ndugai

  1. N

    Job Ndugai alisema itauzwa. Tusibiri kinachofuata baada ya bandari na Loliondo

    Spika aliyelazimishwa kustaafu kwa kusema ukweli au kutabiri yajayo akalazimishwa kustaafu chini ya mtutu wa Bunduki. Haya bandari tushauza. Ngoja tukauze na shamba letu la Bagamoyo
  2. Don Moen

    Spika Tulia Ackson, ninakukumbusha kuwa siku inakuja aibu yako itakufunika

    Kazi ya Spika wa bunge la JMT ni kuongoza mijadala ya kuisimania serikali kama mhili unaojitegemea. Bunge ni uwakilishi na sauti ya wananchi dhidi ya serikali. Inasikitisha sana wewe Spika Tulia Aksoni umegeuka sehemu ya kuitetea serikali kwa nguvu zako zote. Umepoka nafasi ya Waziri mkuu...
  3. Idugunde

    Rubber stamp parliament linakwenda kuziuza bandari za Tanzania kwa mafisadi. Kama lingekuwa na sauti Lisingekubali Ndugai kuvuliwa uspika.

    Hili sio bunge bali ni rubber stamp ya mkuu wa nchi. Kwani Ayubu Ndugai kama mkuu wa mhimili wa Bunge alifanya kosa gani kupinga mikopo ya hovyo iliyojaa ufisadi? Tulitarajia bunge Makini liseme ukweli kuwa kukopa hovyo na huku serikali ikikusanya kodi na tozo kamdamizi lukuki ni upuuzi...
  4. Msanii

    Tulimsuta Ndugai akaomba radhi na kulazimishwa kujiuzulu. Leo mnalia nini?

    Leo ni michano Kuna watanzania ni machiriku wa kuongea. Wanaongea bila hata kujua maana ya wanachokiongea. Desemba 28 2021 Spika wa Bunge Ndugai alikosoa kasi ya ukopaji inayofanywa na serikali akitoa tahadhari kuwa kuna siku nchi itakuja kuuzwa. Wakali wa verse wakalipuka kuwa anaisaliti na...
  5. Dalton elijah

    Ndugai amtaja Malecela kujiuzulu kwake

    Dodoma. Zikiwa zimepita siku 496 tangu Job Ndugai ajiuzulu uspika wa Bunge, amesema Waziri Mkuu mstaafu, John Malechela ndiye alimshawishi kuchukua uamuzi huo. Alitoboa siri hiyo jana katika mazishi ya William Malecela, maarufu ‘Le Mutuz’, mtoto wa Malecela, yaliyofanyika Mvumi, wilayani...
  6. Suzy Elias

    Ndugai: Mzee Malecela alinitaka nijiuzulu u-Spika haraka; nikajiuzulu

    ".... Mapema January mwaka jana, mzee wangu Malecela alifika nyumbani kule Kongwa usiku nisivyotarajia na isivyo kawaida. Akataka chai ya rangi huku akinieleza ALIKUJA KAMA KAKA NA ANADHANI KESHO NIJIUZULU USPIKA na mimi nilikubali na AKANITAKA NISIKOSE KUJIUZULU HIYO KESHO ASUBUHI na mimi...
  7. T

    Job Ndugai aliachia kiti kwa ubashiri wake tu! Huyu aliyepo anashirikiana na wezi? Basi ang'olewe haraka sana!

    Nina imani na wabunge wazalendo walioko Bungeni ambao hawana hatia juu ya ubadhirifu ulioibuliwa na CAG, hawaungi mkono mafisadi kupewa miezi sita ili hatua kuchukuliwa! Lakini pia, Karibu 90% ya wananchi hatuungi mkono hoja ya mh Sipika kuyapa miezi sita majambazi ya CCM Kipindi cha...
  8. mdukuzi

    Uhasama wa Mbowe na Ndugai ulianzia Kibaha Secondary

    Hawa miamba walijuana Kibaha Secondary. Enzi hizo baba yake Freeman akiwa tycoon mkubwa sana nchini, alikuwa na mahotel Dar, Moshi na Arusha na alikuwa na ukaribu sana na baba wa Taifa mwalimu JK Nyerere. Job Ndugai alitokea familia fukara kama watanzania wengi ila kichwani zilikwemo. Kuna...
  9. JanguKamaJangu

    Job Ndugai: Anayesema vijana wa Bodaboda wamelaaniwa labda amelaaniwa yeye

    Spika Mstaafu wa Bunge, Job Ndugai amewataka Watanzania kuacha tabia kutothamini mafanikio au juhudi za watu mbalimbali wanazozionesha katika taifa hasa katika sekta ya biashara, akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mgahawa wa Chakula katika Taarafa ya Pandambili Iliyopo njia Kuu ya Kutoka Dodoma...
  10. JanguKamaJangu

    Job Ndugai: Wananchi waache kulalamika badala yake wafanye kazi kwa bidii na kujiletea maendeleo

    Mbunge wa Kongwa na Spika wa zamani wa Bunge, Job Ndugai amewataka wananchi kufanya kazi kwa bidii na kujiletea maendeleo badala ya kutumia muda mwingi kulalamika. Akizungumza wakati wa mkutano wa baraza la madiwani kujadili bajeti ya Wakala wa Barabara Mijini na Vijijini (Tarura), Wilaya ya...
  11. robinson crusoe

    Rais Samia kasema kosoeni serikali, Ndugai alipokosoa nini kilifuata?

