Mazoezi ndo chakula changu nina piga push 500 kwa siku, nina mafunzo ya boxing, muyai thai, wing chun, taikondo.
Nikiona makamanda wetu pale taifa kwenye maonyesho natamani na mm pain iwe my medicine. Niwe pale 92 kj
Habari za usiku wakuu,
Nimetoka kazini jioni ya leo
Saa kumi na mbili hivi jioni nimelala nimeamka sasa hivi ati nimeota best friend wangu wa pekee niliyewahi kuwa nae aliyefariki miaka zaidi ya 8 iliyopita
Kitaalamu ina maana yoyote? Manake ndani ya wiki mbili hizi namuota sana
Ndiyo, Waafrika wana uwezo wa kufanikiwa kwa kiwango sawa na watu wa makabila yoyote duniani, ikiwa ni pamoja na Wachina. Akili na uwezo wa binadamu haujalimwa na rangi ya ngozi, asili, au eneo la kijiografia. Mafanikio ya kielimu, kiuchumi, na kiteknolojia hutegemea zaidi na fursa, mazingira...
Umemaliza zako chuo, pengine ni injinia.
Unatafuta kazi mwishowe unaajiliwa halmashauri fulani ambayo kwa muundo wa utawala wapo chini ya Tamisemi.
Mwenzako uliyemaliza nae anapata zake kazi Tanesco, Tanroads au taasisi nyingine.
Gepu linaanzia hapo, huko halmashauri unakutana na madiwani...
🏡 SAMIA HOUSING SCHEME: NDOTO INATIMIA! 🎉
Kawe, Dar es Salaam inazidi kung'aa! 🔥 Samia Housing Scheme, mradi wa makazi wa kisasa unaoleta mapinduzi ya ujenzi, sasa umefikia hatua kubwa – Uzio umekamilika, vyuma vya balcony vimesimikwa, na ujenzi umefikia asilimia 89! 🚀🏗️
🏠 Nyumba 560 za kisasa...
Je wajua ya kwamba ndoto zaweza kuwa kweli? Wazungu wanasema dreams can come true...
Fanya yote maishani.. Pambana sana lakini usiache kumwomba Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema zote akujaalie mwisho mwema, uzee uliojaa fanaka na baraka.. Tele.. Wanazengo wanasema fainali uzeeni.. Basi Mwombe...
Mimi Mbwichichi nafahamika na baadhi ya watu humu kutokana na historia yangu ya upambanaji katika kutafuta riziki.
Kwa miaka mingi sana nimekua napambana kupata pesa,lakini hustle nyingi za wakati huo zilikua za kupata pesa ya mboga tu…lakini nilikua nina tamaa ya kupata kila kitu,gheto kwangu...
UJASUSI; USIWAAMBIE WATU NDOTO/MALENGO YAKO. FUTURE NI SIRI NA NDOTO INAPASWA KUWA SIRI.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Hakuna anayeijua Kesho. Hiyo ndio Kanuni namba Moja ya UJASUSI. Kama hakuna ajuaye Kesho basi nawe unatakiwa kuhakikisha hakuna ajuaye ndoto au Hatua yako inayofuata ni...
Habari zenu Wanajamiiforums.
Nimeshangaa jambo nililowahi kuliota leo limetokea live bila chenga. Mpaka mda huu bado naendelea kushangaa limewezaje kuwa sahihi.
Aisee ufahamu ni kitu tata.
Ndoto yako ukiitangaza kwa mtu au watu ni ngumu sana kuitimiza kwasababu tayari ushaitimiza kwenye matangazo yako.
Ladha ya ndoto yako itapotea pindi utakapoiweka hadharani. Hutotamani kuendelea nayo kwasababu tayari umeitangaza kwa watu na imepoteza ladha kwenye moyo wako, na mbaya zaidi...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametimiza ndoto ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere kwa kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa ujenzi wa Bwawa la Umwagiliaji Mkomazi. Mradi huo unatarajiwa kuwanufaisha Wananchi zaidi ya 20,000 Wilayani Korogwe. Mradi huo...
baba
baba wa taifa
dkt. samia
dkt. samia suluhu hassan
jamhuri
jamhuri ya muungano
jiwe
julius nyerere
kuweka
muungano
mwalimu
mwalimu julius nyerere
ndoto
nyerere
rais
rais wa jamhuri
samia
samia suluhu
samia suluhu hassan
suluhu
taifa
tanzania
Unawaza, “Nitafanya kesho,” lakini kesho haiji. Unataka kufanya mambo makubwa, lakini hata kuanza kunahisi kuwa ngumu. Unafikiria kuandika kitabu, kuwa na afya bora, au kujifunza jambo jipya, lakini badala yake unashinda ukitazama simu au TV. Kwa nini hili hutokea?
Sio kwa sababu wewe ni mvivu...
Kuelekea michuano ya afcon serikali ya Tanzania imekuwa ikiboresha sana miundombinu yetu kuonyesha kuwa tupo serious na suala zima la kuhost afcon kama hub ya football East Africa
lakini sasa ni kama tunafanya for afcon tu yani hatuna kabisa maono zaidi ya hapo.
Tuna viwanja viwili vipya...
Tafsiri ya Kihoja ya Ndoto: Mwangaza wa Ukweli na Macho ya Ndani
Katika ndoto yangu, nilijikuta nikitembea kijijini kwetu, nikiona watoto wakicheza kwa furaha barazani. Wakati huo huo, kulikuwa na vijana kadhaa wamesimama, lakini mmoja wao alikuwa ameshika tochi, akiangaza mahali fulani kwa...
Kulikuwa na wakati ambapo ndoa ilikuwa zaidi ya sherehe ya wawili waliopendana; ilikuwa taasisi yenye mizizi katika jamii, iliyozingatia heshima, uvumilivu, na mshikamano wa kifamilia. Ilikuwa ni ahadi isiyovunjika kirahisi—zaidi ya mkataba wa mapenzi, bali ngome ya maisha ya pamoja. Lakini leo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.