ndoto

Ndoto Za Elibidi is a 2010 Kenyan film.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania hii ndoto inamaana gani? kitu ambacho ni sahihi naambiwa sio sahihi

    kwanza kabisa mtanisamehe kwa kuwasumbua kila wakati kwa kuja hapa kuhitaji msaada wenu lakini nashukuru kwa majibu yenu mazuri ambayo wakati mwingine yananifanya kuwa makini na mambo yajayo, ipo hivi kwanza kabisa mazingira ya hii ndoto na watu wote waliokuwepo nawafahamu ni huko kijijini...
  2. JamiiForums Tanzania Maana ya ndoto ya kutembea uchi mbele za watu, mrejesho

    Kwanza kabisa niwashukuru wana jamiiforms kwa kunifumbulia maana ya ndoto hii, ukweli upo hivi, toka nianze maisha na make wangu sijawahi chepuka nje na mke wangu ni miaka miwili sasa imepita, na watu wengi mpaka ndani ya familia yangu wananisifiaga kuwa Mimi ni mtu wa pekee sana kwani sipo kama...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Nimekuwa nikijitahidi kuzikemea ndoto zangu lakini wapi! 2025 CCM watanyukana ngumi!

    Shalomu Tanzania! Nimekuwa nikiota ndoto za ajabu na kwa upande mwingine ndoto hizo, huwa zinanifurahisha na naamini pia iwapo itakuwa ni kweli' wote waliowahi kusababishiwa umasikini na ama kuteswa na wanaojiita CCM, basi tutakuwa na kila sababu ya kufanya sherehe anguko hili tukufu la wana...
  4. JamiiForums Tanzania Ina maana gani kuota unatembea uchi mbele ya watu?

    Kwanza kabisa nilikuwa juu ya jengo la ghorofa 4 nikiwa uchi kama nilivozaliwa, sasa wakati nashuka zile ngazi zilikuwa ni zile zinakaaga nje kwa pembeni, cha ajabu hizo ngazi hazikuwa za kawaida yaani ni nyembamba mno kiasi ya kwamba ili uzishuke lazima uwe umegeuzia tumbo ukutani na ushikilie...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Simba msimu ujao tujifelishe tushiriki Shirikisho, tusishiriki tena Champions League, ama nusu fainali kwetu itabaki kuwa ndoto

    HAKUNA POINTI YA KUSHINDANA KATIKA SHINDANO AMBALO UNAJUA HUTASHINDA Yaani unakuwa tu kama msindikizaji, Simba ni timu kubwa sana, yenye pride kubwa, so haiwezi kuendelea kuwa mdindikizaji kila msimu kama timu ndogo Jamani wana Simba tuwe realistic, kwenye mashindano ya CAF Simba mwendo...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Unadhani ni kweli Hayati Magufuli aliiona Tanzania ikiwa nchi ya kutoa misaada kwa nchi zingine?

    Ni kweli miradi iliyoanzishwa chini ya utawala wa Magufuli, ilitosha kuifanya nchi yetu kuondokana na umasikini na kuwa nchi yenye uchumi mkubwa kiasi cha kutoa misaada? #Unapoitazama SGR unaona nini #JKNHP, unaona nini #Kauli mbiu ya viwanda, wewe unaona nini #Ununuzi wa ndege Je. #Upanuzi...
  7. JamiiForums Tanzania Ukilewa sana kisha ukalala unaweza kuota ndoto ndani ya ndoto na ukiwa kwenye hiyo ndoto ukaota tena ndoto ila process ya kuamka inaweza kukuchizisha

    Hello bosses and roses, Leo niko kwenye mood ya kuandika so nimeona niandike hii experience nliopitia mwaka fulani. Kuna siku miaka ya zamani kdg nililewa sana zaidi ya kawaida. Mie nna alcohol torelance ya ajabu sana. Hata nilewe vipi huwa sipotezi fahamu, nitayumba kutembea lkn ukinipa kazi...
  8. JamiiForums Tanzania Wenye ndoto za kugombea nafasi za uongozi 2025 watakiwa kuzijua kwanza changamoto za wananchi wao

    ZANZIBAR KATIKA kuhakikisha lengo la ushiriki sawa wa wanawake kwenye nafasi za uongozi linafikiwa, wanawake wenye nia ya kugombea na kushika nafasi hizo wametakiwa kutumia muda wao kukaa karibu na jamii zao ili kubaini changamoto zinazowakabili wananchi na kusaidia kuzitaftia ufumbuzi badala...
  9. JamiiForums Tanzania Ndoto ya Hayati Magufuli imetimia. Sasa Tanzania ni Donor Country

    Japo Hayati Magufuli aliwahi kuniudhi kwenye maeneo fulani, lakini leo nimefurahi kwa kuwa Tanzania imefanikiwa kuwa a Donor Country. Haya yalikuwa ni maono yake kuiwezesha nchi yetu kuwa msaada kwa wengine. Sasa tunaona tukiisaidia Uturuki, Malawi n.k. Mungu baba wa Mbinguni amuhurumie mja...
  10. JamiiForums Tanzania Hii ndoto ina maana gani?

