Job Ndugai amesahau nini bungenj,waafrika hatuna akili

Job Ndugai amesahau nini bungenj,waafrika hatuna akili

Watanzania wenzangu shikamooni. Samahani SANA naombeni tusitoe MANENO ya kejeli kwa marehemu HUYO Hana uwezo WA kujitetea TENA.Asanteeni🇹🇿🙏🙏🙏🙏✌️✌️♥️♥️






Kwishaaaaa
Ila Uzi ni wa muda mrefu kabla hajafa
 
Ulikuwa spika,umeshaandaliwa mafao yako ya mstaafu.
Pumzika kwa heshima hutaki bado unataka kurudi mjengoni
Umesahau nini huko
Mtu mwenyewe mgonjwa na mfumo haukutaki tena
Shame on you
kah!
 
Kuna siku hii inchi itakuja kuuzwa haya maneno lazima yatimie kama wtz wasipoondoa genge la wahuni hawa kikwete, Rostam aziz na n.k
 
Back
Top Bottom