofata kwenu mara nyingi ni death, ulemavu au kuziburia choo (something you really dont...
Mhadhara - 34:
Tukizungumzia msiba ni tukio la ghafla - msiba hutokea ghafla. Kwa watu ambao wana maisha ya kawaida matukio ya misiba yanawakuta wafiwa kwenye hali mbaya ya kiuchumi. Hivyo ni muhimu kumchangia hela mfiwa za kumsaidia.
Kuhusu ndoa/harusi:
Siku hizi matukio ya harusi yamekuwa ni...
Muigizaji maarufu wa Marekani Tyrese Gibson ameangua kilio kikali baada ya mke wake Samantha Lee kushinda kesi ya talaka na kuchukua mali zote za jamaa ikiwemo jumba lake na binti yao kisha mwanamke huyo kurudiana na ex wake wa zamani.
Unaambiwa Tyrese amepigwa marufuku kukanyaga kwenye nyumba...
Niliunganishwa na huyu mke wangu na shangazi yangu. Kipindi hicho nilikuwa nimetoka masomoni Uingereza, na kwa kuwa nilitoka huko nikiwa na kazi tayari, hivyo nilikuwa nishajipanga kimaisha na mambo yalikuwa mazuri. Sikupanga kuoa kwa kipindi hicho, lakini kama unavyojua familia zetu, ukiwa na...
Muigizaji maarufu wa Marekani Tyrese Gibson ameangua kilio kikali baada ya mke wake Samantha Lee kushinda kesi ya talaka na kuchukua mali zote za jamaa ikiwemo jumba lake na binti yao kisha mwanamke huyo kurudiana na ex wake wa zamani.
Unaambiwa Tyrese amepigwa marufuku kukanyaga kwenye nyumba...
Habari nahitaji Mume mwenye umri 40 Hadi 49 Kwa ajili ya ndoa halali ya kanisani
Mchapkazi na anayejua Majukumu yake sio wakulelewa
Mkristo hasa mpetekoste
NB alietayari ku asili mtoto
Awe mkoa WA manyara kilimanjaro ,Tanga au Dar
Kama mada inavyojieleza
Hii hali imenishangaza sana. Nina marafiki wengi wa kike na kiume wenye umri unaocheza miaka 35 mpaka 37 wengi wao ndoa zao zimevunjika na nyingine zipo ICU
Wengi wa marafiki hawa walioa baada ya kumaliza vyuo tena kwa mbwembwe nyingi leo hii ndo zimesambaratika na wengi...
Moja kwa moja, wenye ndoa zao mkilala ukaletewa Makalio bumper to bumper huku wewe una stress zako kibao sana, huwa ni kama kero na stress zaidi.
Mwenzio anakoroma wewe hesabu haziendi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.