ndoa

  1. Watu wanaongelea kataa ndoa ila hawaongelei kuepuka kuzaa na wanawake mataahira.

    Aisee mara utasikia kosea nini sijui ila usikosee kuoa. Wakuu, mimi nasema kosea yote lakini usikosee ukazaa na mwanamke kichaa au wa uswahilini. Kuna rafiki yangu ana kila kitu ila alifanya kosa na kuzaa na nusu chizi, nusu taahira. Kila akinisimulia anayopitia namuonea sana huruma, hana...
  2. Maisha yangu ya ndoa ni tofauti na nilivyoyatarajia

    Kabla ya kuoa, nilidhani ndoa ni chanzo cha furaha na baraka. Nilitarajia amani na utulivu, lakini ukweli umekuwa tofauti kabisa. Nimegundua kwamba changamoto za ndoa zinaweza kukuletea presha kubwa, hasa unapokuwa na kipato cha chini. Kipato kidogo kimekuwa chanzo cha migogoro isiyoisha...
  3. Makaburi 28 ya ndoa

    1. Uvivu unaua ndoa. 2. Tuhuma zinaua ndoa. 3. Kutokuaminiana kunaua ndoa. 4. Kutoheshimiana kunaua ndoa. 5. Kutosamehe, Uchungu, Chuki, Uovu na Hasira zinaua ndoa. 6. Mabishano yasiyo ya lazima yanaua ndoa. 7. Kutotunza Siri kutoka kwa Mwenzi wako kunaua ndoa. 8. Ukosefu wa uaminifu (kifedha...
  4. Kwanini Ukristo unakataza kuoa wake wengi?

    Nimekaa nikajuiliza kwanini hawa majiarani zetu(wakristo) hutumia nguvu kubwa saana mambo ya kuoa mke zaidi ya mmoja kama walivyo waislam wasukuma wamasai nk But suala la ajabu wanaume kwa wanaume kuoana kanisa linabariki mara utasikia UK jamaa kaoa mbwa mara kuna mwanamke kao mwanamke mwenzie...
  5. Mimi na mke wangu tupo bega Kwa bega mbali na maisha magumu tunayopitia na upendo wetu umeongezeka maradufu

    Habari wakuu. Bana msoto wa Maisha ni mkali sana katika hii Dunia. Mimi na mke wangu tupo Bega Kwa Bega Mbali Na Maisha magumu tunayopitia na upendo wetu umeongezeka maradufu. Ebana shemeji yenu ananipa Moyo Sana katika utafutaji wa ugali.Nafurahi kusema ya kwamba kipindi cha raha tulikuwa...
  6. Tofauti na watoto hakuna kingine special kuhusu ndoa za kileo.

    Tofauti na hako katoto innocent hapo juu, hakuna cha maana tena. Too bad kakishafikisha miaka 14 kataanza fundishwa kumchukia baba yake. Modern Weak Men alafu wanakutana Modern Independent Women unadhania nini kitafuata? Ndoa imekuwa engineered katika panels zinazo hamasisha ukosefu wa furaha...
  7. Wanawake wa hivi bado wapo vijana oeni, ndoa bila shela yafungwa kanisani na kushangaza waumini wengii

    1. Hakuna madeni 2. Hakuna kusumbua watu michango 3. Hakuna kupotezea watu muda kwa vikao vya mara kwa mara
  8. Usije kujaribu kumuomba msamaha mwanamke hata kama umekosea!

    Eti ni udhaifu 🤷🏾 Hivi ni kweli wanaume mnafikiri kwa namna hii au ni baadhi tu ya vijana wasiojielewa? Kama humuombi mkeo au mpenzi wako msamaha ukikosea, huwa unamalizaje migogoro kwenye mahusiano yako? Mwisho kabisa, Je, ni sahihi kwa huyo mwenza wako pia kutukukuomba msamaha akikosea, au...
  9. Wanaume, ushawahi pewa sharti la "no sex hadi ndoa" na mdada? Uli-deal nalo vipi, na matokeo yalikuaje?

    Habarini, Wanaume, katika harakati za kutongoza unakutana na mdada, unamtongoza, anaonesha kuwa kakubali, ila mkiwa kwenye story ukigusia swala la mzigo anakwambia sex ni hadi ndoa..au atakuuliza unaonaje swala la no sex till marriage (aki hint kwamba ukitaka u-sex nae ni hadi umuoe).. wadada...
  10. T

    Wanaume wanapaswa kuelewa kwamba si wanawake wote wanatafuta mapenzi au ndoa

    Kwa kweli; Ni mara nyingi wanaume ndio wanahangaika kutafuta wake na wapenzi. Hata hivyo, kuna kundi la wanawake ambao hawavutiwi sana na mapenzi au uhusiano wa dhati, bali wanatafuta msaada wa kifedha. Wanawake hawa mara nyingi wanatafuta mtu wa kulipia gharama zao, mfadhili wa maisha yao...
  11. Nimemwambia mke wangu nikifikisha miaka 47 naacha kufanya tendo la ndoa napumzisha mwili wangu ili kuongeza siku zangu za kuishi

