ndoto

Ndoto Za Elibidi is a 2010 Kenyan film.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    Diwani, toka uwaelezee wanaosema una miaka 10 hujawahi kusoma mapato na matumizi

    Nikaota ndotoni nikajikuta nasema: Diwani, Watu wanasema mengi juu yako. Eti wewe huna elimu ya kutosha kumudu uelewa wa mambo makubwa. Nakuomba, kwa kuheshimu katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 1977 toleo la 2005 ibara 08(1)(a)(b)(c)(d), na kwa kuzingatia ibara 26(1) na ibara 09 a, b...
  2. Equation x

    Hawa warembo, wana nia nzuri kweli na mimi?

    Siku ya ijumaa nilikuwa napiga misele ya mtaa kwa mtaa, baada ya kutembea umbali mrefu kiasi, nikakutana na warembo wawili wamesimama wanabadilishana mawazo; walikuwa wamevaa suruali pamoja na vitopu. Zile suruali walizovaa, ziliwachora vizuri maumbo yao. Kimoyo moyo, nafsi yangu ikatokea...
  3. Bodhichitta

    Kama una ndoto za kuanzisha biashara anza kwanza kutafuta wazo la biashara kabla ya mtaji au tafuta vyote kwa wakati mmoja

    Aslaam, Kutokana na changamoto za Maisha ambazo hutufanya kawaza kutafuta ridhiki kila kukicha, wengi tumejikuta kujikita Mawazo yetu kwenye kufanya biashara ili tuweze kujikwamua katika mambo mbalimbali ya kimaisha hasa kwenye Nyanja za maendeleo. Imekuwa kawaida yetu mtu anapowaza kujiajiri...
  4. Surya

    Ndoto ukisafari/ kuendesha chombo cha usafiri na tafsiri yake

    Ndoto ni dirisha ambalo unaweza kuchungulia na kuona nini kinachokuja mbele yako, au ni jambo gani ambalo limekuzunguka lakini hujatambua au hulioni katika fikra na macho yako. Sasa ni Mungu huleta picha/ video kukuonesha ukiwa wewe ni mmoja wa wahusika wa matukio. Unahitaji kujua nini unapewa...
  5. Culture Me

    Wenye ndoto za kufika Ulaya na America, fata njia hizo

    Hey guys, leo nimeona niwagawie kijielimu kidogo kuhusu kufika Ulaya na America kwa wale wenye hayo matamanio lakini hawana mchongo, 1. Dating sites, Wengi najua mnazunguka sana kwenye dating sites kutafuta wazungu na bado hamjafanikiwa, dating sites sio mbaya je unatumia ipi? kama ni free...
  6. S

    Baada ya kukosa wenza wa ndoto zao, wengi wa waliopo kwenye ndoa waliamua kujilipua kwa kuishi na "ili mradi ni mke/mume"

    Tafiti zinaonesha kuwa ni 2% tu ya waliopata wenza wa ndoto zao. 98% mmoja au wote 2 wanaishi na "ili mradi ni mke/mume", baada ya kukosa kwa sababu mbalimbali ywale waliowatarajia akilini mwao . Wengi walitaka kumpata mwenzao mwenye package hii: msomi, tajiri, mrefu, mweupe, umbo namba 8...
  7. H

    Jenga Ndoto au Jenga Mahusiano: Chagua njia yako

    Kwa wadogo zangu wote ambao bado mnapambania ndoto zetu. Kama hauwezi kuwa single kwa miaka kadhaa ya kujitafuta basi uamuzi wa mwisho kabisa kuufanya angalao jitahidi kuwa na mwanamke mmoja tu(ingawa bado itakugharimu) Mahusiano ni gharama sana kwa mwanaume, hasa katika kizazi hiki ambacho...
  8. Natafuta Ajira

    Jenga ndoto au jenga mahusiano. Unatakiwa kuchagua kimoja

    Vijana wenzangu wote ambao bado tunapambania ndoto zetu. Kama hauwezi kuwa single kwa miaka kadhaa ya kujitafuta basi uamuzi wa mwisho kabisa kuufanya angalao jitahidi kuwa na mwanamke mmoja tu(ingawa bado itakugharimu) Mahusiano ni gharama sana kwa mwanaume, hasa katika kizazi hiki ambacho...
  9. N

    Msaada wa hii ndoto

    Jamani napitia kipindi kigumu sana jana usiku kuamkia leo nimeota nimeingiliwa na mwanaume mwenzangu kushtuka usiku nimejikuta nimemwaga bao nilikemea ndoto ila bado naumia kwanii initokee mm jamani mwenye kujua hii ndoto au msaada naona sielewi kabisa
  10. Igombe fisherman

    Tahadhari ya ndoto inavyoshindwa kuniepusha na majanga yanayonikabili

    Katika maisha yangu nimekuwa nikiota ndoto kadhaa. Zingine zinakuwa hazieleweki ila zingine zinakuwa na ukweli baada ya muda flani. Yaani kinatokea kama nilivyoota. Nimekuwa nikiishi hivyo kwa kwa siku zote za maisha yangu. Wakati mwingine nikawa najilaumu kwa kutochukua tahadhari kwa majanga...
  11. Last_Joker

    Ukweli wa fedha za haraka: Tunadanganywa au ni kawaida ya kila mtanzania kununuliwa ndoto?

