ndugai

  1. Job Ndugai, Ujumbe Wako Tumeuelewa Tutatekeleza na Kuueneza Watu Wengine Wauelewe.

    Hakika kama Spika ulipokuwa ofisini kwako ulikuwa na nafasi ya kuelewa mengi na kwa undani zaidi. Hivyo kama ilivyo, Msema kweli ni mpenzi wa Mungu na dhahiri anakuwa adui wa shetani. Tumeelewa. Sasa kwa kuenzi huo ukweli aupendao mwenyezi Mungu tumekuelewa na tutausambaza kila kona ya nchi na...
  2. Watu aina ya Mpina, Lissu, Gwajima, Ndugai, Bashiru, Makonda ,Bashungwa, Heche, Biteko Mwabukusi ,wakiongoza Nchi , Kila Raia atakua na Furaha !!.

    Na Nchi itakua na Maendeleo makubwa sana Kwa nyanja zote . Hawa watu unapofatilia Maisha yao , Utendaji wao wa kazi Kwa nafasi zao, Maono yaliyo Ndani ya hotuba zao, Kanuni, Imani ,falsafa na Itikadi zao kulihusu Taifa hili , utagundua kua Tuna watu tunaopaswa kujivunia kua nao kama Taifa. Ila...
  3. P

    Waliomchomoa Ndugai kwenye Usipika wa bunge, wamuombe radhi, alionya nchi kuendeshwa kwa mikopo..!

    Kina Ndugai walikuwa wakiona mbaali sana, walikuwa wakiziona hizi nyakati, walionya wakapuuzwa na viongozi wa ccm, leo kiko wapi Nchi kujitegemea ndio mpango mzima ingawa mwanzo una maumivu yake lakini ndiyo heshima yenyewe Kina JPM (RIP) walikuwa na jicho kali sana, walijua kuwa, kuna siku...
  4. Siamini kabisa kama Ndugai, Chongolo, Kinana na Mpango waliomba wenyewe kujiuzulu. Lazima kuna jambo!

    Utamaduni wa kujiuzuru kwa viongozi wa CCM haupo na haujawahi kuwepo. Tunapoona kiongozi yoyote wa CCM anaomba kujiuzuru basi kwa 100% tunajua ni shinikizo kutoka ndani sana likiratibiwa na mfumo chini ya kiapo cha mwenye mamlaka kuu ya nchi. Kisa cha kujiuzuru kwa Jumbe wakati akiwa rais wa...
  5. Toka mfumo wa vyama vingi uanze,tumekuwa Bunge 5 lipi kwako unalikubali?Bunge la Job Ndugai

    Bunge la Job Ndugai Bunge la Anne Makinda Bunge la Samweli Sitta Bunge la Pius Msekwa. Bunge la Tulia Akson Lipi lilikidhi Kiu yako na uliona kama faida kwa nchi na lipi halijawahi kukata kiu yako na unaliona kama hasara kwa nchi?
  6. L

    Job Ndugai Na Madiwani wa Kongwa Aibukia Jijini Tanga Kujifunza Namna ya Utekelezaji Wa Miradi ya Maendeleo.Apokekelewa Na Ummy Mwalimu.

    Ndugu zangu Watanzania, Speaker Wa Bunge Mstaafu Mheshimiwa Job Ndugai Ameibukia Jiji La Tanga akiwa Ameongozana na Madiwani Mbalimbali kutoka halmashauri ya Wilaya ya Kongwa . Ambapo yeye pamoja na Waheshimiwa Madiwani ,mkuu wa wilaya na mstahiki meya wa halmashauri ya Kongwa wamefika jijini...
  7. R

    Unadhani kama Spika mstaafu Ndugai angelikataa kujiuzulu , nini kingelitokea?

    1. Mimi nadhani, my intuition inaniambia kuwa kufuatana na hali ya sasa ya usalama wa wananchi na yanayoendela ya utekaji, and the like, ANGELITEKWA NA KUPOTEZWA Wewe unasemaje?
  8. Pre GE2025 Dodoma: Job Ndugai akumbana na maswali ya mpiga kura Jimboni kwake

    Aliyekuwa Spika wa Bunge ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Kongwa mkoani Dodoma, Job Ndugai amekumbana na maswali magumu kutoka kwa wapiga kura wake alipowatembelea na kuzungumza nao.
  9. Msikie Spika Tulia aikimba ila kwa anavyo onekana, Bora hata ya Ndugai!

    Jua maisha ni mlima eeh,maisha ni mlima, Kuna kupanda na kushuka eeh, Kupanda na kushuka, kuteleza siyo kuanguka eeh, Hiyo hapo juu ni chorus ya wimbo kutoka kwa kinywa cha spika wenu wa bunge, sijui makusudi yake ila kwa anavyo onekana ni tumekosa spika mwenye kujiheshimu hana hadhi kwetu...
  10. T

    Ndugai: Mataifa ya wenzetu huchukua vijana wenye ufaulu class A+ wana negotiate mikataba sisi tunapeleka maprof wazee waliochoka!

