ndoto

Ndoto Za Elibidi is a 2010 Kenyan film.

View More On Wikipedia.org
  1. Vishu Mtata

    Ndoto ya leo imenifikirisha sana

    Habari wakuu, Usiku wa kuamkia leo nimeota kua napanbana na watu wenye nguvu za giza. Zamani kidogo imani nilikua nayo kiasi yani ilikua nikiota ndoto za namna hii basi huwa nawashinda vikali hao mahasimu wangu, na wala sikua naona kama kuna shida juu ya hizo ndoto. Lakini hii ya leo iko...
  2. mwakavuta

    Unaujua mtego wa wauaji wa ndoto zako katika maisha?

    Je ni biashara gani ulikusudia kuifanya lakini ukaahirisha kwa sababu kuna mtu alikuambia haifai kufanya na ukaua ndoto zako milele? Watu wengi wanakutana na wauaji wa ndoto kila siku na bahati mbaya sana ni wachache wanaofanikiwa kuwakwepa na kuendelea kufanya kazi ndoto zao. Umepata wazo la...
  3. Yesu Anakuja

    Ndoto niliyoota kama maono!

    Sijajua nini Mungu amepanga kwenye maisha yangu, niwe muwazi, nimeokoka, though mimi sio malaika, kwa uwezo wa Mungu napambana na dhambi, na nazidi kujitakasa kila wakati kwasababu najua wakati mwingine namuuzi Mungu na wanadamu kutokana na madhaifu yangu kama mwanadamu, madhaifu ambayo hata...
  4. S

    Je, kusahau ndoto uliyoota muda mfupi kabda ya kuamka huwa ni kawaida?

    Habari za Jumatatu wana JF Kwa ninavyoelewa ndoto zina maelezo tofauti kwa watu tofauti. Kuna fikra kadhaa lakini kubwa ni mbili Fikra(school of thought) ya kwanza wanasema ndoto ni matokeo ya mawazo yako au mambo unayoyafikiria sana au marudio ya vitu ambavyo ulishawahi kuvifanya zamani...
  5. I am Groot

    Mfahamu Black Alien: Mtu mwenye ndoto ya kufanana na viumbe vya ulimwengu mwingine (Aliens)

    Anthony Loffredo pia anajulikana kama black alien. Anashikilia rekodi ya mtu aliyejifanyia maboresho mengi makubwa kabisa katika mwili wake kuliko binadamu mwingine kwa karne hii. Ameendelea kushika vichwa mbalimbali vya vyombo vya habari kwa ujasiri wake kwa kuamua kutenganisha kati ulimi...
  6. my name is my name

    Kila ndoto ya mwanaume ni kuwa na mwanamke mzuri

    Kua na mwanamke mzuri mrembo ni ndoto ya kila mwanaume kama ilivo kwa mwanamke kuolewa au kuwa na uhusiano na mwanaume tajiri anaejua kutumia pesa. Na ndo mana mwanaume akioa wakat akiwa masikini akija kupata pesa lazma aje atafute mwanamke mzuri ambae mwanzo alikua awez kua nae kwasababu...
  7. L

    INAUZWA Nyumba ndogo ya Ndoto yako

    Ramani ya vyumba vitatu kimoja masta, sebule , dining, jiko, stoo na choo cha kushea, ukubwa wa Ramani mita 9/kwa mita 10...nichek 0627571649
  8. CM 1774858

    FY2021/22 Serikali kutoa Trilioni 11 kulipa madeni ya nyuma

    ||FY2021|22 Rais Samia kutoa Jumla ya Trilioni 11 kulipa madeni ya nyuma yaliyoaachwa na mtangulizi wale, === Rais Samia Suluhu Hassan kimyakimya ameendelea kulipa madeni mbalimbali kwa makampuni binafsi au taasisi. Kwakuanzia tu mwaka huu pekee Rais Samia analipa madeni yenye thamani ya...
  9. M

    Ndoto inanitabiria mabaya

    Habari wanajamvi, naimani mko poa, Moja kwa moja kwenye mada, Kuna kipindi niliota ndoto ya namna hiii, ndoto yenyewe ni ya shule yaani niliota Niko shuleni Advance, sikuwa na imani mbaya na ile ndoto mpaka ilipokuwa inajirudia. Hapo ipinishtua nakuanza kuulizia maana yake ni ipi, majibu...
  10. Saoka

    Kuna nini nyuma ya ndoto hii? Naomba msaada

    Habari zenu wakubwa kwa wadogo. Niende kwenye mada kuwa Leo nimeota tena kuwa nimegombana na mdogo wangu aliyenifata kufikia kiasi cha yeye kukimbia/kuhama kabisa nyumbani na kwenda kwa majirani kuomba msaada huku nikiwa sijui chanzo chake. Wakati huohuo ninamuona bibi yangu mzaa baba huyu ni...
  11. sky soldier

    Form 4 mwenye ndoto za kusomea IT usipoteze mda wako kwenda form 6, nimekupa ramani nzima hapa

