ndugai

  1. Kichwamoto

    Job Ndugai ulimnanga Lissu; sasa jitokeze utuambie legacy yako ni ipi

    Hello JF Niende kwenye mada straight, ni wakati muafaka Jobo Ndugai aweke hadharani legacy yake ya uspika na ya kibunge huko kongwa sambamba na oanisho la kumnanga ndugu Lissu kuhusu ubunge wake wa miaka10 huko Singida Mashariki kwamba hakuacha legacy yoyote. Baada ya kuachia kiti cha uspika...
  2. Mchochezi

    Tanzania mtu anaweza kuwekwa kizuizini nyumbani kwake?

    Wakuu salama? Naimbeni mnijuze, kwa nchi ya Tanzania, mtu anaweza kuwekwa kizuizini nyumbani kwake? Kama ndio ni sheria ipi hiyo inaruhusu katika katiba yetu?
  3. M

    The political purge continues, Ndugai is not seen in public

    Ndugai is not seen public.
  4. F

    Makonda na Ndugai wako chimbo gani?

    Viongozi waandamizi hawa katika Mihimili ya Utendaji na Bunge id est Makonda na Ndugai wako Oldonyo gani kusikoweza kufika mkono wa serikali? Tundu alikwepa Mahakama hadi Wakili akajiondoa na hadi Mahakama ikafuta shauri je, Makonda naye anaweza kufanikiwa kukwepa Mahakama kwa njia hiyo ya...
  5. E

    Je, Ndugai ataenda Msibani kwa Malecela?

    Ndg poleni na Msiba mkubwa wa Mwele ambaye ni mtoto wa Mzee Malecela. Yapata mwezi mmoja sasa Ndugai hajajitokeza hadharani tangu ajiuzulu Uspika. Hata vikao vya binge hajaonekana. Sasa swali la msingi ni Je atakuja kwenye Msiba wa ndg yake Malecela ambaye wote ni wenyeji wa Dodoma? Acha tuone.
  6. Nyankurungu2020

    Hili la Job Ndugai kutoonekana hadharani lazima liwekwe wazi yasije kutokea yaliyotokea mwaka jana

    Mara mwisho ni pale alipoonekana akiwa amepiga picha na Rais Samia Suluhu Ikulu ya Chamwino Dodoma. Hajaonekana hadharani tena na hatujulishwi rasmi yupo wapi na nini kinamsibu. Hatujui ni mzima wa afya au anaumwa. Watanzania walishaumwa na nyoka sasa hata unyasi unawashutua. Yuko wapi Job...
  7. Kamanda Asiyechoka

    Ushauri: Job Ndugai karibu CHADEMA, utapata heshima kubwa kwa kusimamia misingi ya katiba na kuhoji harufu ya ufisadi. Utapata kick kubwa

    Nadhani hukujua kuwa wanaCcm kuwa ni watu wabaya na wenye unafiki kiwango cha Phd. Hukufanya kosa lolote kuhoji na kueleza unavyoumia baada ya Rais Samia kukopa pesa kwa ajili ya ujenzi wa madarasa ili hali kuna tozo na kodi. Walikuvizia, ukaomba msamaha kinafiki kama walivyowanaCCM na...
  8. Alfred Daud Pigangoma

    Yupo wapi Spika Mstaafu, Job Ndugai?

    Katika hali ya kushangaza ambayo si utamaduni wa Watanzania pale inapotokea tendo la kuapishwa kwa mtu anayechukua nafasi katika uongozi wa Umma, mtangulizi / watangulizi wake kama wapo hai uhudhuria na hata kupiga nae picha ya pamoja! Katika hali ya sintofahamu ambayo imezua taharuki mitaani...
  9. J

    Mbatia: Ndugai alipaswa kupeleka barua ya kujiuzulu bungeni na siyo kwa Katibu wa bunge, Nakata rufaa!

    James Mbatia amesema kufuatian hukumu ya leo juu ya kujiuzulu Spika Ndugai kinyume cha mutaratinu anaishukuru mahakama kwa maamuzi yake ya kumuonyesha barua ya Ndugai kwenda kwa Katibu wa bunge. Mbatia amesema hukumu hiyo mimefungua mlango wa yeye kukata rufaa kwani katiba inasema barua...
  10. M

    TUJADILI: Job Ndugai kuandika barua ya kujiuzulu kwa mtu asiyehusika ni bahati mbaya au makusudi?

    Ni vigumu kuamini kuwa Mheshimiwa Ndugai hajui utaratibu wa kikatiba wa kujiuzulu nafasi ya uspika. Kwa mujibu wa katiba ya Jamhuri wa muungano wa Tanzania spika au naibu spika anaweza kujiuzulu nafasi yake kwa kuandika barua kwa BUNGE na kuisaini. Spika atahesabika kuwa amejiuzulu baada ya...
  11. sajo

    Kujiuzulu kwa Ndugai: Bunge ladaiwa kufuta taarifa kwa umma ilizochapisha katika tovuti yake na ukurasa wake wa Twitter

