Nikiwa pembezoni mwa kingo za shimo refu (valley), ghafla nikawa naona kwa uoni hafifu, nikashuhudia shimo kama limekuwa sawa (level) na sehemu niliyokuwa nimesimama.
Kwa kuhofia kuangukia kwenye lile shimo, nikageuka ili nitoke kwenye maeneo hayo. Nilipogeuka, nikamuona Humphrey Polepole...
Ndoto unazoota pindi unapokuwa umelala zote zina maana ,hakuna ndoto unayoota isiyokuwa na maana.
Mambo yote yanayotokea liwe jambo jema au baya huanza kwanza kutokea katika ulimwengu wa roho siku chache kabla ya kutokea na kutimia katika ulimwengu huu wa mwili.
Mwili hupata taarifa ya yale...
Je una utamaduni wa kuandika ndoto unazoziota?
Ndoto ni lango la taarifa, maarifa NK. Taarifa na maarifa hayo huweza kuwa mazuri/ mema au mabaya/ maovu.
Fikiria unaota kila mara uko makaburini, hushtuki, wala hufuatilii mwenendo mzima wa maisha yako kuanzia umeanza kuota ndoto hiyo.
Mwingine...
Kuota unarudi kijijini ulipozaliwa, ulipoishi zamani.
Umelala au kuingia kwenye nyumba ya zamani ya kijijini kwenu ambapo pengine hiyo nyumba haipo tena.
Kuota upo kijijini kwenu na kuona unapitia mazingira flani huko maana yake ni kwamba;
Matatizo ulionayo kwa wakati huo chanzo chake ni huko...
Mungu ni roho, Mungu anaongea kiroho
Haongei kama sisi wanadamu, ana namna zake ambazo ni muhimu uzifahamu
KUNA NJII KUU 3 ZA MUNGU KUONGEA NA WEWE
1. KUPITIA NDOTO/MAONO
2. KUPITIA NENO LAKE. Biblia Takatifu
3. KUPITIA WATUMISHI WAKE(MANABII, WALIMU N.K
LEO TUONE NJIA YA NDOTO
Ndoto...
Mwaka 1964 ndio ulikuwa mwanzo wa Tanzania kuanza kupeleka wanamichezo kwenye michezo ya Olympic na tumekuwa tukifanya hivyo kila wakati isipokuwa michezo ya Olympic ya mwaka 1976 huku pia tukiwa hatujawahi kushiriki kwenye ile michezo ya Olympic ya Winter.
Katika michezo hii toka mwaka 1964...
💼MHADHARA WA 7
Wakati mwingine ndoto tunazoota usiku wakati wa kulala zinatokana na uchovu, mawazo, n.k. Lakini ndoto zifuatazo zinakuwa ni ndoto zinazoeleza matokeo ya kweli yanayotarajia kukutokea baadae.
1. NDOTO YA KWANZA
Kuota mara kwa mara umekufa. Au kama umeoa/umeolewa unaota mara mwa...
Hamjambo,
Usiku wa kuamkia leo nimeota nipo kwenye mji mwingine, ni kama "lost city" ambapo hakuna mtu lakini majengo yake ni makasri, kama yale kwenye filamu za katuni, mfano jengo la Disneyland.
Nimeota hayo majengo ni chakavu, na nje kuna sanamu za farasi aliyepandwa na mtu akiwa...
Watu wa ulimwengu wa giza njooni hapa mtoe maoni yenu.
Ukuaji wa diamond kutoka zero hadi hapo alipo umekuwa wa kasi isiyotegemewa. Amezungumza akiwa anajiamini sana kuwa atakuwa tajiri namba moja duniani, hawezi kuwa na uhakika kiasi hiki bila kuwa na maagano ya siri.
pichani ni mchezaji maarufu zaidi NBA Lebron James futi 6'8 / sentimita 208
Siku ya jana nilikuwa nimeenda kupasha mazoezi uwanjani kukimbia raund zangu, nilienda kupumzika kwenye court ya baketball nikawa nawasikia vijana wanapeana moyo wa kucheza nba, vimo vyao hakuna hata moja aliefika futi...
Habari ndugu zangu
Naomba kufahamishwa. Ndoto kuhusu kusafisha choo zinaweza kuwakilisha kitu gani,tafsiri yake ni nini katika ulimwengu wa mwili?
Asante.
achana na mambo ya sihri/uchawi mwanadamu ni kiumbe kikubwa sana ila kwa bahati mbaya hatujitambui sisi ni nani.
ndani ya miili yetu there's something called Subconscious mind it work as server katika mfumo wako wa ubongo unakawaida wa kuleta kukusanya na kuleta taarifa hasa ukiwa...
Miriam Thomas Chirwa, anayejulikana kwa jina la "Mwinjilisti Miriam," alizaliwa tarehe 15 Septemba 1998, akiwa na ulemavu wa macho
Alianza safari yake ya muziki akiwa na umri wa miaka 6, ambapo alirekodi nyimbo 5. Akiwa na miaka 10, alirekodi nyimbo 10 na kutoa albamu yake ya kwanza "Mseme...
Swamidwa Habidadi ni kutoka Burkina Faso ambaye ni mkulima mwenye mafanikio makubwa. Alianza kilimo akiwa na umri mdogo wa miaka 16 baada ya wazazi wake kufariki dunia, na kwa sasa amejitolea kikamilifu katika shughuli za kilimo kuliko masomo yake.
Aligawa shamba alilorithi kutoka kwa wazazi...
Habari wakuu
Ndoto zinaweza kuwa na umuhimu kwa watu fulani na wengine hapana, hivyo Kila mtu yupo upande anaoamini.
Usiku wa kuamkia Leo nimeota nipo nusu uchi natembea nikipishana na watu nikaelekea mahali kuchukua kioo nilikua nimekua nikakuta kimevunjika nusu kipo chini nusu nikabaki nacho...
Ushirikiano na uhusiano kati ya China nan chi za Afrika umedumu kwa miongo mingi sasa, na kuzinufaisha pande hizo mbili kidhahiri. China imekuwa mwenzi wa kutegemeka kwa nchi za Afrika, na imetekeleza ama inatekeleza miradi mingi mikubwa ya miundombinu ikiwemo ujenzi wa barabara, reli, bandari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.