Job Ndugai amesahau nini bungenj,waafrika hatuna akili

Job Ndugai amesahau nini bungenj,waafrika hatuna akili

Ulikuwa spika,umeshaandaliwa mafao yako ya mstaafu.
Pumzika kwa heshima hutaki bado unataka kurudi mjengoni
Umesahau nini huko
William lukuvi tangu 1995 mpaka Leo bado hajaona mtu kama yeye jimboni pake. Alimsika JPM mkono na kuuinua juu akaibukia w. Ardhi yaani NYANI ALIKABIDHIWA LINDO LA MAHINDI NA aliyeitwa mzalendo.
Mwaka huu atamshika wapi samia? Ili lukuvi apande ngazi?
Twafa
 
Ndugai ni mkebe sana.Watu walishaandaa viwavi jeshi na unga wa mtama ili wamfanyie sendoff halafu yeye anamangamanga tu.
Kwann haendi VETA??? Mbona mwenzake Diblo Kassim majoliwa yule aliyepora mgodi kule NAMUNGO na kumkabidhi visu vya KUULIA WATU Bwana Mafwele sasa ameshachukua fomu ya kujiunga na Veta?
Ndugai anafeli wapi??
 
Back
Top Bottom