Wasalaam,
Wana JF wote.
Leo nina mada kidogo kuhusu suala la uchepukaji kwa wanaume hususani walioko katika ndoa kunakosababishwa na wanawake wenyewe.
Nikiwa miongoni mwa wanaume walioko katika ndoa nimeonelea ni vema nikatoa maoni yangu kuhusu suala la wanaume wengi kuchepuka kwenye ndoa...
Habari wakuu.
Hiki kisa nimekikuta huko katika pita pita zangu mitandaoni.
HILI LINAITWA SHAMBULIO LA MOYO
Huyu ni mke wangu kabisa, nimefunga naye ndoa mwaka huu mwezi wa pili ila kufika mwezi wa 5 MUNGU alijaalia kupata ujauzito.
Mwanzoni huyu mwanamke ilikuwa Kila alhamis lazima aombe...
N:B..Vipimo ni wastani / Average katika kundi kubwa, hatuangalii moja moja kwamba Kuna mzaramo flani ulimkuta hapendi ngoma, kuna wachaga uliwakuta nyumba flani hawapenda pesa, n.k.
Pisi kali – Ni kweli nchi ina pisi kali kila kona lakini komesha ipo kwa Wanyaturu wa Singida, Wa iraqw tuliozoea...
Hii wiki inatimia sasa mke wangu ananinyima tendo la ndoa na nikumuuliza sababu ananipiga na kuniongelea maneno makali as if mimi ni mtoto wake wa kumzaa sasa sijui nini kimemsibu mpaka najuta kwanini nimeoa hili kabila ni wababe wababe na majeuri sana aisee
Kila nikirudi kwenye mishe mishe...
Katika jamii ya kisasa, dhana ya ndoa imebadilika kwa kiasi kikubwa ikilinganishwa na zamani. Watu wengi sasa wanajiuliza kama ndoa bado ina umuhimu kama ilivyokuwa hapo awali. Katika makala hii, tutachunguza mabadiliko haya na umuhimu wa ndoa katika maisha ya watu wa sasa.
1. Ndoa Haina...
Shalom,
90% ya ndoa nyingi ni fake, wanawake wengi huolewa kwa shida zao binafsi na kwa manufaa binafsi mfano kukosa kujihudumia kwa chakula, mavazi, kula vizuri, kulipa Kodi ya nyuma, familia duni hasa wazazi na ndugu tegemezi kibao, kuoana wivu hasa marafiki zao wakiolewa.
Na wanawake kwa...
Kuna msemo wa kiarabu usemao "inna baada Sabri, bushraa" yaani hakika Kila baada ya subra ni habari njema.
Hakika ndo ninavoweza kusema baada ya kuishi na mke wangu Kwa zaidi ya miaka 7 bila mtoto.
Hatimae Leo tarehe 27.07.2024 naandika historia mpya na njema katika mgongo wa ardhi hii ya...
Hakuna ndoa isiyo na mitihani na mikwaruzano. Kinachovunja ndoa nyingi ni mke au mume kuwa kispika cha kueleza changamoto za mwenzi wake kwa ndugu na jamaa bila kujali wakati sahihi wa kufanya hivyo.
Akisahau hata huko anakokwenda kutafuta msaada nako huenda moto unawaka zaidi kuliko ndani ya...
Lakini nimestaajabu sana aisee eti watu wanafunga ndoa Kesho na hapo wamekaa bila kufunga ndoa na wamezaa watoto zaidi ya 4 sasa hlyo imenistaajabisha sana aisee kwahiyo kipindi hicho walikuwa wanazini.
Na huyo mtu hakufunga ndoa na alikuwa muhubiri au katekista wa kanisa Fulani sasa hao watu...
Niliwahi kuleta uzi humu kuwa ukitaka kujua wazee wa ovyo wanaongezeka kwa kasi nenda harusini..
Leo nimeona clip mtandaoni baba anamwambia binti yake kuwa ole wake siku alete kesi kwake kuwa mumewe amerudi saa nane za usiku...
,akaendelea kudai kuwa hiyo ni kawaida sana kwa wanaume,
Kichaa...
Habari za jumamosi wakuu, nadhani mmeamka poa.
Twenzetu moja kwa moja kwenye mada, huyu bi dada ni jirani yangu anaishi na mume wake na watoto wawili pamoja na ndugu zao inshort wanaishi familia kubwa kidogo.
Lengo la kuleta huu uzi ni kutaka ushauri maana huyu bi dada tulitokea kuzoeana mpaka...
Huyu kaka ni jirani yangu, wakati namaliza chuo ndiyo walihamia hapa karibu na kwetu wakiwa na nyumba kubwa kuliko sisi. Mwanzo mke wake alikuwa ni rafiki yangu na katika kuongea niligundua kuwa kumbe wana miaka 7 kwenye ndoa yao lakini hawana mtoto. Nikimuangalia kaka ana kazi nzuri TRA na...
Kama tayari ameshampa hamis, sheby bodaboda, frank, Qboy, dj dully, pius, zero iq, devi, jembe, chid, rasta, baba kevi, george, cadabra n.k iweje akuambie wewe sex mpaka ndoa.!
No room to that nonsense condition like SEX MPAKA NDOA, the moment she broke her virginity she has lost right to that...
Aisee unajua tunaweza kuwa tunabishana kuhusu kataa ndoa sijui kubali ndoa lakini hatujui maana yake vizuri. Ndo maana Nina swali je mnachomaanisha ni hamtaki kabisa kuishi na mwanamke pika pakua au hamtaki tu kufunga ndoa kisheria.
Kama ni kutoingia kisheria hata mimi nitawaunga mkono ila je...
House girls wote popote mlipo.
Naomba niwape heshima zenu, na kwa KONGOLO KUBWAA.
Haijalishi mateso na mapito mnayopitia, ila akili zenu kubwa za kutembea na wenye nyumba na kuwasitiri zinasaidia kupunguza talaka hapa mjini.
Ni wachache watashindwa kutambua hili, ila binafsi kabla ya kulala...
ukiangalia Mhehe/ Mbena moja moja wapo pasua kichwa lakini ukiangalia kwa jicho la wastani / average wanawake wengi wahehe na wabena wanapoingia kwenye ndoa huwa ni loyal, ride or die, wavumilivu, humheshimu mwanaume kwa hiari, hawana tamaa ya mali, n.k.
Nina katabia kabovu sana ka kupenda...
Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa kamili hapo chini:
Tabora. Katika hali isiyo ya kawaida, Baraza Kuu la Waislamu (Bakwata) katika Kata ya Mtendeni, Manispaa ya Tabora, limeazimia kumuondoa katika nafasi yake, sheikh wa kata hiyo, Bakari Sikonge kwa madai ya kufungisha ndoa mara mbili pamoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.