DADA SANAMU YAKO NAJENGA HUMUHUMU JF
"Unalaumu eti Mimi ukoo niliotokea hawaolewagi kumbe shida hata sio Ukoo ,Bali tabia yako mbaya wewe ukikutana na mwanaume siku ya kwanza nikuomba hela ,amekusalimia tu ameonyesha ka interest kidogo ushaomba vocha,amekusalimia kwatabasamu kaomba namba...
Unakuta watu wengi walioko kwenye mahusiano ya kimapenzi, uchumba na ndoa, mathalani walikutana masomoni, kanisani, safarini, kwenye sherehe, semina, kongamano au hata makazini tena bila hata kutumia teknolojia ya mawasiliano ya simu za mkononi kukutana mwanzoni, ispokua technolojia hiyo imekuja...
Habari zenu wakuu! Leo nataka tujadili suala muhimu sana katika maisha ya mwanaume. Wengi wetu tunajua kuwa kutafuta pesa ni moja ya majukumu makubwa ambayo mwanaume anabeba, lakini je, ni kweli kwamba maisha ya mwanaume yanapaswa kuzunguka pesa tu? Kando na juhudi za kutafuta riziki, kuna mambo...
Mchezaji wa timu ya Morocco pamoja na PSG Hakimu aelezea sababu zilizo mpelekea kubadilisha jina lake kwenye urithi wa mali zake zote kwa mama yake mzazi na kusema Nilifunga ndoa na mke wangu wa zamani, Hiba Abouk kuanzia 2020 hadi 2023
Lakini niligundua kuwa alikuwa akitafuta pesa zangu miezi...
Watu wengi hukimbilia kwenye ndoa kwa kudhani kuwa ndoa ni tamu.
Mara tunajionea walioko ndani ya Ndoa wakipenda tena nje ya Ndoa huku wakionesha kukinai Ndoa yao.
Au Mahusiano ni matamu kabla hamjaingia ndani ya Ndoa?
Kuingia kwenye ndoa au kunahitaji mtu mwenye akili za namna gani?
Mbona...
Namuachaje kwa amani, nilimtoa kwenye ndoa yake ili anizalie sasa mke wangu naye kapata mtoto sitaki tena kuchepuka!
Niko kwenye ndoa huu ni mwaka wa 7. Katika kipindi chote hicho mimi na mke wangu tulikuwa hatujabarikiwa kupata mtoto. Tulikwenda hospitalini kupima, ikagundulika yeye ndiye...
Ni kisa cha miaka 10 iliyopita lakini mhusika anapitia kipindi kigumu mpaka sasa
Ilifikia kipindi anashinda sana kanisani mpaka anaacha watoto nyumbani, hapiki analipa kanisa kipaumbele, kuchukua pesa za savings kwajili ya zaka na sadaka za kitapeli, anaweza kesha kanisani, n.k. Mume wake...
hadi naandika hoja hii,
kuna kundi kubwa mno la waliowahi kua kwenye mahusiano, uchumba na ndoa, lakini wanasoma ujumbe huu mahususi wa urejesho sasa, wakiwa wamasambaratika si wamoja tena na wenzi wao, hawaishi pamoja na wala hawa wasiliani tena, ni maadui wa kubwa, wenye uhasama ambao kila...
Kurahisisha swali langu tutolee mfano umefunga ndoa ya kiserikali kwa jina lako halisi then ukaenda kanisa fulani ukataka ufunge tena ndoa je watu wa kanisani huwa wana utaratibu wa ku check kwenye mfumo huo ili wagundue kuwa uliwahi kufunga ndoa??nachojua ni uzazi na vifo ndo labda RITA wana...
Kosa kubwa utakalofanya mwanaume kwenye mahusiano yoyote na mwanamke katika mapenzi
1.Kufanya kila njia hili kutimiza mahitaji yake na shida zake
2.Kusema ndio kwa kila kitu anachokihitaji.
3.Kumfanya kama nguzo yako katika mahusiano yenu
4.Kumuonesha kuwa unaogopa kumpoteza kwenye maisha...
ni muhimu sana kama wenza kuombeana mema kwa Mungu,
na kwa hakika Neema na Baraka za Mungu zitaandamana na kuambatana na kila moja wenu na kwa imani thabiti mtaweza kuyashinda majaribu mazito na magumu mtakayopitia kwa urahisi na wepesi sana....
hongereni sana kwa hatua mliyofikia,
Mungu...
1. Kwa pamoja tukatae ndoa za Jinsia moja. Huu si utamaduni wetu wa-Tanzania, ndugu zangu.
2. Pia, apps zinazohamasisha Ushoga zifungiwe. Hizi apps zimekua msiba Kwa vijana (Hasa wanachuo).
3. NGOs, vituo vya watoto yatima na Sober house zifuatiliwe Kwa karibu. Huko ndo agenda za Ushoga...
Anahitaji ushauri, soma kisa chake hapo 👇
My wife is pregnant with another man's baby and now she wants to leave me.
For some background, I got married years ago and my wife and I were happy but issues started when several years passed and she was unable to get pregnant. We tried all we could...
Habari
Na gfriend wangu tumetokea kupendana sana kusex sanaaa
Baadae akafanikiwa pata mtoto
Sasa n mwaka wa 3
Ila ile hamu ya tendoo la ndoaa sijui kaenda nayo mtoto ama lah
Mkikutanaaaa yaaan inaweza chukua dk 15 kumchezea weee ndio unaona hamu inamuingia
Kama kuna dawa ya hamu ya tendo la...
miongoni mwa changamoto kubwa kwenye mahusiano na ndoa nyingi kwa sasa ni kukosekana kwa uaminifu baina ya wahusika..
kuchepuka na michepuko limekua jambo la kawaida na ni chanzo cha migogoro na kusambaratika kwa chumba nyingi, mahusiano na ndoa nyingi sana, huku wanaoathirika zaidi ni watoto...
Na ni nani aliyewadanganya Waswahili kuwa ili uwe Mshauri mzuri wa Jambo fulani basi ni lazima uwe una Uzoefu nalo kwa Wewe mwenyewe kukupata?
Tanzania mpaka sasa ( japo wapo wanaojitahidi ) ila bado sijaona Mchambuzi Mahiri wa Mpira wa Miguu kama Dk. Leakey Abdallah ( mwana Liverpool FC...
NAHII SIO KWENYE NDOA TU
HATA WEWE UNAETESEKA NA MAGONJWA MAISHA MAGUMU
NENDA KAANGALIE CHUNGUZA WAZAZI WAKO BABU ZAKO WALIISHI MAISHA GANI WAPI WALIWAHI KUKOSEA TUBU KWA AJILI YAOOOO
KUNA FAMILIA ZINATESEKA NA LAANA ZA UKOO MABABU KWA MABABU YAAN KWA SASA LABDA WANA VIZAZI VYA SABA
HAKUNA WA...
Nyakati zimebadilika sana, wanawake single mothers , talaka kwa Wakristo na ndoa kwa watu wa makabila tofauti sio mwiko(taboo) tena, katika mazingira haya je kuna haja ya kuwasikiliza na kuwatilia maanani wazee walioishi karne hiyo kuhusiana na masuala ya ndoa au mahusiano?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.