Rais Samia Suluhu baada ya Kutoka Kwao Zanzibar amekutana na kuzungumza na aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai (Mb) aliyefika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.
Rais Samia kesho ana Kikao na Mawaziri na Manaibu Mawaziri Ikulu Chamwino.
Pia soma; Spika Job...
Bnafsi naamini kilichomfanya Ndugai ajiuzulu si mashambulizi(shinikizo) kutoka ndani na nje ya chama chake, bali ni baada ya kugundua Rais hana imani nae huku mhimili anaouongoza Rais ukiwa umejichimbia zaidi. Hivyo, bwana Ndugai akaona hana ubavu wa kupingana nae akaamu kujiuzulu.
Kwahiyo...
Aliyewahi kuwa Makamu wa kwanza wa Rais katika Bunge la Afrika (PAP), Stephen Masele na Naibu Spika wa Bunge la Tanzania Dkt. Tulia Ackson wamechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kugombea nafasi ya Spika wa Bunge la Tanzania
Mtu mwingine aliyechukua fomu ni Patrick...
anafaa
azzan zungu
baada
bunge
bunge la jmt
dada
dada yangu
dkt. tulia
fomu
godwin kunambi
kugombea
kura
magufuli
maslahi
maslahi ya wananchi
mbunge
mchungaji
muungano
nabii
nafasi
ndugai
stephen masele
sugu
tamaa
tanzania
uspika wa bunge
wabunge
wananchi
wengi
yangu
KWA NINI MHESHIMIWA NDUGAI AMEJIUZURU
Katika siku za karibuni nchi yetu imepatwa na moja ya tukio kubwa kabisa katika medani za uongozi wa kisiasa, tukio hilo ni ile hatua ya aliyekuwa Spika wa Bunge la 12 la jamhuri ya muungano wa Tanzania mheshimiwa Job Yustino Ndugai kujiuzuru nafasi...
Abuu Kauthar
Siku hizi kila jambo linalotokea ni hoja ya kudai katiba mpya. Ni hivyo hivyo imekuwa katika kashfa ya Job Ndugai ya kuipinga serikali na chama chake hadharani, jambo lililopelekea hasira za wana CCM na kulazimika kujiuzulu.
Limezungumzwa sana suala la mihimili ya utawala...
Kujiuzulu kwa Ndugai kumeambatana na hisia tofauti za wananchi. Lipo kundi la wananchi libalooamini kuwa kilichomfanya Samia akasirike, kuwa mbogo na kukunjua makucha dhidi ya Ndugai kinyume cha haiba yake ya upole ambayo wananchi wameizoea ni. kutokana na Ndugai kuonyesha mshangao bungeni wa...
1- Spika wa kwanza wa Bunge la Tanzania huru, Adam Sapi Mkwawa, aliyeongoza kwa takribani miongo mitatu - alikuwa na sifa kubwa mbili; kwanza alikuwa Chifu mwenye heshima kubwa kutoka katika kabila la Wahehe lakini pia akiwa na historia ya kuwa mmoja wa watu weusi wa kwanza kuingia bungeni...
Habari za asubuhi kwa mtakaosoma.
Kama kichwa kilivyo hapo juu, nashauri Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi kukutana haraka sana iwezekanavyo kujadili hili swala la Ndugai.
Vyama vyote vikubwa vyenye itikadi kama ya CCM hufanya maamuzi juu ya wanachama wake wa kawaida , let alone mwanachama...
Kongole wanaJF.......kutokana na spika kuwajibika kwa bunge na wananchi, ikiwa matamshi yake yalikiuka mwenendo, sheria na taratibu za bunge, shutuma hizo zilitakiwa kuibuliwa na bunge lenyewe na kama ni kuomba msamaha ndugai alitakiwa aombe huo msamaha kwa bunge au moja kwa moja kwa wananchi...
Nauliza tu maana bila kuambiwa kama amekubaliwa kujiuzulu anaweza kutengua barua hiyo na hakutakuwa na la kumfanya. Unapojiuzulu mamlaka unayowajibika kwake inatakiwa iseme imekubali. Hii ndio sababu wakati mwingine mtu anaweza kukataliwa kujiuzulu (mifano ipo mingi).
Taarifa ya Katibu wa Bunge...
Ndugai ameonekana kuhoji mkopo wa serikali wa Tril.1.3,ni sawa lakini tukumbuke mambo mawili yafuatayo:
1.Mbona hakumuunga mkono CAG prof.Assad kipindi ambacho palikuwa na matumizi mabaya kupindukia ya fedha za umma?
NB: Trilioni 1.5 aliyohoji Zitto nayo je?
2.Kama lengo ni uwazi wa mkopo...
Mpaka sasa kuna wingu kubwa sababu ya Ndugai kusakamwa na mpaka akajiuzulu. Kama kuhoji juu ya mkopo wa tril 1.3 huku kuna tozo za miamala haukuwa na kosa. Maana ulihoji kama Spika na mtanzania.
Kama una nia ya kugombea urais napo hauna kosa maana ni haki yako ya kikatiba.
Sasa, watanzania...
Amefurushwa Mh. Ndugai kiongozi wa mhimili kinyume cha katiba.
Katika hali ya kusikitisha, ni Chadema na NCCR pekee ndiyo angalau wamefahamika wanasimama wapi kwenye kadhia hii:
Bado hakuna matamko yoyote rasmi ya kupinga au hata kukemea vikali kabisa ukiukwaji mkubwa huu wa haki za Mh...
Nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nachukua nafasi kupinga uamuzi wa CHADEMA kumpa nafasi ya kugombea urais wa JMT 2025 spika aliyejiuzuli ndugu Ndugai.
Hili suala halihitaji unabii kwamba CHADEMA wanatamani spika aliyejiuzulu ahamie kwao hata...
Naomba nitoe nasaha kwa watawala kujitahidi kuwa wastahimilivu kwa viongozi wenzao na wananchi wengine. Na pia wajitahidi kufuata sheria, kanuni na taratibu zinazotoa nafasi pia kwa wangine bila kutumia mabavu.
Hili ni muhimu ukichukulia kwamba maisha ya binadamu hayategemei mamlaka pekee au...
SIKU moja mara baada ya aliyekua Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai kutangaza rasmi kujiuzulu wadhifa wake wa Uspika, baadhi ya wakazi wa Shinyanga wametoa maoni yao kuhusiana na maamuzi yake hayo.
Mmoja wa wakazi hao, ambaye ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Tanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.