    Kufuatia kuibuliwa mahakamani kwa barua ambayo inadaiwa iliandikwa na Job Ndugai aliyekuwa spika wa bunge kwenda kwa Katibu wa Bunge ikimtaarifu kuwa anajiuzulu uspika kuanzia tarehe 06.01.2022, bunge la JMT limefuta taarifa kwa umma iliyozitoa tarehe 07.01.2022 kukiri kupokea nakala ya Barua ya...
  12. K

    Katibu wa Bunge alilikiri kupokea kopi ya barua ya kujiuzulu Ndugai aliyopeleka CCM

    Hii barua ndiyo tuliyopewa wananchi.
  13. sajo

    Mahakama Kuu yatupilia mbali kesi ya kupinga Ndugai kujiuzulu Uspika. Yasema hakuna ukiukwaji wa Katiba uliofanywa

    Leo tarehe 28.01.2022 Mahakama Kuu ya Tanzania chini ya majaji watatu wakiongozwa na Jaji Mgeta, imetupilia mbali kesi ya kikatiba Na 2 ya 2022 iliyofunguliwa na Mwenyekiti wa chama cha NCCR Mageuzi, Francis Mbatia dhidi ya aliyekuwa Spika wa bunge, Job Ndugai. Mahakama imeeleza kuwa kesi hiyo...
  14. Huihui2

    Pascal Mayalla; Hongera kwa kushinda vita dhidi ya Ndugai

    Hapo ni April 2018. Kwangu nililiona hili kama ni personal vendetta dhidi ya uhuru wa habari na dhidi ya mwandishi mbobezi Bwana Pascal Mayalla japo mpaka leo hajawahi kutujuza ni nini kulikuwa matokeo ya kikao hicho. Tunajuwa kimoja tu kuwa walikukatia biashara zako za PPR kwenye sekta mbali...
  15. Jidu La Mabambasi

    Jenerali Ulimwengu: Spika Ndugai alikuwa mnafiki

    Jenerali Ulimwengu amemaliza kutia yake ya moyoni kuhusu uspika wa Ndugai. Amenena kuwa kumkosoa Mama Samia sasa hivi, wakati hakuwahi hata siku moja kumkosoa Magufuli, ni unafiki wa hali ya juu. Haya siyasemi mimi Jidduzz, ya Jenerali Ulimwengu haya. Na yuko spot on. Wengine na wasikie...
  16. Bujibuji Simba Nyamaume

    Leo Magufuli hayupo madarakani, Wapinzani hawapo bungeni, Job Ndugai sio Spika tena na Prof. Asaad sio CAG tena

    Nature imetenda haki. Hii ni hotuba ya Kambi ya Upinzani bungeni ambayo Job Ndugai na Magufuli hawakutaka kabisa isomwe ili wananchi wajue mauvundo, dhuluma na mauchafu wanayofanyiwa. HOTUBA YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI KATIKA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO, MHESHIMIWA...
  17. Pascal Mayalla

    Kujiuzulu kwa Ndugai ni mpango wa Mungu kwa Tanzania ili tupate Spika Bora. CCM itateua Spika Bora au Bora Spika kama kawa?

    Wanabodi, Hii ni Nipashe ya Jumapili ya leo. Siku zote, nabii huwa hakubaliki nyumbani, lakini sote tunakubali kuwa Mungu siku zote huwa anazungumza na watu wake, kupitia manabii, na nabii anaweza kuwa mtu yoyote hata usiyemtegemea. Japo mimi sii miongoni mwa manabii hawa wa Mungu, lakini...
  18. GENTAMYCINE

    Kama umeangalia kwa Umakini 'Picha' ya Leo ya Spika Ndugai na 'Her Excellence' Ikulu 'Dom' kwa Jicho la 'Saikolojia: utagundua tu yafuatayo

    1. Katumia Nguvu Kubwa sana ma Juhudi nyingi mno Kuomba kwenda Ikulu Dodoma leo na yawezekana asingepata nafasi hii Presha yake ingepanda na kuanzia Usiku huu au Kesho 'abbreviations' za R.I.P zingeanza Kutawala Kwake kila ukimuita, ukimtaja Hewani. 2. Tokea alipojiuzuru ana Huzuni Moyoni ya...
  19. Idugunde

    Pamoja na Wanachadema kufurahia anguko la Ndugai kujiuzulu Uspika, Ndugai hajapoteza kitu

    Pamoja na kukosa kiti cha uspika, bado atavuta mkwanja mrefu na atapata 80% ya mshahara aliokuwa anaupata mpaka kufa. Chadema walifurahi kama vile anaenda kuteseka. Kumbe sio hata kidogo. Pia ndani ya chama chao bado atakuwa na nafasi ya ujumbe wa Halmashauri kuu. Kwa hiyo hajapoteza kama...
  20. The Palm Tree

    Tundu Lissu: Wakati mnajadili kujiuzulu kwa Spika Ndugai, mwenzenu He's laughing all the way to the Bank. Anaondoka akiwa tajiri

    Kwa mujibu wa Sheria ya Mafao ya Watumishi wa Kisiasa [Political Service Benefit Act] iliyotungwa wakati wa serikali ya awamu ya tatu chini ya Rais Hayati Benjamin W. Mkapa, mstaafu huyu wa "kujiuzuru kwa kulazimishwa" yuko entitled kupata mafao yafuatayo; 1. Kiinua Mgongo [Gratuity] cha 50%...
Back
Top Bottom