    Kuna kitu nimekiota leo ambacho bado natafakari Sipati majibu Nimeota kuna baba moja ambaye alikuwa na watoto wengi saana na wote walikuwa wanakaa ndani ya nyumba moja. Sasa kwa bahati mbaya nyumba ile ikaungua moto baba yule akatoka ndani ya nyumba ile mbio na kukimbia kuokoa maisha yake...
  11. JamiiForums Tanzania Nini Maana ya ndoto hii?

    Kuna mtu ameniambia ameota ndoto kwamba ameumwa na nyoka mdogo na mguu wake umevimba sana. Nini maana ya ndoto hii?
  12. JamiiForums Tanzania Ndoto yako imetimia: Fully Funded Thailand Government Scholarships 2023/2024 Chulalongkorn University

    Fully Funded Thailand Government Scholarships 2023/2024 Chulalongkorn University Thailand Government Scholarships 2023 Deadline: 31st May 2023 Fully Funded Thailand Government Scholarships 2023/2024 Click here to apply: Fully Funded Thailand Government Scholarships 2023/2024...
  13. JamiiForums Tanzania Eti wataalam, ndoto hii ina maana gani?

    Natumai mpo salama.. Nimeota ndoto nipo sehemu kama shuleni ama chuoni au mafunzoni nikawa ni mwanafunzi ninaefanya vizuri kiasi kwamba kuna mwalimu akawa ananipenda sana kama mwanafunzi wake bora, akawa ananiita tunakaa pembeni na ananifundisha mimi peke yangu lile suala kuna mwanafunzi...
  14. JamiiForums Tanzania Naota ndoto kila siku nipo na mdogo wangu aliyefariki

    Wakuu naomba ushauri wenu Mimi ni mtoto wa pili Kati ya familia ya watoto watano Nina miaka 29 miaka mitatu nyuma nilipata msiba wa mdog angu tuliyefuatana ambaye mpaka kifo chake kinatokea alikuwa Yuko kidato Cha nne kifo chake kilitokea ghalfa tu Shida yangu Kila siku naota ndoto Niko pamoja...
  15. JamiiForums Tanzania Ndoto hii ina maana gani?

    Wakuu habari Naomba ufafanuzi huu nimeota nipo kwenye gari daladala nimekaa siti ya mbele na rafiki yangu mara gafla gari ikafunga break rafiki yangu akatolewa nje kwenye kioo kwa nje kulikua na mtu kagongwa na iyo gari kichwa kimevimba.
  16. JamiiForums Tanzania Jamani hizi ndoto huwa Zina maana gani?

    Kuna muda unaweza kuota ndoto zingine za ajabu Sana mpaka ukaanza kujiuliza imekuwaje kuwaje mpaka ukaota ndoto ya hivi? Imagine unaota unafanya mapenzi na mtu unayemheshimu Sana.Anaweza kuwa boss wako,mwalimu wako au mke wa mtu na unamheshimu Sana,Yaani Sana tu na hujawahi fikiria hata siku...
  17. JamiiForums Tanzania Ni kitu gani muhimu zaidi katika maisha?

    Kuna wakati mmoja katika kijiji kimoja, kulikuwa na bwana mmoja tajiri sana. Aliishi katika nyumba kubwa, alikuwa na magari mengi na alikuwa na kila kitu alichotaka. Lakini, hakuwa na furaha. Alikuwa na watoto wawili na mke, lakini hakuwa na muda wa kuwasiliana nao na kushirikiana nao kwa sababu...
  18. JamiiForums Tanzania Umetimiza ndoto zako?

    Nakumbuka nilipokuwa form 2 nilianza kupenda sana majibizano na wenzangu kuhusu siasa, yaani ilitokea napenda sana kukosoa serikali kwa kuwa ndiyo kitu simple sana kuliko kusifia sababu ni kwamba toka tunavyopata uhuru fikra zetu zimejengwa kuwa Wazungu(watawala) ni wanyonyaji na wabaya sana...
  19. JamiiForums Tanzania Je, hii ni ndoto ya kawaida?

    Msaada Ndotoni [emoji116] Maeneo ya huku ninapokaa kuna makaburi nayafahamu upande wa kushoto ya Kiislam na upande wa kulia ya Kikristo katikati ninjia watu tunapita pkpk na magari pia. Sasa wakati napita njia naelekea mishe zangu ghafla upande wa kushoto makaburi ya Kiislamu nikaona kaburi...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda kwa vijana mliojitoa mhanga kutimiza ndoto

    Mimi ni kijana niliekuja Dar mwaka nusu ulopita. Nilikuja Dar baada ya kutoka nje kimasomo. Pamoja na course niliyosoma, mida ya jioni nilisoma skill nyingine nje ya curriculum kwa personal arrangement. Niliweza kuimaster vuzuri kwa kuwa pia iliakisi uwezo wangu tangu utotoni. So baada ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…