Nimekuwa nikiota ndoto za kuokota pesa tena sarafu zikiwa kwenye mstari mara kwa mara ingawa Jana nikiwa na piga story za jamaa zangu nao wamesimulia ndoto hiyo nini maana yake?
SWALI LA KWANZA
UNAPENDA AU UMEWEKEZA TU.??
Leo nataka nitoe mfano mmoja kwa kutumia GENGE LA CHIPS tu. Hapa naongea na watu wanaopenda sio wanaowekeza ,ndio unawekeza je unapenda ???? kwanza unapenda ???
Usilaumu Usimamizi wakati hufurahii kukaa kwenye Banda la chips mda mwingi
Kuna watu...
Wanandugu, naomba mnisaidie maana ya ndoto hii.
Juzi nimeota ndoto moja hivi ambayo inanisumbua mpaka sasa. Niliota kwamba Mwalimu Mwakasege anagonga hodi nikamfungulia. Nilipomfungulia mlango akaingia huku akisema ya kwamba amezunguka sana akipatafuta ninapoishi. ndipo alipoingia akakaa kwenye...
Usiku wa kuamkia leo nimeota mchumba wangu kachelewa kurudi nyumbani akadai ameogopa kunigongea ningempiga na akaenda kulala dukani kwani aliniaga anaenda kwenye party nikamruhusu
Baada ya muda panatokea maaskari na mgambo dukani wakidai wanamuulizia binti anaitwa Saada ambaye inasadikika...
Nilijenga msingi mzuri wa imani yangu kwa Mungu, kuwa ndio anayeweza kunitoa kwenye hili dimbwi la kukosa kipato licha ya kugraduate since 2014 hizi digrii yeboyebo. Japokuwa Mungu alinisaidia kupata kazi za mikataba ya muda mfupi lakini mishahara ni ile ikizidi sana ni laki nne, sehemu nyingi...
Tokea Mwenyekiti wa Chadema, shujaa Freeman Mbowe, atoke jela, siku chache zilzopita, alikokuwa amekaa zaidi ya miezi 8 kwa Kesi ya michongo ya ugaidi, amekuwa alisisitiza Sana neno HAKI kuwa likidumishwa nchini, Taifa letu litapona.
Hata kwenye maandiko matakatifu ya Biblia, kitabu cha Mithali...
Gazeti la Fahari Yetu limeandika tuhuma dhidi ya Mwenyekiti wa CHADEMA na Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe, likimhusisha na matumizi ya milioni 800 za ujenzi wa jengo la ghorofa la Ofisi za Makao Makuu ya Chama hicho, Mtaa wa Ufipa, Kinondoni, jijini Dar es Salaam.
Gazeti hilo limedai kuwa, Mbowe...
Mimi leo nikiwa nimelala nimeota naendesha gari yangu aina ya BMW mara Ghafla ikakwama kwenye Tope. Ikabidi nishuke kuisukua Loh! Ile kuamka nakuta nimesukuma kitanda hadi sebuleni. Ni ndoto gani ya kuchekesha ushawahi kuota.
Hivi majuzi nimeota ndoto ambayo bado inanisumbua sana.
Hii ndoto ilikuwa inamhusu mwendazake Rais Magufuri. Niliota ilikuwa siku ya uzinduzi wa reli ya Chini kwa Chini au unaweza kuziita treni za kutumia umeme. Hivyo na Mimi nikaenda kwenye ufunguzi wa reli hiyo pamoja na wananchi wengi. Kama...
Hii ni hatari kama sio balaa.Wenzetu wanaongoza kwa mambo ya msingi,ni ajabu Tanzania yetu inaongoza Afrika kwa kuwa na wale wengi.
Si ajabu wanawake wanakosa wanaume na waliopo hawana nguvu za kiume na za mwili,hupigwa hovyo kwa sababu ya ulevi.
Kana kwamba haitoshi Tzn iko mingoni mwa nchi...
Pia unaweza kuisoma hadithi hii na nyingine nyingi bure ndani ya maktaba app(by pictus). install toka playstore.
KISA CHA NDUGUYE KINYOZI WA TANO
MIMI ni Kinyozi na nina ndugu sita. Hiki ni kisa cha ndugu yangu wa tano, Alnacha. Katika siku alizokuwa hai baba yetu, Alnacha alikuwa mvivu sana...
Kuna mambo siyo ya kuyaletea mzaha hata kidogo, Wengi yamewakuta na wengine wametwaliwa moja kwa moja kutokana na kile kinachoitwa ndoto anazooteshwa Godbless Lema iwe kwa kutamka hadharani au kutoa meseji kupitia akaunti yake ya twitter
Mwanzoni nilifikiri Godbless Lema anaangalia afya za...
Sayansi ya utawala inabainisha kuwepo kwa serikali ambayo ni mfumo wenye mihimili mitatu- watawala na watumishi wa dola, bunge na mahakama. kati ya hii mihimili mitatu hakuna unaojitegemea wala ulio huru kutoka kwa mwenzake. Na hii ndiyo maana ya mfumo. Si sawa kudhani kuwa ipo sehemu ya mfumo...
Kama taifa yaweza kuwa tuko katika hali mbaya zaidi kufuatia kuachia ngazi kwa spika Ndugai.
Ni wazi kuwa Ndugai yamemkuta.
Ndugai kapigwa na kitu kizito utosini!
Hakuna asiyejua Ndugai alikuwa mtu wa hovyo.
Hata hivyo mtu huyu kafurushwa kwa sababu ya kutoa maoni yake. Agenda hii ni yetu ya...
Yatasemwa mengi na mtasikia mengi, ila issue kubwa ni watu kuutaka urais wa nchi hii mwaka 2025.
Wakati Magu yuko hai, walikosa ujasiri wa kuonyesha hadharani mtatamani yao na kwa Mama, bado hawajaanza, ila ili wapate hiyo fursa(waanze) ni lazima Mama asigombee (bahati mbaya alishasema...
Wadau , nimekuwa nikisumbuliwa Sana na ndoto za ajabu Sana mpaka nikiamka naziwaza Sana nashindwa kuelewa Zina maana gani
Baadhi ya ndoto zimekuwa zikijirudia Sana na baadhi zimekuwa halisi katika maisha yangu
Mfano niliota nafukuzwa kazi na nikafukuzwa kweli bila kosa lolote ,
Baada ya kuoa...
Habari zenu wakuu.
Samahani nina jambo nimelikumbuka nikaona bora nifuatilie kuna nini nyuma yake juu ya ndoto hizi. Ama hazina maana. Nimeota usiku mmoja.
Ya kwanza nimeota niko njiani natembea sehemu siifahamu hakika, nikaona noti kadhaa za efu kumi kumi hivi nikapiga chabo pembeni kama kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.