Habarini za muda huu ndugu!
Nipende ku declare interest kwanza; kwamba mimi sio mwamini wa Ndoto kabisa za usiku.
Imekuwa mara kwa mara naota naimba yaani Mimi ni Mwimbaji wa levo za juu kabisa. Nimekuwa nikipuuzia sana hii ndoto kwa sababu mimi najionaga sina kipaji cha kuimba Muziki halafu...
Habarini,
Sikuwahi kuota ndoto za namna hii, ila jana ilikuwa mida ya saa mbili usiku nililala, nililalia jicho la kushoto. Nikaota ndoto kuna mtu kasimama mbele yangu ila nilipokuwa nainua macho kumtizama usoni nilikuwa nashindwa (sikumuona uso).
Sasa ghafla nikajikuta nasex naye mno, katika...
Daima wazo la mtu ndiyo kitu pekee anachoweza kutumia kubadilisha mfumo mzima wa maisha yake, ninaandika andiko hili nikiwaangalia vijana kama Maxence Melo aliyeanzisha JamiiForums na Milladi Ayo mwanzilishi wa Ayo Tv, hawa ni baadhi ya watu walioamua kutengeneza ajira za wengine badala ya wao...
[CHANZO: Pinterest]
Wasifu wa mhenga wa kigeni
Kabla hawajazaliwa wazee wa wazee wetu, katika shamba moja mbali sana kutoka kijijini kwetu, alizaliwa mtoto. Kabla hujaweka maneno katika aya zangu, huyu si yule mtoto wa vitabuni, aliyezaliwa katika zizi la ng’ombe na kuletewa zawadi nyingi na...
Anaitwa Bahati, tangu akiwa mdogo alishaamua atapambana na maisha na kuboresha maisha ya familia yao. Baba yake alikua Mchungaji wa kanisa, mama mwalimu. Wakizaliwa sita na kati ya hao wa kike walikua wanne.
Baba yao alipokea wageni wengi wa kanisa kutoka nchi mbalimbali. Kuna wakati...
Summary
Ndoto ya marehemu Hamza Mohamed ya kujenga vyumba vya madarasa wilayani Chunya imeacha simazi miongoni mwa wanavijiji waliokuwa wkaiishi naye.
By Hawa Mathias
Mbeya. Wakati bado kukiwa na majonzi ya vifo vya askari polisi waliokuwa wakipambana na mfanyabiashara wa madini, Hamza...
Habari wakuu,
Kama unaota unakimbizwa na majini, unaota mtoto wako wa kumzaa sio wako, unaota upo darasani mnafundishwa na lecturer ilihali ulishamaliza chuo kitambo na upo kazini tayari, unaota ndugu yako kafariki, unaota umekuwa Raisi wa JMT ili hali hujawahi kuwa hata barozi wa nyumba...
Wajumbe Wazima?
Ni yuleyule Mr. Liverpool from Anfield.
Baada ya salamu hebu twende direct kwenye mada.
Kwanini mkishaoa huwa ndoto zenu zina kufa?
Scenario 01:-
Walimu wa2 from Songwe. Hawa jamaa nilikutana nao 2012 Tunduma, tukawa marafiki. Kwenye maongezi yetu nikagundua waliajiriwa 2011...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.