Habari wanajukwaa
Nimekua napatwa na Hali ya kutopata ndoto usiku wa ijumamosi kuamkia jumapili hii imekaaje wakuu
Mwanzoni nilichukulia kawaida ila Hali hii imejitokeza tena usiku wa kuamkia Leo,ila kwa siku nyingine za wiki Hali huwa kawaida uwepo wa ndoto unakuepo.
Nawasilisha.
WACHEZAJI WASAIDIWE KUCHEZA TIMU ZA NDOTO ZAO
Dube kacheza Azam misimu 4 bila kombe kacheza Yanga mechi 5 tu makombe mawili, medali mbili..
KAFUNGA magoli 3
Usiku ni mrefu ila ukilala na kuota ndoto za ajabu ajabu huufanya uwe mrefu zaidi. Kuna baadhi ya ndoto nikiota ni ngumu sana kuzikumbuka na hizi ndio hunipa hofu hasa nikiota ndoto mbaya.
Huwa ninapata hofu kwa sababu ndoto nyingi nisizozikumbuka huwa zina uwezekano mkubwa wa kutokea na...
Ulitamani kuwa daktari, rubani, mbunge, waziri, mwanamziki, mwanahabari nk na ulichotamani unakiishi basi unastahili pongezi kimsingi umefanikiwa probably utakuwa ni mtu mwenye furaha na amani(peace of mind).
Kuna hisia za raha kufanya kitu unachokipenda hakuna ugumu, hakuna kuchoka, ni total...
NDOTO ZA KUWA MTU FLANI KWENYE TEHAMA
Kirefu Cha neno Hilo ni Teknolojia ya habari na mawasiliano, taaluma AMBAYO Hadi mwaka huu 2024 hazija waingia watu wengi na waliyo nayo wengi nchini Tanzania ni wa binafsi wa maarifa na wenye kukatisha tamaa wale wanao taka kujifunza.
Na hii ni sifa...
Mtoto akifikisha miaka 18 huyo sio mtoto sababu kashakuwa huru wa kufanya maamuzi nini anataka kwenye ndoto yake.
kuna mada nyingi hapa jf nikiona wazazi wakiomba ushauri mtoto asome nini ?
kwa nini wazazi tusiwape uhuru wa kujua wanataka nini na kuwashauri kuliko kulazimisha wasome wasicho...
kuna elimu hapa japo niligusia ila sikuona watu kuweka maanani ila ni ukweli kwamba roho za watu kama zijatakiwa kufa ni ngumu kuondoka.
Huyu dada alisimulia kuhusu mdogo wake alitoweka na hakupatikana ila kuna siku ndoto aliota ikimuelekeza kuhusu yeye yupo wapi ambalo eneo la mukuru na kweli...
Kifo kisikie tu ila Ikifika zamu ya kukabiliana nacho huwa ni kizaa zaa. Huwa nacheza ma game ya combat au frontlines heroes naona tu raha kuwaua maadui. Paah Paah napiga tu risasi kwenye simu sasa leo mapema alfajiri ikanijia ndoto kama unavyojua ndoto mwili unahisi kitu una ki perform live...
Hivi Je Kweli ndoto Zina maana yoyote ile?
Maana mimi kuna ndoto inanirudia rudia sana nakuwa naongea na mtu ambae nina muda siongei naye na wala sina access nae tena.
Tena kuna ujumbe wowote hapo au mawazo tu maana nina week sasa naota tunazungumza nae nashtuka sasa nashindwa kuelewa
Draft linazingua kinyama ukiliacha kucheza muda mrefu ukirudi kucheza game na wazoefu utafungwa hata kama unalijuaga.. Sasa kitendo cha kutamani kufungua fumbua code za ushindi kinapelekea usiku eti umelala unaanza kuwaza mbinu unaanza kubuni mitego ya draft si ujinga huo? Badala uwaze una...
Habari za usiku wanaJF , ndugu zangu naomba nipate msaada kutota kwenu.
Mara nyingii nyakati za usiku nimekuwa nikiota ndoto nikiwa naongoea na watu waliokufa hasa baba yangu mzazi na mdogo anaenifuata. hawa wote ni wafu,
Mdogo wangu alitangulia kufarikiriki December 2010 kipindi hicho mimi...
Tanzania ni nchi iliyojaaliwa kuwa tofauti na nchi zingine za Afrika Mashariki na Afrika; kijiografia imebarikiwa kuwa na eneo kubwa la ardhi kutosha kwa kilimo, vyanzo vya maji na bahari yenye ukanda mrefu wa pwani na vivutio vya utalii vyenye umaarufu mkubwa duniani. Kijamii, imebahatika kuwa...
Tanzania ni miongoni mwa nchi za Kiafrika zinazokabiliwa na tatizo kubwa la ukosefu wa ajira kwa vijana wasomi wanaohitimu katika taasisi mbalimbali za elimu ya juu.
Utafiti uliofanyika mwaka 2019 na Taasisi ya utafiti wa kupunguza umasikini (REPOA) ilionyesha takribani vijana milioni moja...
nimeota kuwa nipo class na wenzangu mwalimu/msimamizi akatuambia who want do survey?and if there's no any body please join to examination room.
mimi binafsi sikuwa na chaguo nikabakia baadae nikaona ndoto imenipeleka sehemu n6je ya chumba tunapanga madawati kwa ajili ya mtihai ila sharti la...
Naota kuna Raisi Ajaye ambaye Atakuwa zaidi Ya Magu🔒 Kwa tabia ma Matendo ila sio mwongeaji ni vitendo tu.
Kwa matendo na kwa kusimamia sharia, misimamo mikali.
Ataunda uchunguzi wa karbu kila kitu' mikataba yote..uhalali wake , faida na hasara zake.
Atafumua mikataba yote Ya kinyonyaji kuanzia...
Ukweli mimi sio muota ndoto maarufu sana wala sio mbashiri ila usiku wa leo nimeota kumetokea mtafaruku mkubwa sana, uliosababishwa na mtu aliyechangiwa gari na wanachama kwa mapenzi ya dhati kabisa kuamua kukaa pembeni.
Zaidi ya hayo nikaona anga lililo juu ya yule ndugu lina moshi rangi ya...
Hakuna kitu kizuri kama kufanya kazi ambayo ipo kwenye damu yako, uipendayo kwa muda mrefu. Kwa nchi za wenzetu zilizoendelea ni kwamba mtoto huwa mtu huwa anaandaliwa kuwa mfanyakazi fulani tangu kipindi akiwa mdogo, ambapo wazazi huwa wanatazama mwenendo wa mtoto katika michezo ambayo...
Samahani, mimi leo nimeamka nikapigiwa simu na mdogo angu akanambia kuwa mama yetu aliota usiku wa kuamkia leo kuhusu mimi, kuwa nilikuwa niko porini, alafu watu wananisemesha ila mimi siwasikii. NDOTO HIYO.
Baadae saa 11 jioni, nilikuwa chumbani peke angu alafu mlango nilikuwa nimeuegesha ila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.