    Katika moja ya comment zilizowahi kunishtua ni hii ya jobu aliyoitoa akiwa spika. Alidai kwamba wenzetu baadhi ya mataifa linapohusika suala la mikataba, hawana masihara hata kidogo huchukua vijana smart class A wenye uwezo mkubwa wa kusoma kuelewa na kufikiri kwa upana juu ya mikataba...
  11. Kwa sasa mwanasiasa mwenye nguvu hapa Tanzania ni Job Yustin Ndugai ukimya wake unakishindo kikubwa sana tusubiri!

    Huyu ni mtu kweli kweli ! Ameamua kufunika kombe ,haongei chochote na hachangii chochote ,amefumba kinywa ! Fisi wanajua wamemkomoa na Kuna wengine wanaona kama amekuwa failed! Huyu mtu hata wabunge wanamwita baba ! Kokote alipo asikubali 2025 kukaa kimya tutampeleka ikulu saa 2 asubuhi
  12. Kwa heshima na taadhima, Job Ndugai naomba unisamehe!

    Ulipoongea suala la nchi kupigwa mnada, kuuzwa vipande yawezekana nilikudharau, nilikukejeli, nilikutukana, nilikuona huyu ni masalia ya Jeshi la mtu mmoja JJPM. Siku unadharaulika mbele ya kamera za waandishi nilichekelea sana na kusema ndiyo dawa yenu watu wa kariba yako wasiompenda mama...
  13. Ndugai aliona mbali sana japo alipuuzwa lakini muda utaongea

    Bahati mbaya Anakopa Pesa nyingi sana halafu zinaishia Mikononi mwake na familia yake pamoja na Mawaziri hazifiki kwenye target husika Mama akiondoka madarakani kuna vita itapiganiwa hii nchi, wachina wanatudai, wahindi, wakorea, wamarekani, waingereza, wajerumani😂😂😂 siku wakija kutudai lazima...
  14. M

    Nimemuota Ndugai kashika daftari la kijani anaandika summary

    Nawasalimu katika jina la Bwana,Muumba mbigu na nchi na vitu vyote vilivyomo,vinavoonekana na visivoonekana. Ndugu zangu,ktk fumbo ambalo mwenyezi Mungu katuwekea basi ni usingizi,iwe tajir au masikini,Mtawala au mtawaliwa wote tunapokuwa ktk usingizi huwa tupo ktk Hali ya kutojua chochote...
  15. Ndugai: TANESCO ni kikwazo kikuu kwa maendeleo ya Watanzania

    Spika aliyeondolewa kwa uonevu ndugu Job Yustus Ndugai amelitupia lawama Shirika la umeme la Tanzania kwa kuwa ndilo hasa linalo kwamisha maendeleo ya Watanzania kwa desturi yake ya kukata umeme hovyo hovyo. ----- Spika wa Bunge Mstaafu Job Ndugai, ameitaka Serikali kuboresha taratibu zake...
  16. D

    Makonda kupata teuzi wakati wowote kutoka sasa

    Kwa hali inayoendelea na kwa uzoefu wa mambo ya bongo yetu soon makonda atakula teuzi, naona kabisa kuna upande unamuhitaji kwa kudhani anaweza kuwa msaada kwao, haihitaji kuwa kwenye system kuijua bongo yetu.
  17. M

    Je, Spika mstaafu Job Ndugai, ana sifa ya kugombea kuwa Rais wa Tanzania 2025?

    Nimejaribu kufuatilia msimamo wa Job Ndugai ni kama wa JPM, ni mzalendo na hapendi Nchi kuombaomba misaada au kukopa sana kutoka nje, badala anapenda kujitegemea. Natafakari kama CCM itampitisha kugombea Urais 2025, je ana sifa ya kuwa Rais wa Tanzania?
  18. Ukiistaajabu ya Job Ndugai utayaona ya TEC

    Watanzania tumekuwa wagumu sana wa kujifunza kutokana na historia, nakumbuka namna job ndugai alivyokodishiwa wahuni kumtukana na mpaka kujiuzulu kisa kasema nchi inauzwa, tumekuja kugundua badae sana maana ya kauli yake. Hata huku kusakamwa kwa TEC wala sishangai ni akili za watanzania za...
  19. Job Ndugai: Kwenye negotiations lazima upeleke 'brains' zako, first class thinkers. Form four (Makarai matupu) ataenda kunegotiate nini?

    "....Kwenye negotiations tukae vizuri watanzania. Yako mambo ambayo lazima upeleke 'brains' zako. Siyo unapeleka Senior mwenye 'gentleman degree' na form four alipata 'makarai' matupu, ataenda ku-negotiate nini? Haiwezekani" -Kaveli-
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…