Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,650
- 16,731
Word Yani haya mambogamboga daahHakuna Mwanaccm Mwenye Aibu wala Utu
Word Yani haya mambogamboga daahHakuna Mwanaccm Mwenye Aibu wala Utu
😤😤😤😤Kwann haendi VETA??? Mbona mwenzake Diblo Kassim majoliwa yule aliyepora mgodi kule NAMUNGO na kumkabidhi visu vya KUULIA WATU Bwana Mafwele sasa ameshachukua fomu ya kujiunga na Veta?
Ndugai anafeli wapi??
Duuuuh😤😤😤😤
Hata kaburi la mamake na mizimu imemkataa make siku aliyonda kutambika alivorudi ndo akaaga.Ulikuwa spika,umeshaandaliwa mafao yako ya mstaafu.
Pumzika kwa heshima hutaki bado unataka kurudi mjengoni
Umesahau nini huko
Mtu mwenyewe mgonjwa na mfumo haukutaki tena
Shame on you
Apumzike kwa amani