    Kila siku tunazungukwa na matangazo na hadithi za kupata “hela chap chap” – mara biashara ya mtandaoni, mara crypto, mara forex, na nyingine nyingi zinazoahidi mkwanja wa haraka. Kila mtu anatamani kutoka kimaisha, na hivyo ndivyo tunavyovutwa kwenye hizi fursa. Lakini swali ni, ni kweli kuna...
  12. mngony

    Ni nani Salma Madai, Mtaalamu wa IT mwenye ndoto ya kuwa Rais wa Tanzania

    Akizungumza na mwanablog Magendela kupitia SALMA MADAI IT ANAYETEMBEA NA NDOTO ZA RAIS DKT SAMIA Novemba, 2023, mdada mrembo wa sura na umbo, ameelezea ndoto za kuwa Rais wa Tanzania siku baadae. Salma ambaye amekuwa akijiita Salama wa Samia Suluh katika mtandao instagram, amedai kuwa na asili...
  13. K

    Hii ndoto ina maana gani?

    Habari za weekend wakuu. Kuna ndoto nimeiota usiku wa kuamkia leo imenishangaza kidogo na sijaelewa inanipa ishara ya jambo gani nikaona niwaulize humu watu wenye uelewa wa haya mambo ya ndoto. Iko hivi nimeota ilikua usiku wa giza niko naelekea stand ya bus nikiwa na abiria wenzangu tukiwa...
  14. LIKUD

    Nadharia ya Likud kuhusu ndoto za utotoni ina make sense, nimeweka hoja kueleza kwanini

    Nilisema ndoto ina definition tofauti. Moja kati ya definition za ndoto ( my personal definition) ni : 👇 Ndoto ni ' kioo cha kiroho' kinacho tumika kukuonyesha wewe ni nani katika ulimwengu wa roho. Kwa maana ya kwamba unayoyaona kuhusu wewe katika ndoto unazo ota usiku ni reflection ya...
  15. Last_Joker

    Kutoka Ndoto Kuweka Uhalisia: Jinsi Teknolojia Inavyosaidia Watu Kujifunza Stadi Mpya kwa Kucheza Michezo

    Tuko kwenye zama za kidijitali ambapo michezo ya video haipo tu kwa ajili ya kuburudisha. Zamani, ilikuwa kawaida kuona michezo ya video kama njia ya "kupoteza muda," lakini sasa, teknolojia imeleta mapinduzi makubwa – unaweza kujifunza stadi mpya kwa kucheza michezo! Fikiria hili, wewe...
  16. dem boy

    Nimeota Philip Mbangula anapiga shuti nje ya 18 kipa anajitahidi kuruka lakini anashindwa

    Leo saa 7 mchana nipo kwenye daladala nikapitiwa na usingizi mzito sana,kwa mda mchache tena usingizi ulikuja ghafla sana lakini kwenye usingizi huo niliota kandoto nacho kalikuwa kafupi tu kama ka dakika 3,niliota Philip Mbangula anapiga shuti nje ya 18 kipa anajitahidi kuruka lakini anashindwa...
  17. nipo online

    Usawa huu unakamata milioni 1 just kwa mkupuo ni kama ndoto

    Ukiona watu wanasema million ni ngumu kuikamata huku wengine wanaidaka kwa mkupuo Yani like simple hivi. Waulize migodini, mabaharia, wazee wa kago, sema duh kuna watu wanapiga ela wewe na viten ten vyako utasubiri sana. Badili mfumo wa kusaka maokoto Hakuna namna
  18. M45

    Nini maana ya ndoto ya kupaa na kuelea angani?

    Nimekuwa nikiota ndoto nikiwa napaa na kuelea angani mara nyingi na kurudi chini, lakini katika mawazo yangu ningetamani niendelee kupaa tena, ni ndoto nzuri kuiota,lakini sijuwi inamaanisha nini iwapo mtu akiota ndoto ya namna hii.
  19. Money Penny

    Hivi Mwanamke au Mwanaume wa ndoto yako yupoje? Ulishawahi kumpata au ulishakata tamaa kumpata?

    Kama ilivyoandikwa Mwanamke au mwanaume wa ndoto yako Bado yupo? Ana exist Ha- exist Unae? Huna? Anafananaje? Au ushakata tamaa?
  20. K

    Napendaa mambo ya modeling sana na natamani nifike mbali lakini bado sijapata connection nzuri ili niweze kutimiza ndoto zangu

    Hello naitwa Jenipha napenda sana mambo ya modeling lakini Bado sijapata connection au njia rasmi ya kuweza kutimiza ndoto zangu nahitaji msaada wenu. 0713776534
Back
Top Bottom