    Hizi ni siasa za kushangiliana bila kuulizana maswali, lakini miezi michache iliyopita huyu huyu Samia alichochea kuchukiwa kwa Spika, ambaye ni mbunge alipokosoa tabia ya serikali kukopa. Jana kasema huenda chawa wake watakuvamia ukitumia matusi kumkosoa, mbona Ndugai alipomkosoa alishirikiana...
  12. kavulata

    Mwl. Nyerere aliitabiria mema CHADEMA, Ndugai na Bashiru msihuzunike

    Hizi shangwe sio za bure, Mkutano Mkuu wa CCM umekwisha, mengi tumeyaona na mengi tumeyasikia. Sasa tunafahamu ni nani kasema nini na nani anataka nini. Tumejitoa ufahamu watanzania wote kukubali kuogopa kuiadhibu CCM hata kama inafanya makosa tusiyoyataka. CCM imegeuka Mungumtu, hakuna...
  13. S

    Job Ndugai ahudhuria mkutano mkuu wa CCM kinyonge. He is haunted by the spirit of vindictiveness

    Picha hii hapa chini inaeleza mengi sana (zoom umtazame vema Ndugai). Ndugai yupo kama hayupo kwenye mkutano mkuu wa CCM (7-8 December 2022). Yaelekea kaburuzwa tu. Hajahudhuria kwa ridhaa yake. Amejawa na simanzi kubwa. Anaonekana katwezwa, na anatamani ardhi ipasuke aingie mavumbini kuliko...
  14. Replica

    Ndege ya Tanzania yakamatwa nje, Taifa ladaiwa bilioni 380 kwa kuvunja mkataba bila utaratibu

    Muwekezaji wa Kiswidi aliyeshinda tuzo ya Dola za kimarekani milioni 165 ameishawishi Mahakama ya Uholanzi kuishikilia ndege ndege ya Tanzania wakati pingamizi zikiendelea. Mgogoro huo umetokana na kufutwa mpango wa kuendeleza mashamba ya sukari wilayani Bagamoyo umbao ulikuwa na malengo ya...
  15. B

    Kutokuungwa mkono Bashiru, Polepole, Ndugai na wengine, tujitathmini

    Haki ni haki bila kujali maslahi binafsi ya awaye yote. Kwa bahati mbaya tumekuwa wabinafsi tusiotaka kuwa sehemu ya kupigania haki hizo. Tumekuwa kama wapenzi watazamaji wengine wanapojaribu kuuwasha moto. Imekuwa fulani kasema hivi, fulani kasema vile. Sisi tumesema nini fulani anaposema la...
  16. Q

    Ndani ya Mwezi Mmoja tumekopa Trillion 7, Kuna siku nchi itapigwa mnada

    Kwa skyrocket hii ya kukopa na misaada naanza kumwelewa Spika Mstaafu Job Ndugai kuwa kuna siku nchi itapigwa mnada. October 1: Billion 978 Kutoka Abu Dhabi. October 11: Trillion 4.9 Kutoka Benki ya Dunia. October 26: Billion 380 Kutoka Umoja wa Ulaya (EU). October 27: Billion 310 Kutoka Korea...
  17. JanguKamaJangu

    "Job Ndugai achafua hali ya hewa" Ukurasa wa mbele wa Tanzania Daima Oktoba 14, 2022

  18. Jidu La Mabambasi

    Job Ndugai: Wabunge watarajiwa wapimwe afya ya akili

    "Ndugai: Kuna wanaotoa maoni wabunge wapimwe afya ya akili Spika wa zamani wa Bunge, Job Ndugai amesema kumekuwa na maoni wabunge wapimwe afya ya akili kabla ya kwenda kuomba ridhaa ya kuwawakilisha wananchi bungeni akieleza kuwa jambo hilo ni la kuwaachia wananchi ili kuona kama lina...
  19. K

    Matapishi ya Ndugai na Magufuli yatatesa Bunge na Serikali

    Serikali ina kula matapishi mabaya ya uchaguzi mbovu, kununua wabunge na kunyamyasa wapinzani. Lakini bunge nalo linakuwa matapishi ya Ndugai ya hawa Covid 19 ambao wanaharibu heshima ya bunge kiasi kwamba imekuwa the comedy many series. Ushauri wangu kwa Rais Samia fanya vitu vyako wewe...
  20. DodomaTZ

    Job Ndugai akwama kongwa Wanaccm wawabwaga yeye na wagombea wake aondoka ukumbini bila kuaga, awatishia UWT kukosa mikopo

    Spika Mstaafu wa Bunge la 11, Job Ndugai amejikuta katika aibu kubwa baada ya wanachama wa CCM Wilaya Kongwa katika JUMUIA YA WAZAZI NA UVCCM kuameamua kujiondoa katika mfumo wa ubabe, kupelekeshwa, amri za hapa na pale za nani achaguliwe katika uongozi wa CCM Wilaya Kongwa. Katika chaguzi...
Back
Top Bottom