    𝙁𝙊𝙍𝙈 4 𝙈𝙒𝙀𝙉𝙔𝙀 𝙉𝘿𝙊𝙏𝙊 𝙕𝘼 𝙆𝙐𝙎𝙊𝙈𝙀𝘼 𝙄𝙏 𝙐𝙎𝙄𝙋𝙊𝙏𝙀𝙕𝙀 𝙈𝘿𝘼 𝙒𝘼𝙆𝙊 𝙆𝙒𝙀𝙉𝘿𝘼 𝙁𝙊𝙍𝙈 6, 𝙉𝙄𝙈𝙀𝙆𝙐𝘾𝙃𝙊𝙍𝙀𝘼 𝙍𝘼𝙈𝘼𝙉𝙄 𝙉𝙕𝙄𝙈𝘼 𝙃𝘼𝙋𝘼 Muhimu; Kama una changamoto za kiuchumi ni vyema ukasome form 6 kwenye shule ya serikali uliyochaguliwa ili umalize form 6 na ujaribu bahati yako kuomba mkopo wa serikali ili usome chuo, Post hii...
  12. GUSSIE

    Siasa za mishahara minono kwenye taasisi za Serikali zinavyoharibu ndoto za vijana wengi wa Kitanzania

    Wanabodi, vijana badala ya kufikiria maarifa ili waweze kuendeleza wapatacho wao wanawaza mishahara minono kwenye taasisi za kiserikali ambazo Kiuhalisia mishahara hiyo minono haipo kwa vijana wanaoanza kazi. Maneno ya wanasiasa majukwaani kutamka mishahara ya wakurugenzi(Directors) wa...
  13. E

    Nasumbuliwa na ndoto za nyoka

    Imekua ni kawaida kuota ndoto za nyoka yupo chumbani kwangu au kitandani kabisa. Na nikistuka huwa nipo na hofu kubwa sana. Nini maana yake? Maana imekua ikinisumhua kwa mda mrefu sana! Msaada tutani. NB: Mimi ni muoga sana wa nyoka!
  14. Digging deeper

    Je umetimiza ndoto zako?

    Habari wana JF je ulivyokuwa mtoto ulikuwa na ndoto nyingi na kama ndio ni ndoto gani mpaka sasa umetimiza, binafsi mimi nilikuwa natamani kucheza mpira bado naendelea kucheza.
  15. Determinantor

    Gharama za bando zitaua creativity, biashara na ndoto nyingi za vijana

    Nawasalimu wote. Nitaangazia nyanja kadhaa na nitakapoweza tena mifano. Pale patakapopungua naomba mjazie. Hivi karibuni makampuni ya mawasiliano yaliongeza karibia kwa 50% gharama za Internet kwa Watumiaji kwenye ile option waliojificha humo kama "Offer" ya mtandao! GB tatu kwa mfano kwa...
  16. BABU KIDUDE

    Ndoto za kuishi Tanga mjini

    Mambo vipi Wana Jamii...... back to the Point, mimi nishapita umri wa ujana. nipo jiji hapa, nimetembea tembea sana Mambo vipi? Wana Jamii. back to the Point, mimi nishapita umri wa ujana. nipo jiji hapa, nimetembea tembea sana Mbeya, Arusha Moshi Dodoma Mwanza na Tanga PLUS Unguja na...
  17. Boniface Evarist

    Nimeota ndoto saa kumi alfajiri nimeshinda Stories of Change!

    Habari zenu wadau! Alfajiri ya leo Jumamosi mnamo saa 10:30 hivi nimeota kama nimeletewa mifuko mitatu mizuri sana. Katika mifuko yote kuna nguo. Naomba nielezee! 1. Mfuko huu una nguo nzuri sana imeandikwa mshindi namba moja wa stories of change, ila pale sikumbuki jina lake. Ukishika huu...
  18. Thas trabo

    Ndoto hii inanitesa sana na kuninyima usingizi

    Hii ndoto nimeota usiku wa kuamkia leo ilikua hivi. Nilikua maeneo ya uwanja wa mpira, kulikua na watu wengi sana. gafla angani likaonekana wingu ambalo juu yake kuna mlima, watu walikua wakilishanga tu, katika ule mlima walishuka watu wa wawili wenye mavazi meupe (kanzu) mmoja alisimama kulia...
  19. Yesu Anakuja

    Ndoto niliyooya

    Leo jumapili tarehe 10/10/2021, nikiri kwamba sijaenda kanisani. Hii sio kawaida yangu. Niliamua tu kushika laptop yangu na kuanza kuangalia mambo ya kazini kwangu. ghafla, usingizi ulinipitia, nikaota kama kuonyeshwa hivi ndoto ambayo imeshakuja kwangu mara ya tatu sasa na inakuwa na mvuto na...
  20. H

    Naomba kutafsiriwa ndoto hii

    Mwenye uelewa na ndoto ifuatayo naomba anijuze: Nikuwa nikiota kwamba Mimi ni mwalimu na katika ndoto nimekuwa nikisimamia wanafunzi wanafanya mtihani wa hesabu, ndoto hii jimeiita Mara nne mfulilizo , na kiuhalisia Mimi si mwalimu,na Wala sitegemei kuwa mwalimu. Kinachonoshangaza ni Kwanini...
Back
Top Bottom