Morng
Ase naota nipo karobu sana na rais si mara ya kwaza kabisa inakuja na kuondoka sasa sijajua ina maana gani mda mwingine asipo kuwa rais bas ni viongozi wakubwa wakubwa mfano kabudi embu nisaidie
Au kuna siku na mimi nitakula keki ya taifa 😂😂😂 nipo serious
Habari zenu wadau
Leo ni kwa mara pili naota watu wanataka kunipa kesi ndoto ya kwanza mwaka huu
Niliota watu wanataka kunipa kesi katika mauwaji wa albino yaliyotokea wakawa wananitafuta mimi
Ndoto ya pili nimeiota Leo hii
Nimeota watu wananitafuta mimi wanipe kesi kwa ubadilishaji wa pesa za...
Mara Ninaporudi nyumbani nilipozaliwa huwa namuota sana marehemu mama yangu 🤔
Kwa namna anavyokuja ndotoni ni mtu mpole sana, mkimya,huniangalia na kutabasamu, mara nyingi huwa namuota yupo jikoni au chumbani kwake amepumzika, maana hawezi kufanya tena kazi ngumu, labda kupika tu pekee.
Mara...
Muungano wa BRICS ambao ulianzisha ajenda ya kuondoa dola ya kimarekani sasa uko chini ya rehema ya dola ya Marekani mwaka wa 2025.
Dola ya Marekani ilisalia katika kijani kibichi kwa siku tisa mfululizo katika faharasa ya DXY na kukanyaga sarafu nyingine za ndani. Rupia ya India imeshuka hadi...
Ahsante Mungu ndoto yangu imetimia. Nilianza kujiwekea akiba tangu mwaka 2018 na leo ndoto yangu imetimia kwani nimefanikiwa kununua kamera ndogo iliyopiga picha gari hii.🙏🙏
Niseme tu 2025 kumiliki EV yangu ya kwanza kushakauka kama hivi.
Baada ya kukesha na kuomba muhusika wa TRA acheki vizuri kikokotoo nilete Nissan Leaf nisupport juhudi za green environment na kuwaunga mkono TANESCO naona mission imefeli.
Anaehusika na kuset kodi za magari used TRA aangalie...
Habari zenu wanajukwaa,
Lengo la huu uzi ni kupeana Connection nje ya nchi hususani Fursa za kazi na ushauri kwa watu ambao wameshaishi nje ya nchi na ambao wako nje ya nchi
Kwa hiyo kwa wale wenye michongo nje ya nchi basi tupeane coz humu JamiiForums kuna Diaspora wengi tunaweza saidiana...
Nyumba ya 5 bedrooms
Master kubwa 1
Self 3
Single 1
Sitting room, dining & kitchen
Study room
Laundry
Public toilet
Store
Je kila kitu mpaka inayooneka hapa maybe na finishing ya vitu kama masinki nk.
Inaweza gharimu kiasi gani?
Nashangazwa sana ndoto nazoota,kuna wakati nawaota watu ambao nawajua,lani kuna wakati nawaota watu ambao sijawahi kuwaona hata siku moja,na sina uhusiano wowote nao.Wajuzi hebu nitoeni tongotongo,ndoto ni nini?
Ndoto ni kama movies ambazo zinatengenezwa akilini mwetu. Wakati tukiwa tumepumzika usiku, ubongo huwa upo kazini bado, hutuandalia ulimwengu mpya ambao huwa na mambo tofauti na haya tuyaonayo kwenye ulimwengu wetu huu wa kawaida. Mengine ya kufurahisha, kushangaza na hata kuogofya.
Hivyo basi...
Niaje niaje baada ya mdau mmoja hapa jukwaani kupost orodha ya matajiri nikajaribu na mimi kupitia katika ile top 20.
Marekani kaingiza watu 14 yaaani ilibakia kidogo wawe ni marekani tupu 1-20 harafu eti wanaibuka watu fulani wanasema China atakuja kuipita Marekani 2060
Hiyo ni alinacha kama...
Ni wazi kwenye nafasi ya uenyekiti wa chama Taifa anayogombea, anapingwa vikali sana kwenye chama chake, na kwahiyo tunaweza kuhitimisha kwamba hataweze kupewa ridhaa hiyo na wajumbe wa mkutano mkuu Taifa wa chadema.
Ni dhahiri,
hekima, busara na mdomo wa huyo muungwana is completely not...
Mimi ni kijana nimeajiriwa moja ya kampuni kubwa hapa Tanzania.Nafanya kazi na mwanamke mmoja hivi na Mume wake.Wote wamenipokea kazini.
Mume wa huyo dada ni kicheche balaa ni mtu wa totozi.Hizo ni story nilipewa baada ya kukaa nae miezi miwili ofsini.Mke wake ashamfumania mara kibao na...
Leo usiku wa saa 8 NIMEOTA NDOTO mtu ambae ni mganga akiniambia kuwa soon nitafariki
Sababu ni kuwa watu wanaoniroga wamejua kuwa najua kuwa wanaoniroga so wanafanya juu chini wanizime mapema
Ndoto zimekuwa na maana maalum au tafsiri zinazohusiana na imani za kiroho. Ndoto zinachukuliwa kama ishara au ujumbe kutoka kwa nguvu za kiroho au kutoka kwa ulimwengu wa roho. Ndoto ni sehemu muhimu ya maisha ya kila siku ya binadamu.
Karibu nikutafsirie ndoto yako. Hakikisha unaweka tarehe...
Chezea mtu aliefunzwa kwa kuchochewa chuki na vurugu tangu utoto.
Kwamba solution ya jambo lolote ni kuwa a rebel na haki ya kweli ni ile ya itikadi yao mahasusi.
Basi tambua kuwa hawa watu hata waamie kwenda sayari venus, wataanza kupigana tena wao kwa wao kwa maana asili yao ni resistance...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.