Habarini nyote na Amani iwe nanyi
Mimi Chief Wadiz muumini wa haki na uhuru nasema hivi kupotosha haki na uhuru si sawa
Sisi Wanaume tumeumbiwa hitaji na kiu ya wanawake wengi hivyo tuna haki na halali ya kuoa wake wengi iwe kimila au katika dini na hata historia ya mitume wengi hata baba yetu...
Jamani wenzangu tuliomo kwenye ndoa zaidi ya miaka 15 njooni tupongezane ndoa sio mchezo wa Simba na Yanga ndoa inahitaji mental maturity and stable income, hususani ukiamua kua na wake wawili, ndoa ya mke moja inatesa mno, nilianza ikanishinda.
Nimebakiza miaka mitatu ni timize 20th...
Mtu mnakaa miaka mpaka sita mara miezi saba!!.. kwanini..?
hamuoni kama mnapoteza muda,mnachunguzana nini kwani kuna mtu ametokea sayari tofauti na hii..? au umeambiwa unaoana na alien..?
Mnachunguzana tabia kwani kuna tabia gani usiyoijua hapa duniani..? kwani kuna tabia inayotoka nje ya hii...
Hawa wanawake sijui wana shida gani!? Wakiwa hawajaolewa wanahangaika kwa manabii na waganga ili wapate ndoa. Ila wakishaolewa kutwa kuhangaika kurukaruka kutaka kugawa utamu wa ndoa kwa sisi mabachela.
Imagine mke wa mchungaji, status zake ni makongamano na semina za kibiblia na neno la...
1. MWANAMUME HAPENDI KUFOKEWA
Hata Kama amekosea; jaribu kumuonyesha kosa lake pasipo kumfokea au kumvunjia heshima.
2. MWANAMUME HAPENDI KUULIZWA MASWALI MENGI KWA WAKATI MMOJA
Ukimuuliza swali halafu yeye anakua kimya au anaduwaa; ujue hana jibu au anajisikia vibaya kuhusu jibu ambalo...
Hello!
Kama kawaida siachi kuwasanua wanaume wenzangu. Inaumiza sana kuoa malaya. Usithubutu kuoa malaya.
Jana nilileta Uzi uutafute upate kumjua mwanamke malaya na ujinasue usije kuingia kwenye kimbwini ukamwoa.
Kuna wanaume wanalaumu eeehh nimemfungulia duka sasa limekua anaanza jeuri. My...
Sehemu YA kwanza
*(Uandishi wangu si mzuri sana)
Jina langu ni Vintage1q. Nimezaliwa mwishoni mwa miaka YA themanini na kukulia ughaibuni kwa takribani miaka 12. Nimezaliwa katika familia YA hali YA chini kabisa na mimi nikiwa ndo mtoto wa kwanza wa kiume.
Kukulia na kuishi ughaibuni kwa miaka...
Umaskini ni fedheha. Umaskini ni jambo la kupambana nalo kufa na kupona. Fanya ufanyavyo usiwe maskini. Umaskini huambatana na mambo mengi sana ya hovyo. Mtu mwenye njaa ana sura mbaya na roho mbaya. Sijui kwa enzi za mababu zetu ila maskini wa leo hii ni ngumu mno kuiona pepo. HAIWEZEKANI...
Kumekuwepo na wimbi kubwa la "Vijana wa ovyo " wakiendesha kampeni yao maarufu Kama Kataa ndoa! Wengi wanaopinga ni kuonyesha kiasi gani jamii yetu inakosa maadili! Mwanaume anaogopa na hawezi kuiongoza familia ,anaishia kuandika KATAA NDOA? hebu tukumbushane!
Umewahi kuona mgombea urais asiye...
Niko hapa kituo flan cha daladala
Basi pembeni yangu Amekaa mkaka nadhifu sanaaa anaonekana mwenye sura ya HeLa na hata hapo kituoni sijui hata anafanya nini.... Ila anaonekana mwenye stress Sana hadi anaongea kama mtu anayekaribia kutoa machozi.
Kaka huyu mrefu maji ya kunde nzuri, mwenye...
Yaani nikipewa jumatatu, jumanne, jumatano na alhamisi anakuwa amechoka, na tena inakuwa ni kimoja.
Sasa unajua mimi bado ni kijana lakini kuna wakati hili suala linanifanya nakuwa na hasira kwani ni mpaka apende yeye.
Nafikiria kumwacha ila nawaza watoto watakuja kuwa machokoraa.
Nawaza kuwa...
Kuna sign au ishara gani ambazo tunaziona mwanzoni mwa uhusiano tunajua kuwa hapa hamna kitu huu uhusiano haufiki popote.
Mi nikiona Mwanaume hanipi hela wala haongelei habari za hela yee maneno matupu tupu tu, moja kwa moja najua hatutofika mbali.
Naanza kumpotezea akipiga simu sipokei na...
Habari za wakati huu wadau na wana familia wote.....
Moja ya nguzo muhimu katika maisha ya mwanadamu ni familia, hata Mungu alipo muumba Adam aliona amekuwa mpweke na akamletea mwenza, pia mwisho akawaamuru waende wakaijaze dunia.
Hivyo basi, njama au lengo kuu la shetani ni kusambaratisha na...
Ney Wamitego ameendelea kupigilia msumari kauli ya kataa ndoa kupitia wimbo wake wa bachela
Katika wimbo wake chorus inasema "sisi ndio mabachela hatutaki ndoa mabachela tunakula ujana mabachela waache waoane"
https://youtu.be/mzQ-K56cCDc?si=0FPFHb3wTrkPoM9f
Mara nyingi mahusiano ya wanandugu huwa yanaharibika / kupungua pale wanapo oa au kuolewa , kuna wengine akili zinabadilika anaanza kutumia akili ya mke au mume zaidi na kudharau mambo ya familia aliyotoka.
Wanaume wengine wanaendleshwa na wake zao anafarakanishwa na ndugu zake
Mjinga mkubwa wewe, tatizo sio huyo mwanaume unayemwambia:
"Kaa mbali na mke/mpenzi/mwanamke wangu."
Tatizo ni mke, mpenzi au girlfriend wako amempa nafasi mwamba ya kuongea, kuwasiliana au kutaniana naye na kutongozwa na kuna uwezekano tayari kashampiga miti.
Shtuka adui yako ni mke au...
Habari hii imeripotiwa kwenye habari wikiend na UTV.
Katika hali isiyo kuwa ya kawaida, kijana Edward Futakamba, mkazi wa Mpanda mkoani Katavi amejikuta akifanya sherehe ya harusi bila ya mwenza wake, ikidaiwa siku chache zilizopita familia ya bibi harusi ilighairi kufanyika kwa ndoa hiyo...
1. International best author and motivational speaker kutoka Tanzania akifurahia ndoa na mkewe halali.
2. Ikumbukwe pia Mheshimiwa Dr Nanauka aliwahi kuonyesha Nia Kwa Wadada kadhaa ila bahati haikuwa Yao. Asanteni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.