    Leo nimeamka chupa imejaa chai ! Baada ya kutafakari kwa kina wanaume kwanini tunatangulia kufa kabla ya wanawake nikagundua tunafanya ngono sana na kupunguza miaka yetu ya kuishi ,hebu fikiria patashika ya mwili pale unapokuwa juu ya mwanamke,jasho ,udende,makelele sijui mwili unakakamaa kama...
  12. Kumbe ndoa ya Azizi K ilifunguliwa hadi space huko X kujadiliwa na watu baki tu!

    Hii mitandao ya kijamii pamoja na manufaa mengi lakini pia imefanya kundi kubwa la watu duniani kuwa wajinga na kuenenda kama mazombi.
  13. Kivumbi cha ndoa nyingi za miaka ya sasa

    Ndoa nyingi za siku hizi zinapatikana kwa njia hii... Baada ya kutendwa na kuachwa na mpenzi wake aliyempenda kwa dhati, sasa anaamua kutafuta mtu yeyote wa kupoza maumivu ya kuachwa. Penzi jipya la kupoza maumivu linaanza taratibu mwishowe linakolea kwa kasi, kila mmoja anasahau stress zake za...
  14. JAMAN wenye picha za ndoa ya MH Aziz ki Bwana harusi

    Rejea somo HAPO juu Waliohudhuria TUNAOMBA picha za harusi ya Aziz ki vs mobeto h
  15. Kupotea Kwa Thamani ya Familia au Ndoa

    Siku zinavyozidi kusogea ndivyo, Thamani ya Ndoa au Familia ndivyo inavyozidi kupotea. Kuna mambo Mengi yanayopoteza Thamani ya Familia au Ndoa. 1. Tamaa Kumekua na Tamaa kubwa sana ususani katika jamii yetu mtu anapoamua kuanzisha familia au kuingia katika Ndoa anaingia kimkakati, Tayari...
  16. Waliotajirika na pesa za talaka na kuvunjika kwa ndoa

    Ikiwa tayari umechuma mali zako kabla ya ndoa, ni muhimu kuzungumza na wanasheria kuhusu premarital assets zako. Tujikumbushe watu maarufu waliopoteza na kupata mali na utajiri baada ya talaka. WANAWAKE MacKenzie Scott (Jeff Bezos) - Talaka yenye fidia kubwa zaidi duniani: MacKenzie Scott...
  17. Wanawake wengi wanaofanikiwa Kupata ndoa ni wale Wanaokabia Juu

    WANAWAKE WENGI WANAOFANIKIWA KUPATA NDOA NI WALE WANAOKABIA JUU Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kuna Mbinu mbili za kupambana. Kuna wale wanaotumia Mbinu ya KUPAKI BASI na MBINU YA KUKABIA JUU 1. MBINU YA KUPAKI BASI Hawa ni wale kwenye mahusiano ambao wanasubiri Mpaka mwanaume afuate...
  18. M

    Ndoa na mahusiano

    Zamani mahusiano au ndoa ilikuwa ni watu wawili kutengeneza kesho yao, na watoto wao lakini leo imebadilka ndoa imekuwa sehemu ya mwanamke kujitafta kiuchumi, akijipata anaondoka bila kujali anakiacha katika hali gani Yaani mwanamke sasa hivi anataka uhuru wa kiuchumi atatumia kila mbinu...
  19. Unadhani ni kwanini siku hizi ni nadra sana kunyimana mapenzi isipokuwa ndani ya ndoa tu ndio unaweza kunyimwa live unajiona?

    Nini hasa kimeingilia hapo katikati kwenye mapenzi, kwamba nje ya ndoa hakuna tena uchoyo wala kunyimana suala la mapenzi, unapewa tu kirahisi hata na mwenye ndoa, ila cha kushangaza ndani ya ndoa hata mwenye ndoa mwenyewe ananyimwa na anaweza kupewa kwa mbinde sana au kwa ratiba na masharti...
  20. Aziz Ki amemtolea Hamisa Mobetto Mahari ya Tsh. Milioni 30

    Wakuu Kama mnavyojua jambo lao ni leo (MAHARI DAY 15TH FEB 2025) Soma: Aziz Ki aachia video akimvisha pete Hamisa Mobetto na ujumbe mzito wa siku ya Valentine Afisa Habari wa Yanga Ally Kamwe ameweka wazi kuwa Aziz Ki amemtolea Hamisa Mobetto Mahari ya Shilingi Milioni 30
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…